Ubora wa UDSM ni upi?

Ubora wa UDSM ni upi?

Usiseme mambo usiyoyafaham, udsm in Walimu wa kutosha hyo Human anatomy and physiology wapo wakuifundisha hadi surplus. CONAS imeanzishwa miaka mingi tu.. Inafundishwa human anatomy and physiology, hata physical education iliyoanzishwa mwaka 1992 pia ina walimu wenye uwezo wa hali ya juu wa kuifundisha human anatomy. Miaka kadhaa iliyopita Muhimbili kuna baadhi ya course walikuwa wanakuja kuzisomea hapa Udsm [CONAS], kama ilivyo kwa Ardhi na SUA. Na isitoshe walimu walio wengi wa MUHIMBILI wamepitia UDSM,angalia team ya wataalamu wa School of health Science UDSM.
b33efe2c80aa8a0664a2bdcfd2094352.jpg
1de476c9d0a209be8bd8fac30b457b38.jpg
Usikurupuke kuniandikia historia we kila.za , mi naongea current issues, Dr Mazyala wa bugando yupo hapo udsm sasa hivi anafundisha anatomy akisaidiana na lecturer wa MUHAS uliza wanaosoma hapo, sasa hao walimu wako wa kutosha unaosema sijui unaongelea prospectus ya mwaka gani.
 
UDSM wamekupa hawa wafuatao...:
1. Mwinyi
2. Mkapa
3. Kikwete
4. Magufuli
5. Lowassa

Hapa watu wanazungumzia uvumbuzi na utafiti, sio vitivo vinavyo husika na siasa, biashara na sheria vitivo hivyo ndio utoa wahitimu mahili lakini linapokuja saula la sayasi na engineering hawana lolote la kujivunia wasidanganye watu na majisifu yasiyo na ukweli wowote.

Wakuu wa Chuo na idara wajipange upya waende kujifunza kwa wenzao jinsi wanavyo fanya tafiti, uvumbuzi katika masuala ya sayansi na teknolojia, kuna baadhi ya vyuo vikuu Africa vilivyo piga hatua kubwa kataki nyanja tajwa hapo juu mfano: Afrika Kusini, Kenya, Makerere, Africa magharibi specifically Nigeria - sisi tunakalia majisifu eti UDSM ni Chuo kikongwe atuwezi kuwambia kitu!!

We jaribu kuangalia majibu jibu ya baadhi ya wahitimu wa UDSM yamajaa majivuno na majisifu tu - nenda uwachunguze wanapokuwa kwenye real World ya sayansi na teknolojia - aibu tupu - wala hawajiulizi kwa nini wawekezaji wana prefer kuja na wataalamu wao kuliko walio zalishwa na chuo hicho, hawana handon experince ya masuala haya - tukubali mapungufu yetu na kuyafanyia KAZI.

Kwa taarifa yako Mh.Mkapa alisoma Makerere sio UDSM na Mh.Mwinyi hakusoma Chuo hicho.
 
Chuo bora ni UDOM tuu kwani inatoa product safi kabisa na bora ,, Udsm inabebwa na jina tuu kwa kuw ni chuo kikongwe ila kwa sasa ni empty box
 
Mtoa mada unataka kusema nn?
Kabla ya kujadili ubora/ukuu wa chuo nikupe kwa ufupi tu kazi tatu za vyuo vikuu:-
1. Ufundishaji (teaching).
2. Uandishi wa vitabu na majarida (publication).
3. Utafiti ( research).

Katika nyanja zote tatu udsm imefanya kazi kubwa sana.

Kuhusu utafiti ninayo yakumbuka mm ni haya yafuatayo;- ugunduzi wa mbegu za uyoga, mafuta toka maganda ya korosho, n.k
 
Hapa watu wanazungumzia uvumbuzi na utafiti, sio vitivo vinavyo husika na siasa, biashara na sheria vitivo hivyo ndio utoa wahitimu mahili lakini linapokuja saula la sayasi na engineering hawana lolote la kujivunia wasidanganye watu na majisifu yasiyo na ukweli wowote.

Wakuu wa Chuo na idara wajipange upya waende kujifunza kwa wenzao jinsi wanavyo fanya tafiti, uvumbuzi katika masuala ya sayansi na teknolojia, kuna baadhi ya vyuo vikuu Africa vilivyo piga hatua kubwa kataki nyanja tajwa hapo juu mfano: Afrika Kusini, Kenya, Makerere, Africa magharibi specifically Nigeria - sisi tunakalia majisifu eti UDSM ni Chuo kikongwe atuwezi kuwambia kitu!!

We jaribu kuangalia majibu jibu ya baadhi ya wahitimu wa UDSM yamajaa majivuno na majisifu tu - nenda uwachunguze wanapokuwa kwenye real World ya sayansi na teknolojia - aibu tupu - wala hawajiulizi kwa nini wawekezaji wana prefer kuja na wataalamu wao kuliko walio zalishwa na chuo hicho, hawana handon experince ya masuala haya - tukubali mapungufu yetu na kuyafanyia KAZI.

Kwa taarifa yako Mh.Mkapa alisoma Makerere sio UDSM na Mh.Mwinyi hakusoma Chuo hicho.
Mbona kama una chuki binafsi na Udsm! Ukweli ni kuwa kila mtu anakuwa na kiu ya kusoma UDSM, ikitokea umekosa chance ndio maneno kama yako yanapokuja.

Kwa taarifa yako, wanafunzi wote bora kitaifa huwa wanaenda UDSM, au Muhimbili. Sasa sitegemei wanafunzi bora wakawa hawahui lolote katika maeneo yao ya kazi.

Dreams ya kila mwanafunzi, including you ni kusoma UDSM, hata mimi pia.
 
Kwa nini niwe na chuki, mimi nasema ukweli baadhi ya wahitimu wa hapo Chuo wana mindsets za ajabu na majivuno - wasipo badirika wata pata shida siku zijazo, sina tatizo na madaktari, wanasheria, biashara, political Scientists, civil engineers na wale walio somea masuala ya Kilimo na mifugo - mimi nazungumzia kundi lililobaki la wahandisi, watafiti nk - chuo hicho kina karibu miaka hamsini tangu kianzishwe kuna uvumbuzi/ubunifu gani wa kisayansi na kiteknolojia ambao wanaweza kuvijunia - wanashindwa na vyuo kama DIT hata VETA - tatizo ni nini, hawapewi fedha za kutosha au?

Ndio maana na insist kwamba Wakuu wa maidara waende kujifunza mbinu zinazo tumiwa na Vyuo vikuu vya wenzao kufyatua wahitimu na watafiti mahili - sio wanakuja hapa na madai kwamba wamevumbua system ya kuongozea traffic lights !! Yaani projects zinazo fanywa na wanafunzi wa primary huku Ulaya kwa kutumia vitu vinavyo hitaji simple combinational na sequential logic circuits ndio wao wanajivunia kweli - are we serious?? Siwasemi vibaya nawashauri tu wabadirike.
 
Wamevumbua YOU KNOW, mtafute binti anayesoma Mlimani utagungua
 
Usikurupuke kuniandikia historia we kila.za , mi naongea current issues, Dr Mazyala wa bugando yupo hapo udsm sasa hivi anafundisha anatomy akisaidiana na lecturer wa MUHAS uliza wanaosoma hapo, sasa hao walimu wako wa kutosha unaosema sijui unaongelea prospectus ya mwaka gani.
Kwa akili yako ndogo huwezi hata kufikiria kama school of health Science imeanzishwa mwaka huu, na prospectus yenye school of healthy science ni mwaka huu. Alafu inakubidi utambue kwamba UDSM ni institution kubwa ambayo inaajiri, kwa hyo kama kaajiriwa kwa uboya wako unaona ni shida!! Jielewe we KILAZA, acha umbulura na mawazo finyu, nani alikwambia dr. Mzyala kuajiliwa bugando ni mali ya kudumu ya bugando?? Kurupuka kurupuka tu......
 
UDSM ndo kinachoongoza kwa kuwa na watetezi wengi kwenye social networks, mafisadi,watu wanaongoza kuuana kwa sababu ya mapenzi, wauza sura na maprofesssor wenye kufuga afro.Nothing more
 
Back
Top Bottom