Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...




Matokeo ya uchaguzi ya Arumeru alikuwa ni Nape aliyewahi kukubali kushindwa wakati wenzake kina Mwigullu wakipanga namna ya kubadilisha Matokeo .........

Tofauti ya Nape na Mwigullu ni kuwa Nape propaganda zake ni za maneno...na hazihusishi mauwaji na uovu ....wakati Mwigullu yupo tayari hata kuuwa Watu ili kufanikisha propaganda zake.........jambo ambalo linaiuwa CCM taratibuu....

Nape ukiacha mapungufu machache ni mwana siasa wakati Mwigullu yeye labda ni Gaidi

Kuhusu Nape nakubaliana na wewe Mkuu, huyu Mwigulu ni janga kwa taifa hili na hii watu wanashindwa kujua kuwa sio kwa Chadema au katika Siasa tu ila jamii yote kwa ujumla.
 
Lazima akubali huo moto umesha waka hawawezi kuuzima hawawez tena
 
Mh.mwigulu Nchemba,usiku kaondoka kuelekea KIA, wanabisha na dreva kuhusu barabala ya kwenda Kia kilikuwa ni kituko maeneo ya njiro.
 
Hata hivyo, tangu mzee Mwenye kichwa cheupe apate nguvu ndani ya ccm mpaka Obama akatumika kwenda kuitakasa Simbion iliyonunua mitambo ya Richmond, naona umeanza kuandika hoja zenye hadhi yako. Hongera.
 
Bwana Nape Nnauye,

Nawashauri mwendelee sana kumtumia Mwigulu Nchemba,

Jamaa ni "Jembe" kweli kweli na tunaona matokeo yake CCM mnapolitumia kukatia shamba la miwa

Ni kweli!
Maeneo karibu yote anakokuwepo Mwigulu Nchemba kama Meneja kampeni, ni LAZIMA mambo mawili yotokee!
1. Vifo vya kikatili kwa wafuasi wa Upinzani na ikibidi majeraha kwa wana-CCM
2. Kushindwa kwa chama chake ni wapinzani,
Rejea IGUNGA (pamoja na kasoro zake), ARUMERU, ARUSHA .....
Sasa ni kweli kwamba Mwigulu si chanzo cha vurugu tu, bali hata kushindwa kwa CCM.
 
Hivi....magaidi wanawapiga watu mabomu halafu watu haohao wanawachagua magaidi kuwa viongozi wao! Upumbavu......ccm hoyeeee!
 
Katika demokrasia si jambo la ajabu kupongezana,na ili kuonyesha kweli tunataka kujenga mazingira ya ushindani wa kimokrasia inabidi CCM muje hadharani na kuwapongeza CHADEMA kwa ushindi wa kata zote nne.
Nasubiri pongezh kwa
Mwigulu,kinana,nape,mwenyekiti wa Ccm arusha.
Na wengine pia Shonza,Mtela,shigela,beno malisa nk.

Kila kitu mnaomba, pesa mnaomba kwa kutembeza bakuli, kura mnaomba huruma ya wapiga kura kwa kisingizio cha kulipuliwa na mabomu mliyolipua wenyewe, na pongezi pia mnaomba.
 
Ama kweli Mwigulu Nchemba ni galacha la siasa:smile-big:
 
Sasa ni dhahiri Nape na kundi lake la wapinga ufisadi(wakimlenga mtu mmoja tu) sasa wako hoi na hatima yao mashakani
Hata hivyo, tangu mzee Mwenye kichwa cheupe apate nguvu ndani ya ccm mpaka Obama akatumika kwenda kuitakasa Simbion iliyonunua mitambo ya Richmond, naona umeanza kuandika hoja zenye hadhi yako. Hongera.
 
Roho ya Nape na Mwigulu ni moja kwani mchezo wao wa kuuwa uwa raia ili kutisha watu wa CDM na kupelekea CDM kufutwa ni mkakati wa baadhi ya watu ndani ya CCM, na ukitaka kuwajua wahusika wakuu wa mpango huo ni wale wanaotoa matamko ya utabiri wa tukio kabla ya tukio kutokea na wale ambao hutoa matamko haraka sana baada ya tukio eg Chagonja, Pinda, Mwigulu, Kamuhanda, Lukuvi, Nchimbi, Nape, Wassira... et al

Nina uhakika na mambo mawili kuhusu Mwigulu kama kampeni meneja kwa upande wa CCM!
1. Lazima yatokee mauaji ya kutisha na majeruhi wengi kwa wapinzani na baadhi ya wana-CCM!
2. Lazima CCM ishindwe LABDA kwa mbinu za kimafia!
Kwa hiyo Mwigulu si hasara kwa wanaopoteza hayo yote ila hata kwa CCM yenyewe.

c.c: Mwigulu Nchemba, Mrembo Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, GOMBE.
 
Hivi tuliposhindwa Arumeru tulikataa kumbe?

Nape Nnauye, ujue siku moja hata kwenye uchaguzi mkuu mambo yanaweza kukataa kama ilivyokuwa Arusha. Kwa hiyo anzeni kujiandaa siyo kutisha watu waogope kuhudhulia mikutano ya vyama vy siasa.
 
naomba uitishe press confrerence ili mjitathimini muone kama chama bado kinakubalika kwa watanzania
 
Vizuri kama amekubali matokeo lakini ingekuwa vizuri kama angetoa pongezi pia kwa CHADEMA, binafsi kupitia uzi huu natoa pongezi kwa CHADEMA kwa ushindi walioupata pia pongezi kwa kitendo chao cha ku-risk kwa kuwasimamisha madiwani wao wa awali maana ni utamaduni mgumu sana kwa nchi yetu kwa kitendo walichokifanya
 
Back
Top Bottom