Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Kwa mara ya kwanza tokea kuumbwa kwa Binaadamu ndio CCM mnakubali kushindwa. Sasa anzeni kufunga virago 2014 na 2015 ndio tunamaliza

Arusha Jiji, haiwezi kuifungisha virago CCM maana mji huu siyo siyo Tanzania Nzima, na wala siyo Arusha nzima, na kumbuka CCM ndicho chama chenye msingi imara. Uwe na AMANI sisi bado tupo tu
 
pole gamba naona umenyeshewa mvua

naona gamba linalouwa watu kichwa chini

2.jpg

He wakuu, hapa ilikuwa msibani, msiba wa anani, naona mpaka mwigulu analia!
 
Kulikuwa na siri kubwa sana kwa Azimio la Arusha kuzinduliwa ARUSHA! Siri hii ipo waz sasa kwamba Arusha ni kitovu cha ukombozi. Ushindi wa 4.0 wa CHADEMA dhidi ya hila za mafisadi na manyang'au ya CCM unakwenda kuikumba nchi nzima... Mirija ya wanyonyaji itakatwa na Matumaini mapya yatatamalaki. Chadema mmmwaaaa
 
Arusha Jiji, haiwezi kuifungisha virago CCM maana mji huu siyo siyo Tanzania Nzima, na wala siyo Arusha nzima, na kumbuka CCM ndicho chama chenye msingi imara. Uwe na AMANI sisi bado tupo tu

Usipojifariji utalazwa aisee.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
Ni kweli usemacho, lakini CCM kulikubali hilo inakuwa ngumu na nimependa hapo uliposema ..... Kama mambo yote yamekwenda sawa...
 
Hongereni vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi na kukubali matokeo. Wananchi wamepasa sauti zao kwenye sanduku la kura. Hakuna aliyeshindwa bali kuna ambao kura hazijatosha na kesho zinaweza kutosha. Hongereni kwa uchaguzi wa amani. Hongereni waliotangazwa washindi. Hongereni CCM kwa kukubali kushindwa. Hongereni CHADEMA kwa kutangazwa washindi! Hongereni wana wa Arusha kwa kujua kuwa katika amani ndiyo kila kitu kinaweza kufanyika!
 
Katika demokrasia si jambo la ajabu kupongezana,na ili kuonyesha kweli tunataka kujenga mazingira ya ushindani wa kimokrasia inabidi CCM muje hadharani na kuwapongeza CHADEMA kwa ushindi wa kata zote nne.
Nasubiri pongezh kwa
Mwigulu,kinana,nape,mwenyekiti wa Ccm arusha.
Na wengine pia Shonza,Mtela,shigela,beno malisa nk.
 
Wapi
Chama
Ritz
Mafilili
Bungeni
Jichola3
Chris Lukosi
Juliana Snonz
Mtela Mwampamba
Mchemba Mwigulu
Na woote wachangiaji wakubwa where are they? Tunaomba comment zenu nyie wabeba mabox UK

Ngoja tuwapelekee Notifications hapo juu hawawezi kuzipata..Nawasainisha kabisa kw dispatch maana hawakawii kugeuka....mwenzao Nape alisoma alama za nyakati mapema na kwakujuwa kuwa Arusha hawana mchezo akaja na hii mada.
chama, Ritz, MAFILILI, bungeni, Jichola3, Chris Lukosi, Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Mwigulu Nchemba



 
Last edited by a moderator:
Mwigulu hayo ndio majinu ya watu ulio watukana na kuwaua, aidha mnatakiewa kujua kwamba, matumizi ya nguvu ndio yamefanya ccm isipate kata hata moja, hivi mnataka kujiaminisha kata kama ya Kslolemi yenye mashabiki kibao wa ccm napata kura 300 kweli? Polisi haiwasaidii zaidi ya kuwaharibia,
Ccm mmekuwa chanzo cha vurugu Arusha,
Nilisema hapa jf baada ya bwana mkubwa Chagonja kuamua kupiga watu wa Arusha mabomu kwa takriban masaa manne, ati anatishia watu nikasema itaigharimu ccm, hayo ndio majibu ya watu wa Arusha aje tena leo atupige kwanini hatujachagua chama chake
 
ila bado chadema kuna nafasi kama mbili zimebaki.....mwigulu tunampa moja ili asije kunywa sumu
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani..

Umenena vyema Nape, asiyekubali kushindwa siyo mshindani.... Siasa siyo Chuki!!
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).

kaka Nape, umejitahidi sana kujenga chama kwa uenezi wako wa itikadi za kistaarabu zisizotishia uhai na maisha ya wanancji wa kawaida. Tatizo liko side B, linajulikana. Tafakari namna ambavyoumekuwa mbunifu wa kauli mbiu nyingi, mijadala na hoja nzito na hata nyepesi wakati mwingine but huzisimamia kisiasa na kiitikadi kama sehemu ya kazi yako. Kaka yangu Nape, hii ni fursa yangu ya kipekee kusema jambo na wewe hapa jukwaani,Juhudi zako zote nzuri zinaharibiwa na upande wa 2 wa shilingi yenu. Jamaa hafanyi propaganda but threatening people waliokwisha choka tayari. Igunga, ulifanya vema koz nafasi yako ilionekana but now ni kama jamaa amekuover take. Turn to ur job bro.
sina chama but naadimire baadhi ya wanasiasa wa pande zote.
 
Nape Nnauye kweli mumeaibika ile mbayaaaa
mumekosa hata kamoja pamoja na nguvu yote muliyoitumia
kweli hata Mamndenyi anasema .........ccm bye bye..........
 
Last edited by a moderator:
Big UP sana ndugu NAPE. Wenzako wakiiga busara zako, Tanzania itatawalika bila mizozo wala minong`ono.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).

Njegele kweli..., we know you vampires though coming out with that pretence.. Arusha is just a demo.....
 
Back
Top Bottom