lazima utakuwa unaotaUdsm siasa nyingi pasipo kutimiza wajibu wao kitaaluma
lazima utakuwa unaotaUdsm siasa nyingi pasipo kutimiza wajibu wao kitaaluma
mhimbili ilikuwa udsm na sasaUdsm hiyo chini ya Muhimbili kwa upande wa medicine... Inaazima hadi malecturer
udsm tangu lini imeshindana na vyuo hivyo udsm iko top 15 africa hizo teku na islamic hata kwenye mia mbili hazipo sasa hapo wanashindana nini sasa. makerere nairobi capetown hapo ndio umenena hao kweli wanashindana na udsmUdsm ni chuo kikongwe,na kina wataalamu wengi wa fani mbalimbali.
Tatizo kubwa LA udsm ni kujisahau na kuanza kushindana na vyuo vidogo vilivyoanzishwa juzi sijui teku, st Joseph, Islamic etc.
Badala ya kushindana na vyuo kama Makerere, Nairobi,Capetown ,unakuta eti ud anashidana na vyuo vichanga ambazo vingine ata waalimu ni taabu.
Kwa sasa vyuo kama Makerere , Nairobi vipo mbali sana kwa sababu ya kujitambua.
Kwa upande mwingine serikali pia inaangusha wataalamu wengi(watafiti) kwa kutenga bajeti ndogo kwa ajili ya kufanya tafiti,chuo kikuu bila kufanya tafiti hicho sio chuo kikuu.
karibu udsm utaoneshwa vitu kibao maana umekariri. hizo tafiti ndio zimechangia udsm kuwa bora la sivyo kisingepewa nafasi hiyo na watu ambao sio wewe wala mimi bali ni watu wengine kabisa nje ya nchi yetu. kwanza nina wasiwasi kama kweli unajua vitu gani vinaangaliwa katika kuamua ubora wa chuo maana ungetoa point nyingine na sio tafiti maana udsm ni moja ya nyumba za tafiti barani afrikaNaomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa.
NB Makerere -wametengeneza gari
SUA-panya wa kutegua mabomu
Nb:Tutumie vyuo vyetu kama vituo vya utafiti ili tusonge mbele
wanaorank vyuo wanakubali kuwa ukitaja vyuo 15 africa lazima utaje udsm. kama udsm imebaki jina basi si kwa kulinganisha na vyuo vya tanzania maana sio level yakeWachangiaji wanao Anya wanaonesha dhahiri hata hapo udsm mlikuwa mnaenda op ( out of point)
Just a simple way only to answer the question.
Kumjibu mtoa mada kwa dharau mnaharibu jina n repution ya Chuo.
Lakini PIA inaonesha Chuo chetu cha udsm imebaki Ni jina tu
Hii inaonesha kwa miaka ya hivi karibuni Chuo hakina jambo la kujisifia aidha kwa tafiti au ugunduzi.
Nashauri mada kama hii ijibiwe vyema ili kuvutia vijana wanaotarajia kujiunga na Chuo hiki.
Mimi (BA- PSM) SUA, CPSP (T), (MSC.PSM) MU
UDSM wamekupa hawa wafuatao...:Naomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa.
NB Makerere -wametengeneza gari
SUA-panya wa kutegua mabomu
Nb:Tutumie vyuo vyetu kama vituo vya utafiti ili tusonge mbele
Unataka niwe specific kwenye nn? Nimekupa sample za research walizofanya uktaka details zaid tafuta publication zake.. Otherwise upo kwa ajili ya ushidani na sio kutaka kujifunza..
ukituliza ubongo utanielewa ninachokimaanisha, vuta pumzi ya kutosha kujaza mapafu,alafu itoe taratibu ,ukimaliza rudi kusoma post yangu upya.mhi
mhimbili ilikuwa udsm na sasa
udsm tangu lini imeshindana na vyuo hivyo udsm iko top 15 africa hizo teku na islamic hata kwenye mia mbili hazipo sasa hapo wanashindana nini sasa. makerere nairobi capetown hapo ndio umenena hao kweli wanashindana na udsm
ndio kitu ninachokisemaga siku zote,udsm haitakiwi kuwa na mda wa kudebate na vyou vya juzi,mda Huo wanaupata wapi?wanaorank vyuo wanakubali kuwa ukitaja vyuo 15 africa lazima utaje udsm. kama udsm imebaki jina basi si kwa kulinganisha na vyuo vya tanzania maana sio level yake
Kabla sija kuambia ukubwa wa UDSM,naomba nikutahadharishe kuwa kutokana na "Argument" unaweza tiliwa mashaka kama kweli umeingia hapokwa sifa sitahiki hapo maana hicho ni chuo cha "GREAT THINKER"
Sasa nakuja kwenye hoja zako:
1.Tunaposema Chuo kikubwa hatumaanishi ukubwa wa eneo,bali ni taaluma inayotolewa kwa kuzingatia wataalamu waliopo chuoni hapoukilinganisha na vyuo vingine.
2.UDSM ndiyo chuo kikuu cha kwanza nchini tangu Tanzania ipate Uhuru.
3.UDSM ndiyo chuo kilichozalisha vyuo vingine vidogovidogo na sasa ni vikubwa kabisa kama vile, SUA,MUHIMBILI,ARDHI, MUCE,DUCE japo bado viko chini yake.
4.UDSM ni chuo bora chenye wataalamu wakutosha ambao vyuo vingi nchini na nje pia wamezalishwa hapo
5.UDSM ni chuo chenye ubora wa kitaifa na kimataifa in its programmes and research qualities
6.UDSM is a University with big reputation
HAYO NI MACHACHE TU
peter ww umesoma wapi.... kwanza...Wana UDSM bana kwa kujisifia, mbona mmezalisha mafisadi na wapiga dili wa kutosha nchi hii hilo hulisemi
Ipi?Kama Kazi hamna sio kosa la udsm, kupigwa kwenye interview sio sababu ya udsm pia, nashindwa kutofautisha unachosema na ule umbea wa waliokosa chance yakusoma udsm wakitaka kujitetea kwanini hawastahili kuwa udsm, ila nikupe fact tu kwa kozi nnayosoma hakuna ambaye yupo mtaani kwa kukosa ajira.
peter ww umesoma wapi.... kwanza...
na chuo gani tz utakilinganisha na udsm?
usije ukawa unapiga kelele kumbe wa jordan.
Mleta mada hajauliza viongozi. Ameuliza swala zima la kugundua au miradi yenye tija. Mbona hata Prof.majimarefu ni kiongozi mzuri tu. Mi ni graduate wa SUA. Nawapongeza kwa kutupika kisayansi.Umesema kweli, ila sema either umesahau au hujapenda kuweka bayana kuwa wapo wengi tu ambao ni viongozi bora na waadilifu waliotoka hapa, ukizingatia hamna course ya ufisadi apa.
kwa taarifa yako mkuu wataalamu wa nchi hii niwa chuo kikuu cha dar es salaam ukibisha toa mfano wa mtaalamu ambae hajakaa kwenye venue za udsm mimi nitachoka kutoa mifano maana ni oooooteee!!
Sijamjibu mleta mada bali aliyeniuliza hili swali ndani ya mada ya mleta madaMleta mada hajauliza viongozi. Ameuliza swala zima la kugundua au miradi yenye tija. Mbona hata Prof.majimarefu ni kiongozi mzuri tu. Mi ni graduate wa SUA. Nawapongeza kwa kutupika kisayansi.

Usiseme mambo usiyoyafaham, udsm in Walimu wa kutosha hyo Human anatomy and physiology wapo wakuifundisha hadi surplus. CONAS imeanzishwa miaka mingi tu.. Inafundishwa human anatomy and physiology, hata physical education iliyoanzishwa mwaka 1992 pia ina walimu wenye uwezo wa hali ya juu wa kuifundisha human anatomy. Miaka kadhaa iliyopita Muhimbili kuna baadhi ya course walikuwa wanakuja kuzisomea hapa Udsm [CONAS], kama ilivyo kwa Ardhi na SUA. Na isitoshe walimu walio wengi wa MUHIMBILI wamepitia UDSM,angalia team ya wataalamu wa School of health Science UDSM.Ila pamoja na mbwembwe zenu zote udsm wanaazima walimu wa anatomy kutoka bugando,so sad