Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

uploadfromtaptalk1373865114372.jpg
Kijana alitumika lakini watu wa Arusha wakagundua kuwa kijana hajielewi,
Wakaipa haki yake ccm. ccm uploadfromtaptalk1373865114372.jpg
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1373865720668.jpg
    uploadfromtaptalk1373865720668.jpg
    12.9 KB · Views: 75
Hii ni ishara tosha kuwa 2015 hawana chao,hongera wanaarusha.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).[/QUOTE]
Kama hayajaenda sawa, yule ambaye hayajamwendea sawa afanyeje hasa kwa upande wa Urais kwa sasa?
 
Nape, wewe angalau una busara kiduchu, washauri wazee wa chama, kwamba Mwigulu na mbinu zake zinazidi kuimaliza CCM. Single ya Ugaidi haina nguvu kama mlivyofikiria.

Tiba
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).

Hongera sana Mh. Nape kwa maneno ya busara, huu ndo ukomavu wa siasa za ushindani. Binafsi nakukubali sana ila mnahitaji kureview mbinu zenu za kampeni pamoja na timu mnayoitumia kwenye uchaguzi.
 
Hivi Tlp,Nccr mbona hawajashiriki? Mpaka cuf imewapiga bao
 
Jitathimini! Mna kata nyingi ila kura mmezidiwa kama 3000 na zaidi. Mkiendeleza ubabe na siasa za KIJINGA mtashangaa 2015! Naona yote mnayoyafanya mnajiandaa kuwa wapinzani mfano nguvu kubwa ya polisi, kutengeneza ushahid kwamba cdm ni magaidi, kuua watu kwenye mikutano yao n.k tatizo mkiwapeleka mahakamani mnashindwa vibaya sana pia mnagoma kumshauri raisi aunde tume ya kimahakama kuchunguza hii inaonyesha kuna takataka imejificha nyuma ya pazia! Wapigwe tu! Asubuh njema.
 
Hongera sana Mh.
Nape kwa maneno ya busara, huu ndo ukomavu wa siasa za ushindani.
Binafsi nakukubali sana ila mnahitaji kureview mbinu zenu za kampeni
pamoja na timu mnayoitumia kwenye uchaguzi.

ushaur wa bure bw. nape. wema ckuzote huzaa mema. ckuwah kuckia ndamb ikizaa mema. ndamb za akina mwigul ndo imesababsha msipte hata kata moja
 
Ok, umekubali kushindwa au? Na vipi umerizika, kama jibu ni ndio, nini unadhani ni sababu ya kushindwa, timu yako ya kampeni, sera zenu
, wananchi wamekichoka chama chenu au Chadema wamewachakachua? Lakini pole yenu

maswali ya msingi haya.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
Nape kabla ya kuwajibu sentensi ndeeeeefuuuu ambazo kimsingi hazijabeba jibu la maswali yao ulipaswa kwanza Ukiri kuwa " Uchaguzi wa Arusha mmeshindwa" mana hili ndo jibu la msingi la maswali uliyoulizwa then baada ya hapo ndo uendelee na dibaji.
 
Back
Top Bottom