Ubora wa UDSM ni upi?

Ubora wa UDSM ni upi?

Na bila udsm pasingekua na mafisadi....escrow, epa, kiwira, zingekua ndoto
Umesema kweli, ila sema either umesahau au hujapenda kuweka bayana kuwa wapo wengi tu ambao ni viongozi bora na waadilifu waliotoka hapa, ukizingatia hamna course ya ufisadi apa.
 
Hawo waliofanya ugunduzi ni product ya udsm sijui mnajadili nini hapa ila kama unataka kujua zaidi karibu kwenye maonyesho ya idara zote za ud...ni vingi mno kila mwaka kuandika apa muda huo umeniishia
Ndugu yangu mbona unashindwa bidiisha kichwa??? Hujaambiwa useme ni product za wap!! Ndio walisoma udsm lakin sio wafanya kazi wa udsm, kusema tafiti za hao watu ni za udsm kisa hao watu wamesoma udsm ni kujitia uwenda wazimu!!! Toa jibu UDSM wamegundua nini ambacho mtanzania anaweza jivunia???
 
Nadhani hujahudhuria maonyesho ... mwaka huu nimeona new software's kwa ajili ya traffic dpt,health officials zilizokua developed na college of COICT, ....research ndio za kumwaga kila week zinatoka...ni nyingi mno kucatch public attention maana imekua kawaida udsm....tatizo ni kuwa serikali mara nyingi haiziangalii...
Hiyo ni software gani mbona sijawahi isikia???
 
Mpaka mda huu UDSM imeleta/imegundua nini??? Mleta mada kawa open...kataja sua walichogundua, makerere pia!!! How about udsm!!???? Maana isijekua jina tu kumbe hamna kitu
....kwahio kama hamna aliopost hapa it means hamna au...? Kama niivo ngoja nikalale tu.
 
Post yake haikukaa vizuri, kila chuo kina vipaumbele vyake kielimu, ndiyo kitafiti na kiuvubuzi kipo njema,sema jamaa anataka uvumbuzi wa magari tu.Ila anaweza kusoma tafiti na fumbuzi mbalimbali zilizofanywa na UDSM, tena maadam amesema yuko hapo hapo ananafasi nzuri ya kujua mengi,maana VITIVO vyote viko hapo,atembelee kimoja baada ya kingine apate maelezo.HEADING ILITAKA WADAU TULIO SOMA HAPO TUTETEE CHUO CHETU.
Mi sijaona aliposema magari tu!! Zaidi ya kutolea mfano wa makerere na sua!!! Swali ni je, udsm wamegundua nini mpaka leo???
 
Udsm Ni Chuo kikuu cha Taifa ila Vingine ni Taasisi za Elimu ya Juu.

Wale wanaosoma course za Uinjinia na wale wanaosoma VETA Ufundi wanatofautiana Makaratasi (vyeti) ila wote ni Mafundi Kujenga.
Unamaanisha wanaosoma pale coet ni sawa na vijana wa veta???
 
Nitampa secretary idea yeye ataniandikia barua hiyo ndio profession yao, niko mwaka wa pili chuo sijawahi kukutana na course yakuandika barua kwa level ya degree,,, hawategemei sisi kufanya kazi hizo wapo wataalamu wake.
Unasoma chuo gani? Au na wewe uko udsm??? Mwaka wa pili hujui kuandika barua??
 
I expected alumni wa udsm mtaleta facts at least,
But the thing is hakuna hata mmoja ameelewa hata mtoa mada anataka nini,
I am really shocked,
Is this what you are learning out there?
Tena nadhani hizi ni products za hivi karibuni,
Hii inaonesha jinsi gani elimu yetu imeshuka..
Wizara inatakiwa isifumbie macho hili suala..
Kuna mmoja ameelezea angalau DIT wanafanya something kinaonekana useful..
Na huwa nikipita kule SIDO napata faraja sana, jamaa wanafanya inventions na wengine hata secondary hawajaenda.
Ila jinsi alumni wa udsm tunajibu hoja humu, ni obviously tuna shida kwenye mfumo wetu wa elimu
Kuna mmoja kasema atampa barua secretary amwandikie...yeye yuko mwaka wa pili ud na hajui kuandika barua
 
Hujataka kuziona kwasababu umejicondition hivyo....ila jaribu kufikiria udsm isingekuwepo Tanzania ingekua vipi? Kwa kweli Historia ya Tanzania ingekuwa tofauti na tunavyohifamu leo.
So you're a lawyer (from udsm) na hujui kuandika barua???

Mbona swali liko open??? Kasema weka tafiti zenye tija zilizofanywa na chuo chako hapa!!! Yeye kaweka ya sua na makerere kwanini wewe hutaki kuweka zaidi ya kubwabwaja???
Acha battle bwana ..nipo udsm. First year Nilisoma communication skills for lawyers hamna uandishi wa barua,barua nimesoma form one na form six language 1 topic ya writing.
 
So you're a lawyer (from udsm) na hujui kuandika barua???

Mbona swali liko open??? Kasema weka tafiti zenye tija zilizofanywa na chuo chako hapa!!! Yeye kaweka ya sua na makerere kwanini wewe hutaki kuweka zaidi ya kubwabwaja???
Huku tunafundishwa kubwabwaja...
 
Hata cku moja,huwezi kuta mtu ambae ana reasoning ability nzuri akirusha mawe kwenye mti usio namatunda.
 
UDSM ni chuo kikubwa na kikongwe je ukubwa wa UDSM ni nini au unatokana na ukubwa wa eneo au ubora wa elimu.

Naomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa.

NB Makerere -wametengeneza gari
SUA-panya wa kutegua mabomu
UDOM-?
DIT-?
Nb:Tutumie vyuo vyetu kama vituo vya utafiti ili tusonge mbele

Uliwahi kutafiti walikosoma hao wagunduzi wa panya kutegua mabomu?
 
UDSM yakawaida sana na wala haina mchango wowote hapa TZ
 
Back
Top Bottom