Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Hiki kidemu kipimwe akili, kiliweka topic hapa kikaongea upuuzi mpaka nikamsujudia Muumba kumshukuru kuwa kametoka kwenye chama chetu chenye akili. Kilisema MAGAMBA wameshashinda na CDM wanatapatapa, sasa kamelala mbele kwa kasi ya ajabu.

mwenzio akifanya hivyo ndio anaonekana kafanya siasa kweli kweli,ni ukweli usiopingika kuwa huko ccm hakuna ata mmoja alie na akili timamu,wote ni mburulaz.
 
Wapi mchumi no.1? Sasa ameelewa kuwa A- C siyo pwani au Singida!
 
Kuna tetesi kua wewe umesababisha makusudi CCM ishindwe sababu ulikua unamkomoa Mwigulu Nchemba kwa kua anakuingilia majukumu yako.

Inasemekana mna ugomvi unaohusiana na uwepo wa kambi mbalimbali ndani ya CCM hivyo hata baadhi ya mbinu za ushindi ni wewe umewapa CDM
Msimlaumu bure Nape watu wameichoka sana ccm. Mfano ile kauli ya "piga tu". Muwapige wapiga kura halafu mtegemee lnini kutoka kwao? Mliowapiga mabomu wamewajibu jana. Shukuruni kuna CDM tegemeo la mwananchi la sivyo hata msituni watu wangeingia.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu mwana JF,

Sote tunatambua wazi kwamba jana CHADEMA imewagalagaza vibaya wenzao wa CCM katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata nne, Sasa sema chochote kwa wana CCM ukizingatia kilichotokea jana Arusha mjini. Twende kazi.....,.
 
1.Bila matumizi ya vurugu, uhuni, kukimbia na mabox, kumwagia tindikali, kurusha mabomu na kuua CCM haiwezi kushinda popote kamwe.
2. Bila kuacha matumizi ya kiumbe kinachoitwa Mwigulu Nchemba ccm wataishia kuambulia majanga kila pahala.
Mwigulu amechangia 60% ya ushindiwa Cdm Arusha.
Asante mwigulu.

3. Ccm ifanye kazi, iachane na kuponda upinzani, maana wananchi kwa karne hizi wanaboreka mno kwa lolote mtakalolisema kwa kuponda chadema, sabbu ni kuwa wenyewe tunajionea kwa macho Bungeni jinsi wapinzani wanavyoiponya nchi.
 
Last edited by a moderator:
kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).

huyu gamba mtoto kajitahidi kusema kweli kwa mara ya kwanza.
 
Hakika, mtanzania wa leo akiachwa huru bila buguza ya polisi, usalama wa taifa, au fujo za kina mwigulu, 2015 CHADEMA ina nafasi kubwa ya kuchukua dola, Hongera CHADEMA
 
Bila Green rebels ccm hamna ushindi,so viongozi wote wa ccm wamewekwa madarakani na Green guard kuna kila sababu ya ku counterattack na Red Brigade

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
CCM inabidi sasa hivi mubadilike na muwaeleze wananchi uchumi wa Tanzania mtaujengaje na wala siyo kujibu matusi wala kuimalisha chama. Tumieni wasomi wa vyuo vikuu na wala siyo magraduate wa CCM kivukoni ambao wengi wao wanajua kudharau umma na kuwapotosha. Lazima muje jinsi ya kujenga nchi kwa kutumia pesa zetu za Kodi, kupambana na mlipuko wa bei na kuvuna nyavuni mainvestors ambao huleta sana ajira kwa vijana(V-yesterday). Ukiangalia ndani ya chama , karibia Idara zate mpaka cheo cha katibu mkuu, ni magraduate wa kivukoni watupu. Sasa kweli watu kama hao watakipeleka wapi chama? Ndio maana wao kwao wapinzani huwaona kama vile waasi.
 
CCM iachane na Propaganda za Miaka ya Sixties ambapo uongo kugeuzwa ukweli kwa kurudiwarudiwa. Kwa kizazi hiki cha Dot Com kewka mambo hadhalani huwa faster.
 
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
Taraibu mnaanza kuelewa. Kauli mbiu ya 'ushindi ni lazima' haina mashiko tena!!
 
Waendelee kutumia matusi, kuua watu kwa mabomu, kubambikia CDM kesi, wataokota kula za kanda ya kati, kusini(lindi) na nyingine kama hizo
 
Mkuu siyo ukweli apo something fishing, ilo ni dogo kwa mwingulu, wewe ujui kama mambo siyo shari uko Lumumba? but nice comment Nape if u mean what u talk!!! we need change and u can do it, tushindane kwenye itikadi but siyo kujenga uadui, sisi sote ni wamoja na ndugu Moja aijalishi nimetoka wapi na wala kabila gani. tubadilike tujenge Nchi.
 
Yule mtela na shonza mbona siwaoni humu wamepigwa ban au
 
Back
Top Bottom