Ubora wa UDSM ni upi?

Ubora wa UDSM ni upi?

nacheki majibu ya wengi humu wanaoashiria walisoma udsm naanza kukubaliana na mtoa mada kwa mbali
 
Hujatoa hoja hata moja ubora wa chuo unapimwa kwa lipi kwa ukongwe au kutoa wataalam wasio na faida tuambie imetoa mtaalam fulani na kafanya kadhaa na kama chuo kimefanya kadhaa.zaid hakina contribution inayoendana na umri wake.kina umri mkubwa lakn hakiendani na umri.
watakwambia kimetoa maraisi wa nchi hii wakati hao maraisi ni watu tu kama wengine kwenye jamii, hawajui nkwamba invetors ndio wanahusishwa sana hapa kwenye swala kama hili, wana lolote basi zaidi ya majivuno tu ya kipuuzi
 
ahahahahahahaha..... wanafurahisha kweliii "home of intellectuals" my arse!!
Wakati fulani tunafanya review za CPA pale jijini kuna wadau wa hicho chuo tajwa walikuwa wanatutenga sie wa institutions zingine kwenye discussion. Mungu si athumani results zilivotoka hakurekodi hata mmoja... na mpaka tunamaliza CPA jamaa hàwajarudi tena... zaidi huwa wanabaki kuiponda hata hiyo board ya wahasibu na wakaguzi NBAA
 
Hayo mambo ya sijui chuo taifa au cha nini fainali yake huwa ni mtaani

Huku ndio tutajua nani alipikwa vizuri kusurvive mtaa
Only fit of the fittest shall make it/ survive. Umenikumbusha mbali kidogo mkuu

Point yako ni ya msingi sana ' kuna baadhi wanatoka vyuoni wakiwa wamepumbazwa ( brainwashed)

Ujasiri/ Uthubutu unakuwa umeondolewa na ndipo utumwa wa hiyari unapoanzia.....
 
Kabla sija kuambia ukubwa wa UDSM,naomba nikutahadharishe kuwa kutokana na "Argument" unaweza tiliwa mashaka kama kweli umeingia hapokwa sifa sitahiki hapo maana hicho ni chuo cha "GREAT THINKER"
Sasa nakuja kwenye hoja zako:
1.Tunaposema Chuo kikubwa hatumaanishi ukubwa wa eneo,bali ni taaluma inayotolewa kwa kuzingatia wataalamu waliopo chuoni hapoukilinganisha na vyuo vingine.
2.UDSM ndiyo chuo kikuu cha kwanza nchini tangu Tanzania ipate Uhuru.
3.UDSM ndiyo chuo kilichozalisha vyuo vingine vidogovidogo na sasa ni vikubwa kabisa kama vile, SUA,MUHIMBILI,ARDHI, MUCE,DUCE japo bado viko chini yake.
4.UDSM ni chuo bora chenye wataalamu wakutosha ambao vyuo vingi nchini na nje pia wamezalishwa hapo
5.UDSM ni chuo chenye ubora wa kitaifa na kimataifa in its programmes and research qualities
6.UDSM is a University with big reputation
HAYO NI MACHACHE TU

Lakini mkuu kuna chapisho lolote la uvumbuzi wa kitu chochote toka UDSM?
 
Hawo waliofanya ugunduzi ni product ya udsm sijui mnajadili nini hapa ila kama unataka kujua zaidi karibu kwenye maonyesho ya idara zote za ud...ni vingi mno kila mwaka kuandika apa muda huo umeniishia

Mkuu ni vingi ila taja kimoja kidogo
 
Hujataka kuziona kwasababu umejicondition hivyo....ila jaribu kufikiria udsm isingekuwepo Tanzania ingekua vipi? Kwa kweli Historia ya Tanzania ingekuwa tofauti na tunavyohifamu leo.

Mkuu historia ya chuo ndo ugunduzi walofanya???
 
Post yake haikukaa vizuri, kila chuo kina vipaumbele vyake kielimu, ndiyo kitafiti na kiuvubuzi kipo njema,sema jamaa anataka uvumbuzi wa magari tu.Ila anaweza kusoma tafiti na fumbuzi mbalimbali zilizofanywa na UDSM, tena maadam amesema yuko hapo hapo ananafasi nzuri ya kujua mengi,maana VITIVO vyote viko hapo,atembelee kimoja baada ya kingine apate maelezo.HEADING ILITAKA WADAU TULIO SOMA HAPO TUTETEE CHUO CHETU.
Mkuu Father of History, mimi ninadhani majibu kama haya ndio yanazidi kuibua mashaka kiwango cha taaluma inayotolewa UDSM kipindi hiki. Mleta hoja ametolea mfano Makerere kutengeneza magari, SUA panya kutegua mabomu; wewe unadai mleta hoja anataka uvumbuzi wa magari tu jambo ambalo sio kweli. Lakini pia badala ya ku specify hicho unachoita ni vipaumbele vya UDSM ili mleta hoja na members wengine hapa waweze kuelewa unamwambia akatembelee vitivo. Hii haiwezi kuwa ndio kutetea chuo chenu kama unavyodai!
 
Nitampa secretary idea yeye ataniandikia barua hiyo ndio profession yao, niko mwaka wa pili chuo sijawahi kukutana na course yakuandika barua kwa level ya degree,,, hawategemei sisi kufanya kazi hizo wapo wataalamu wake.

Msomi wa chuo kikuu UDSM yuko mwaka wa pili hajui kuandika barua, JPM inabidi amulike mwiz huku asiishie st Joseph
 
Sasa madhara ya kina Kitila Mkumbo kuwekeza akili zao kwenye siasa na kushindwa kuwapika vyema vijana wetu ndio yanaona hapa.

Mmetia aibu sana wale wote mliopo UDCM na mkachangia uzi huu na mkashindwa kutowa majibu, au mko university computing center? Kha! Mmetia aibu ya mwaka.
 
Sasa madhara ya kina Kitila Mkumbo kuwekeza akili zao kwenye siasa na kushindwa kuwapika vyema vijana wetu ndio yanaona hapa.

Mmetia aibu sana wale wote mliopo UDCM na mkachangia uzi huu na mkashindwa kutowa majibu, au mko university computing center? Kha! Mmetia aibu ya mwaka.
Kwa wale wahandisi nazani wanajua vzuri changamoto za expansive soil kwenye barabara pamoja na kwenye nyumba. Waliogundua njia za kuzuia effect ya expensive soil by two stage stabilization ni dr. Wa udsm pale CoET na wa Ardhi.
hii njia una add kwanza lime kwa ajili ya kupunguza plasticity na kulower PH value then una add cement kw ajili ya kuipa strength soil yako..

Huu ni uvumbuzi ambao umesaidia sana fani ya uhandisi especially wa barabara.
Ukitaka kuona tafiti nyingi znazofanya na CoET unaweza kuja pale kwenye workshop hope utapata majibu yako mengi.
 
Jhaxan
Kabla hujapost angalia kwanza post za nyuma zimeflow vipi huu ni unyumbu sasa same swali mnauliza tuuu....communication skills inakua designed kutokana na course unayosoma...communication skills haifanani wanaosoma biashara nitofauti ukicompare na ya law na ya engineers pia, because the way lawyer's wanavyocommunicate ni tofauti na ma businessman, mfano watu wa business inabidi wajue namna yakuinfluence mtu on the other side lawyer anatakiwa aijue legalese....sasa ukisema communication skills ni language na mnafundishwa kuandika barua itakua ni madhara ya kula four na three nakuangakia vyuo vinavyofundishwa na walimu wa degree wanawatreat kama o levels. ..barua! Sh!t bora nilifaulu ungekuta nasoma masomo ya usecretary eti barua!
 
Kwa wale wahandisi nazani wanajua vzuri changamoto za expansive soil kwenye barabara pamoja na kwenye nyumba. Waliogundua njia za kuzuia effect ya expensive soil by two stage stabilization ni dr. Wa udsm pale CoET na wa Ardhi.
hii njia una add kwanza lime kwa ajili ya kupunguza plasticity na kulower PH value then una add cement kw ajili ya kuipa strength soil yako..

Huu ni uvumbuzi ambao umesaidia sana fani ya uhandisi especially wa barabara.
Ukitaka kuona tafiti nyingi znazofanya na CoET unaweza kuja pale kwenye workshop hope utapata majibu yako mengi.
Asante angalau wewe umeonesha kweli umeelimika kuliko wachangiaji wengine wa Udsm, labda wacha mimi niulize sasa kwa njia rahisi ili mada ieleweke.

Swali liko hivi je muhitimu wa Udsm wa fani A na muhitimu wa SAUT wa fani A pia hawa wako sawa? Je hivi vyuo hadhi yake ni sawa? Na kama hadhi yake si sawa ni nini hasa kinachofanya kusiwe na huo ulinganifu?

Labda tu ili unielewe sisi watu wa zamani bado tunaamini ukiongelea dawa ya viatu basi ni kiwi na ukiongelea dawa ya meno basi Colgate na ukiongelea betri basi National, lakini mambo yamebadirika ila akili za watu wengi hazijabadirika.

Nina uhakika hata mada hii ipo katika ground hizo.
 
Horseshoe Arch unaposema wamesoma udsm bado si hoja, na kwa hadhi yako huwezi toa hoja mfu kama hiyo!!! BTW...BVM inafundishwa udsm maana hao wote ni ma prof wa bvm pale sua
 
Back
Top Bottom