Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Ndugu yangu Tiba ; Tatizo ndani ya CCM sasa kila mtu na lwake. Ukimuambia Nape awashauri wenzake, ukumbuke ni Nape huyu huyu aliekuwa kwenye harakati za uvuaji magamba.Akatuambia magamba wamepewa siku ngapi vile? Nadhani ndani ya CCM, sasa kila mtu anafanya kinachomjia kichwani na hataki ushauri.Wangekuwa ni watu wakushaurika, basi mwigulu angekuwa ashasikia ushauri anaopewa humu.

Mkuu Betlehem, Mwigulu hawezi kusikia anachoambiwa wala kushauriwa kupitia JF kwani CCM hawataki ushauri kutoka kwa mtu yeyote anayeonekana ana muelekeo wa upinzani. Nikadhani labda mwenzake Nape anaweza kuwashauri Wazee wa chama wauone ukweli kwamba Mwigulu anaipeleka kuzimu CCM kwa speed ya ajabu. Anyway mwenye macho haambiwi ona.

Tiba
 
Hongera kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa. Na vuvuzela mwenzio Mwigulu anasemaje? Mpo tayari pia kukubali matokeo come 2005?
 
Hongera sana Nape kwa kuonyesha ukomavu ktk siasa sasa,soi kama huyu mwigulu kazi yake ni kufikiria kushinda tuu.Mimi naona ccm achaneni na Arusha nendeni ile mikoa mnayokubalika mkajiimarishe zaidi pia mfikirie sana huyu mwigulu nchemaba ndiye anayekiua chama chetu jamani.kwa nini asitolewe kabisa?
 
na hapo kweli umesema ndugu yangu Ciril, ila kulazwa sitalazwa nitasema asiyependa kushindwa si mshindani
 
Ushindi wa CDM katika kata nne za Kaloleni,Elerai,Kimandolu na Themi ni ishara tosha siasa za vitisho na propaganda chafu hazina nafasi katika siasa za sasa.

Naziona sababu kadhaa zilizochangia anguko kubwa la CCM katika Jiji la Arusha.

[1] Kiongozi wa kampeni Mwigulu Nchemba muhasisi wa siasa chafu ni sababu kubwa ya kushindwa CCM.

Bwana Mwigulu alikuwa akimtumia Bwana Mussa Tesha kama karata muhimu ya kampeni badala ya sera za chama chake.Bwana Mwigulu alikuwa akitegemea kura za huruma baada ya kujua CCM imekosa sera nzuri kwa wapiga kura.Matamko ya vitisho kwa wapiga kura kwamba wasipoichagua CCM wangekiona cha moto na kweli siku ya kufunga kampeni bomu la kurushwa kwa mkono likatumika na kusababisha vifo kadhaa katika mkutano wa CDM.Ni wazi CCM imekosa mada mahiri kwaajili ya kunadi sera zake hata kama hazina mashiko kwa wapiga kura.Ni wazi Mwigulu Nchemba hajui siasa tena alikosea sana kutisha watu badala ya kuwavuta,labda vitosho vingeweza kumsaidia maeneo ya vijijini wasiojua hata haki zao za msingi lakini Jiji kama ARUSHA unapotumia vitisho badala ya busara ni wazi Mchemba atatakiwa kujiuzulu mwenyewe kwa kukifikisha chama katika hali mbaya ya kutowavutia wapiga kura.

[2] CCM ilijivua uchama "wakulima na wafanyakazi" na kujibandika uchama dola.

Ni wazi CCM ilikuwa ikitegemea dola "Polisi na mamlaka ya mkuu wa mkoa na wilaya ili kushinda uchaguzi.Hili ni kosa kubwa sana chama kinategemea kushinda uchaguzi kwa kura za wananchi sasa unapoacha mtaji wa kura na kukimbilia dola unakuwa si chama cha siasa tena bali chama dola,nguvu mabavu na vitisho vinachukua nafasi ya mbele badla ya sera nzuri.

[3] Ujio wa CUF uliiumiza zaidi CCM kuliko CDM.

CUF haina mizizi Arusha hili halina ubishi hata kidogo.uchaguzi wa madiwani wa kata nne tumeshuhudia CUF ikitunisha msuli,ni wazi CCM iliwaalika pengine ikitegemea ingegawa kura za wapinzani badla yake kura za CCM zikaamia CUF.Mfano mzuri ni matokeo ya kata ya THEMI CUF na CCM walipata jumla ya kura 639 huku CDM ikipata kura 678,wapiga kura wengi wa CCM walikimbilia CUF baada ya mgombea wao kutushwa na vikao vya wilaya akaamua kutimkia CUF matokeao yake kura zikagawanyika.Ujio wa CUF pia ulipunguza kura za CCM Kata ya Kaloleni ingawa kura za CDM zilikuwa nyingi sana hata ungechanganaya kura za CUF na CCM bado wangeachwa mbali.

[3] CCM iliwatumia wapiga debe mamluki badala ya wakaazi wa Arusha.

CCM ilishindwa kabla ya upigaji kura.Kitendo cha kuwatumia Mwigulu Nchemba mropokaji , Mussa Tesha mwathirka wa tindikali na wapiga debe wa kukodi kutoka Dar na kuwaweka kando makada wa chama wa Arusha wenye kuwajua wapiga kura ilikuwa ni kosa kubwa sana.CDM ilimtumia Lema mbunge wa Arusha mjini anayejua mazingira na fitna za siasa za Arusha,Mbowe na makamanda wengine wa CDM walifika Arusha siku ya mwisho wa kampeni tofauti na Mwigulu aliyepiga kambi Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Wasalaam,

naomba tutathmini uongozi mpya wa akina nape, mwigulu, kinana, mangula na wengine!

Vp imekidhi matarajio ya wanaccm na watz kwa ujumla wake?? ama ndio imeharibu zaidi??
naomba kuwasilisha
TheDealer

copy: MWANAKIjiji, Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, na wanaf wote kwa ujumla wake!
 
Last edited by a moderator:
Hongera nape naona umeanza kuwa na busara siku hizi....nilikuwa najiuliza inawezekana vipi chadema wajilipue na bomu ili washinde uchaguzi?Achaeni siasa za majitaka za mwigulu na tesha wake...wekeni fair play na msitumie polisi kuwabakiza madarakani iko siku mtakuwa wapinzani
 
Kama hujui lugha yako ya Tifa una matatizo.
Una vingapi umeuliza humu ndani na watu wakakujibu bila kukuona una matatizo..??? Au kunya aje kuku akija bata kaharisha..??? Hili ni weweseko la kushindwa uchaguzi..
 
Kwa mara ya kwanza tokea kuumbwa kwa Binaadamu ndio CCM mnakubali kushindwa. Sasa anzeni kufunga virago 2014 na 2015 ndio tunamaliza

mbona hata chadema kila mwaka wakiangukia pua hua wanasema wamechakachuliwa mkuu!!
 
Naipongeza chadema but bado kaz kubwa wanayo kwan Tanzania si Arusha tuu..
 


.Kitendo cha kuwatumia Mwigulu Nchemba mropokaji , Mussa Tesha mwathirka wa tindikali na wapiga debe wa kukodi kutoka Dar na kuwaweka kando makada wa chama wa Arusha wenye kuwajua wapiga kura ilikuwa ni kosa kubwa sana..
Hili ndilo kosa kubwa sana kwenye benchi la ufundi la CCM, siasa za arusha ni tofauti na zile za Singida, Tabora na Dodoma, unawapa pilau la ngombe na buku kumi kumi umemaliza kazi. (Samahani makamanda wa mikoa hiyo nyie hamhusiki).

Wana Arusha wamejiunga kuichukia CCM baada ya lile Bomu, ki ukweli kama CCM wataendelea kumtumia huyu bwana, basi ujue hasira za watanzania zitapanda zaidi na kuimaliza CCM kwa ghafla (gharika)

Ni kipindi cha CCM kujitathimini wapi wamejikwaa, wapelekeni vijana wasafi wasimame mbele za watu waombe kura kwa kujenga hoja si matusi kila siku oooh mara dr na mbowe wamekula hela nk, na yale mambo ya kutishana tishana eti usipoichagua CCM hatuleti umeme, maji, nk ni za kizamani mno, thats why we always say CCM acheni u-analogia.

Poleni sana, mna muda wa kujipanga; ingawa as i can see now ni dk ya 80 inayoyoma - bado ni 4 mtungi.
 
Taifa linahitaji siasa safi lakini kimekosa siasa safi kwa sababu lina wanasiasa wachafu;
Kilichoifanya CCM kuanguka vibaya Arusha
ingawa katika kushindana kuna kushinda na kushindwa

Jitazameni hapa kina Nape
Shoza
Mtella
Nchemba

ni janga kwa maendeleo ya siasa safi lakini kwa bahati mbaya hao ni zao la ''ujauzito'' wa mawazo yeni kina Nape mkiwa ndiyo viongozi waandamizi wa ccm,
 
uzuri ni kwamba Kumi haiwi bila kuwepo Moja
na mwanzo wa Kumi ni Moja

946243_606852926012892_493641842_n.jpg

1011990_606849062679945_974268809_n.jpg

Jamani hata kama, ila this is not fair
 
any
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).

any way! bwana nape naona ya uchaguzi yameisha....sasa kuna hili moja ambalo kila mara ukienda kwenye ziara za kichama huwa unatoa maagizo kwa watendaji wa serikali,lakini kwa masikitiko makubwa maagizo yako huwa hayatekelezwi! sasa unajisikiaje mwenye chama, unapotokwa na mapovu mdomoni harafu utekelezaji ni zilo....kuna siku ulikua pale iringa,ukatoa maagizo mfu,ya barabara ya hospitari ya mkoa...vipi hata wewe mwenye chama chako hamna kitu....maana povu huwa linakutoka kwelikweli...
 
Ole Medeye naye kachangia kuizika CCM Arusha hasa baada ya lile tamko la Malaigwanani katika kilichofanyika TCA.
 
[h=2]CCM: We're working on claims of bribery in polls[/h]


By Prosper Makene



15th July 2013


email.png

Email



printer.png

Print










mangula-july15-2013.jpg

CCM Vice Chairman, Philip Mangula


The ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) said yesterday that it is still working on allegations that some of its members used bribes to win posts during the party's elections last year.

During the celebrations to congratulate Dr Jakaya Kikwete and other leaders who were re-elected to various posts last year CCM's Vice Chairman Philip Mangula said that his party would dispatch a team to areas suspected of foul play during the elections and gave them six months to carry out the investigation.

Speaking yesterday over the phone in Dar es Salaam, CCM Secretary of Ideology and Publicity Nape Nnauye said the time has been extended as allowed by the Party's election laws and regulations to enable the teams to seek more evidence.

"We are aware that people are questioning the delay to name the people who used corruption during election, but the allegations are so many and therefore in order to come up with appropriate decisions, we have extended the investigation time as per laws," he said

He added: "The special committee on this issue is travelling in all regions where there are such allegations to investigate and interview people and come up with recommendations that will be put before the party's decision committee."
"We believe at the end everyone who has been accused is getting all the rights including the right to be heard. This will give us the chance to provide the decisions," he said

Mangula told reporters last year: "In accordance to our election regulation of 2012, section 33(2) it is not allowed for any party leader or a candidate to use bribes for the sake of getting a position, hence if found guilty, they lose their positions…" SOURCE: THE GUARDIAN
 
Back
Top Bottom