Ubora wa UDSM ni upi?

Ubora wa UDSM ni upi?

Unajua ukisema hakuna uvumbuzi wowote uliowahi kufanyika katika vyuo vya tanzania utakuwa unakosea kabisa kwa sababu:
1.Sina uhakika kama utakuwa umefanya "Literature Review" ya kutosha ili kujiridhisha kwa kwa hoja zako.
2.Labda ni ugunduzi wa nyanja ipi ambao unataka,maana kila uvumbuzi lazima uwe umejengwa katika wazo(ideas)flani,then unadevelop theory juu ya jambo hilo,kitu ambacho naamini vimefanyika hapa Tz
3.Hata hao panya wa SUA,hakuna chuo kingine kilicho vumbua hilo nje ya Tanzania
4.Ni lazima upitie kataika kila KITIVO tangu chuo kimeanza mpaka sasa ndiyo ujue nini kimevumbuliwa na kwa kutumia IDEA ya wapi na nani au lini.
5.Pengine hata huo uvumbuzi tunaosema vyuo vya nje vimevumbua unatokana na Ideas za watu wengine,kama Vile IRAN,ilipoiangusha DRONE ya USA, 2011 nakusema itazalisha DRONE kama zile kutoka nchini mwake
 
Nimebadiri title ndugu lengo nikujua 2 maana ni mda sasa kusikia neno ili"utafiti ulio fanywa na chuo cha udsm"
 
Ningekua najua jinsi ya kueka link ningekuekea lakini hyo procedure ilikua invented na dr wa CoET na wa ardhi.. Research zingine zilikua zina tumia one of materials either lime au cement sio kwa pamoja.
Na hiki ktu ka mara ya kwanza kilivumbuliwa 2011 na kikawa applied barabara ya chalinze_kibaha
Yani mbwembwe zote hizi vitu basic kabisa katika internet kama kuweka link hujui! Huko UDSM mnasomea ujinga!?
 
laiti mngejua vigezo wanavyo tumia kupima ubora wa vyuo msinge piga kelele na kutilia shaka ubora wa udsm..

kiufupi tuu kuna taasisi na tafiti hufanyika kila vyuo na kubaini ubora wao kwa vigezo mbali mbali...

chuo cha udsm kimefanya tanzania kuwa nchi ya tatu Africa mwaka 2016 baada ya s Africa na misri.

nyie hamna vigezo vya kupima ubora wa vyuo.. vyuo sio majengo tuu..kama udom..

kama tz pekee tuna zaidi ya vyuo 50 je Africa nzima itakua na vyuo vingapi...

na kwa nafasi hii ya 11 kwa vyuo vyote Africa ww bado una tilia shaka udsm.... bila shaka utakuwa umesoma teku...

jionee hapa down

Top 200 Universities in Africa | 2016 University Rankings
 
Umejitahidi angalau kutoa maelezo mazuri lakini bado hujajibu swali linalohitaji majibu katika thread hii.

Na wewe kama ni wa Udsm basi shida ipo.
 
Kinatoa wataalam wenye weledi ambao ni hazina kwa taifa lolote lenye kuitaji maendeleo
Uhazina wao ni upi?? Wakati mpaka sasa hivi hakuna mtu yeyote aliesoma UDSM ambae ameweza kutengeneza penseli au kugundua kitu chochote??

Kwa kukusaidia watu waliosoma UDSM zamani ndo walikuwa na weledi mzuri wa ufisadi labda hicho tu ndiyo kitu nachowakubali.

That apart,wanaosoma UDSM sahivi hakuna chochote kabisa maana huwa nawaona kwenye interviews hawajui lolote!, pia kuna wengine nafanya nao kazi yani ni shida tupu!
 
Mi nlikuw nazungumzia Ardhi mkuu... ungenawa uso kwanza!
 
Ila pamoja na mbwembwe zenu zote udsm wanaazima walimu wa anatomy kutoka bugando,so sad
hao waalimu walitakiwa kutengenezwa Udsm?
kama kuna uhaba wa waalimu ni kosa la Udsm?
je hauoni chuo kinajituma mpaka kuleta waalimu?
je wangeamua kuleta mabumunda yakawafundisha wanafunzi ujinga mngesemaje?
 
Naomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa.

NB Makerere -wametengeneza gari
SUA-panya wa kutegua mabomu

Nb:Tutumie vyuo vyetu kama vituo vya utafiti ili tusonge mbele
Mkuu kwani wewe umesoma wapi? Mbona kama vile huna imani na UDSM?
 
Hujataka kuziona kwasababu umejicondition hivyo....ila jaribu kufikiria udsm isingekuwepo Tanzania ingekua vipi? Kwa kweli Historia ya Tanzania ingekuwa tofauti na tunavyohifamu leo.

Tusingekuwa na wahandisi ambao ni wanasiasa badala ya kulitumikia taiafa kwenye fani walizobobea
 
Nadhani hujahudhuria maonyesho ... mwaka huu nimeona new software's kwa ajili ya traffic dpt,health officials zilizokua developed na college of COICT, ....research ndio za kumwaga kila week zinatoka...ni nyingi mno kucatch public attention maana imekua kawaida udsm....tatizo ni kuwa serikali mara nyingi haiziangalii...
Hizo project huwa hazitekelezeki kwa kua na gharama kubwa za uendashaji na kuzizalisha kwa wingi
Ndo mana huwa zinaishia chuon ukouko
 
laiti mngejua vigezo wanavyo tumia kupima ubora wa vyuo msinge piga kelele na kutilia shaka ubora wa udsm..

kiufupi tuu kuna taasisi na tafiti hufanyika kila vyuo na kubaini ubora wao kwa vigezo mbali mbali...

chuo cha udsm kimefanya tanzania kuwa nchi ya tatu Africa mwaka 2016 baada ya s Africa na misri.

nyie hamna vigezo vya kupima ubora wa vyuo.. vyuo sio majengo tuu..kama udom..

kama tz pekee tuna zaidi ya vyuo 50 je Africa nzima itakua na vyuo vingapi...

na kwa nafasi hii ya 11 kwa vyuo vyote Africa ww bado una tilia shaka udsm.... bila shaka utakuwa umesoma teku...

jionee hapa down

Top 200 Universities in Africa | 2016 University Rankings
Umekurupuka kuleta Rank ambayo hujui maana yake
Hiyo ni University Web Ranking

Unajua hiyo website uliyotumia kama reference ya ranking huwa wanatumia vigezo gani ku rank?hakuna hata kimoja kinachoangalia tafiti
Vigezo vyao ni hivi

The current ranking is based upon an algorithm including four unbiased and independent web metrics extracted from three different search engines:
Google Page Rank
Alexa Global Rank
Majestic Referring Subnets
Majestic Trust Flow
 
UDSM jina tu ila species zake za kawaida sana sku hizi
Watanzania tumekalili
 
Udsm Ni Chuo kikuu cha Taifa ila Vingine ni Taasisi za Elimu ya Juu.

Wale wanaosoma course za Uinjinia na wale wanaosoma VETA Ufundi wanatofautiana Makaratasi (vyeti) ila wote ni Mafundi Kujenga.
Plz toa ufafanuzi uliopo kati ya chuo kikuu na tasisi za elimu af rudia ukuandika comment yako upya
 
Hizo system sijui za traffic, sijui za hospital management ni za kawaida sanaaa ambazo hata Google unazipata. Naomba kujua why mpaka leo wanapiga kura kwenye mabox? Why mpaka leo wanatumia Aris kwenye students record?? COICT inafanya kazi gani??? Wenzao UDOM pale informatics wana students record ambayo ni yao, wana voting system yao ambayo wakiaminika itatumika uchaguzi mkuu 2020. COICT wamefanya kitu gani???
 
Nafurahi kusikia ni za kawaida uko deep in shallow waters. Izo allegations zifoward UDSM
 
Back
Top Bottom