Hahahaha wape hi jamaa wa political scienceKama Kazi hamna sio kosa la udsm, kupigwa kwenye interview sio sababu ya udsm pia, nashindwa kutofautisha unachosema na ule umbea wa waliokosa chance yakusoma udsm wakitaka kujitetea kwanini hawastahili kuwa udsm, ila nikupe fact tu kwa kozi nnayosoma hakuna ambaye yupo mtaani kwa kukosa ajira.
Unazifahamu? Umejua wamezidevelop vipi na kuzimaintain ni gharama gani (namaanisha resources nyingine tofauti na pesa) .... nieleze haya nitakubaliana na wewe.Sasa hizo system zinaugumu gani mkuu?? Au unasoma political science
Kijiwe kinasemaje kuhusu hawa jamaa! hawaajiriki au? Trust me kazi zipo ila huwezi kuzipata kwa mda unaoutaka wewe! Na political science ni sehemu tamu kama you are a leader like person, kujiajiri nje nje!Hahahaha wape hi jamaa wa political science
Sasa wangapi wanaweza kujiajiri wakati wamejazwa theories vchwani hawako practically oriented jaman baadhi ya kozi zinawafaa senior leadersKijiwe kinasemaje kuhusu hawa jamaa! hawaajiriki au? Trust me kazi zipo ila huwezi kuzipata kwa mda unaoutaka wewe! Na political science ni sehemu tamu kama you are a leader like person, kujiajiri nje nje!
hahaha! ni mtazamo wako, ila nadhani unaiona impact ya damu changa kwenye siasa na utendaji wa serikaliSasa wangapi wanaweza kujiajiri wakati wamejazwa theories vchwani hawako practically oriented jaman baadhi ya kozi zinawafaa senior leaders
hapo tayari unamauzoefu yako ndo unaongeza na hyo

Nitajie kijana aliyesoma hyo koz anatuwakilisha vzur Watanzania kwenye siasa kama hujaambulia wale wakujipendekeza kwa watawala wapate vyeohahaha! ni mtazamo wako, ila nadhani unaiona impact ya damu changa kwenye siasa na utendaji wa serikali![]()
Kazi kwako prove kama hamnaNitajie kijana aliyesoma hyo koz anatuwakilisha vzur Watanzania kwenye siasa kama hujaambulia wale wakujipendekeza kwa watawala wapate vyeo

kwa hiyo mkuu izo ndo tafiti zilizofanya UDSM?!!Kabla sija kuambia ukubwa wa UDSM,naomba nikutahadharishe kuwa kutokana na "Argument" unaweza tiliwa mashaka kama kweli umeingia hapokwa sifa sitahiki hapo maana hicho ni chuo cha "GREAT THINKER"
Sasa nakuja kwenye hoja zako:
1.Tunaposema Chuo kikubwa hatumaanishi ukubwa wa eneo,bali ni taaluma inayotolewa kwa kuzingatia wataalamu waliopo chuoni hapoukilinganisha na vyuo vingine.
2.UDSM ndiyo chuo kikuu cha kwanza nchini tangu Tanzania ipate Uhuru.
3.UDSM ndiyo chuo kilichozalisha vyuo vingine vidogovidogo na sasa ni vikubwa kabisa kama vile, SUA,MUHIMBILI,ARDHI, MUCE,DUCE japo bado viko chini yake.
4.UDSM ni chuo bora chenye wataalamu wakutosha ambao vyuo vingi nchini na nje pia wamezalishwa hapo
5.UDSM ni chuo chenye ubora wa kitaifa na kimataifa in its programmes and research qualities
6.UDSM is a University with big reputation
HAYO NI MACHACHE TU
Kwani yeye wakati anasoma pale alikuwa anajua kuandika barua?Msomi wa chuo kikuu UDSM yuko mwaka wa pili hajui kuandika barua, JPM inabidi amulike mwiz huku asiishie st Joseph
he he he he....vijana wa special diploma UDO mna tabuUDSM jina tu ila species zake za kawaida sana sku hizi
Watanzania tumekalili
vijana mliokosa kusoma udsm mna vijimaneno vya kujifariji!!!!.....teh tehHizo system sijui za traffic, sijui za hospital management ni za kawaida sanaaa ambazo hata Google unazipata. Naomba kujua why mpaka leo wanapiga kura kwenye mabox? Why mpaka leo wanatumia Aris kwenye students record?? COICT inafanya kazi gani??? Wenzao UDOM pale informatics wana students record ambayo ni yao, wana voting system yao ambayo wakiaminika itatumika uchaguzi mkuu 2020. COICT wamefanya kitu gani???
Hcho kicheko tu kimeshaprove kwamba hakunaKazi kwako prove kama hamna![]()
Udsm tumefundishwa Hatuprove kwa opinionHcho kicheko tu kimeshaprove kwamba hakuna

Muulize kama alikuwa anajua ili tusimuonee yule dogo wa law sec year asiyejua kuandika appl LetterKwani yeye wakati anasoma pale alikuwa anajua kuandika barua?
Unaleta ubishi usio na maana yoyoye.. Nimekuandkia mojawapo ya tafiti ambayo imefanywa na dr. Wa CoET nkakuambia ukitaka ujifunze zaidi nenda workshop ya CoET ukajionee vtu wanavyofanya.. Hutoona mtumishi wa chuo anakuja kukujibu humu chuo kina College zaidi ya 6 kina watumishi ngazi ya prof, dr wa kutosha unazani hvyo vyeo wanapewa kama pambo tu..
Kama unataka kweli kujifunza fanya kama nilivyokuambia ila kama unataka ubishani siku njema..
Kuna prof lwambuka wa CoET huyu alifanya study ya effect ya wind kwenye majengo na watu mpaka leo wanatumia study yake.
Kuna dr. Nyaoro mtaalm wa Geotechnical engineering amefanya mambo makubwa sana kwenye soil mechanics.
Hutoona wanakuja kukujibu humu.
Kuna dr. Makunza amefanya research ya low cost building inatumik sasa hv.
Kuna prof Mrema mtaalm wa building materials kafanya research nying kweny building materials..
Hydroelectric power za tanzania zmekua design na prof mtaro wa pale CoET,
Geotechnical engineer wa nyerere bridge ni dr. Wa CoET
Nmeipenda hiyo project kwani wamekuja kuintroduce tanzania,lakini hyo tafiti mbona ilifanywa na NATIONAL LIME ASSOCIATION hipo nchini marekani na washaandika vitabu vyake na pia zipo tutorial namna ya kuendesha hyo project........natoa hongera kubwa kwao kwa sababu wenyewe ndo wameintroduce hapa bongo na sio kwa uvumbuzi
Unataka niwe specific kwenye nn? Nimekupa sample za research walizofanya uktaka details zaid tafuta publication zake.. Otherwise upo kwa ajili ya ushidani na sio kutaka kujifunza..Mkuu una-generalize sana hebu kuwa specific. Kama unavyosema "study ya effect ya wind kwenye majengo" hebu tuambie ni ipi? Inatumika maeneo gani? Au low cost building ni zipi hizo? Usije ukawa unaongelea project za wanafunzi wanazofanyaga wakiwa mwaka wa mwisho ambazo nyingi ni theoretical.