Hivi tuliposhindwa Arumeru tulikataa kumbe?
Ndugu yangu Tiba ; Tatizo ndani ya CCM sasa kila mtu na lwake. Ukimuambia Nape awashauri wenzake, ukumbuke ni Nape huyu huyu aliekuwa kwenye harakati za uvuaji magamba.Akatuambia magamba wamepewa siku ngapi vile? Nadhani ndani ya CCM, sasa kila mtu anafanya kinachomjia kichwani na hataki ushauri.Wangekuwa ni watu wakushaurika, basi mwigulu angekuwa ashasikia ushauri anaopewa humu.
chadema mwigulya mwigulya,mwigulya zigi zigi hahahaha unaona sasa mpaka naongea kilugha.chadema juu juu,juu zaidi
Inauma sana Mtu una mtisha mpaka kwa kumuua lakini bado anakukana kata katasiasa chafu zinafanya kushindwa kuume sana.....
Wakina Mwigulu wanaharibu chama , siasa na demokrasia tanzania......
Hivi tuliposhindwa Arumeru tulikataa kumbe?
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
Nape Nnauye team CHADEMA inazidi kuwasha indicators za kuashiria ushindi 2015,Team CCM chini ya Mwigulu Nchemba inazidi kuipeleka CCM kaburini. Wananchi wa Arusha wameamua kusema kwa niaba ya watanzania wengine,Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
hamy-d is so confused, he has forgotten his jf password. He can't come in here!
Mkuu siyo ukweli apo something fishing, ilo ni dogo kwa mwingulu, wewe ujui kama mambo siyo shari uko Lumumba? but nice comment Nape if u mean what u talk!!! we need change and u can do it, tushindane kwenye itikadi but siyo kujenga uadui, sisi sote ni wamoja na ndugu Moja aijalishi nimetoka wapi na wala kabila gani. tubadilike tujenge Nchi.
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
Kwa mara ya kwanza tokea kuumbwa kwa Binaadamu ndio CCM mnakubali kushindwa. Sasa anzeni kufunga virago 2014 na 2015 ndio tunamaliza
lakini hata ninyi mmeshinda kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia