zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,938
Ufataani ndio nini sheikh?
Kama hujui lugha yako ya Tifa una matatizo.
Ufataani ndio nini sheikh?
umewasahau akina Chris Lukosi, Mwampamba, chilisosi, Lilambo, Lizaboni... EtcWako wapi Chama na H
amy-D?
pole gamba naona umenyeshewa mvua
naona gamba linalouwa watu kichwa chini
![]()
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
Kama hujui lugha yako ya Tifa una matatizo.
pole gamba naona umenyeshewa mvua
naona gamba linalouwa watu kichwa chini
![]()
Lugha ya 'Tifa' ndo ipi mkuu??
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
Ukweli ndivyo ulivyo!
lakini hata ninyi mmeshinda kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia