Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Zina shape kwa ufisadi au???Nna wasiwasi na uelewa wako...historia ya chuo imetoka wapi? Nakwambia products za ud zinaishape historia ya TZ.
Zina shape kwa ufisadi au???Nna wasiwasi na uelewa wako...historia ya chuo imetoka wapi? Nakwambia products za ud zinaishape historia ya TZ.
Mi ndhani ipo ila haionekani how to become corruptUmesema kweli, ila sema either umesahau au hujapenda kuweka bayana kuwa wapo wengi tu ambao ni viongozi bora na waadilifu waliotoka hapa, ukizingatia hamna course ya ufisadi apa.
Wataalamu kivipi mkuu?? Na mmefanya nini mpaka mjiite wataalamu?? Bora mtu usome Katika chuo cha SUA ambacho kimegundua panya wanaotegua bomu kuliko chuo kinachozalisha watu ambao hatuoni tija yao katika jamii( wataalamu hewa) hata kutengeneza penseli tu hawajui hao wataalamu au utaalamu katika siasa???Kabla sija kuambia ukubwa wa UDSM,naomba nikutahadharishe kuwa kutokana na "Argument" unaweza tiliwa mashaka kama kweli umeingia hapokwa sifa sitahiki hapo maana hicho ni chuo cha "GREAT THINKER"
Sasa nakuja kwenye hoja zako:
1.Tunaposema Chuo kikubwa hatumaanishi ukubwa wa eneo,bali ni taaluma inayotolewa kwa kuzingatia wataalamu waliopo chuoni hapoukilinganisha na vyuo vingine.
2.UDSM ndiyo chuo kikuu cha kwanza nchini tangu Tanzania ipate Uhuru.
3.UDSM ndiyo chuo kilichozalisha vyuo vingine vidogovidogo na sasa ni vikubwa kabisa kama vile, SUA,MUHIMBILI,ARDHI, MUCE,DUCE japo bado viko chini yake.
4.UDSM ni chuo bora chenye wataalamu wakutosha ambao vyuo vingi nchini na nje pia wamezalishwa hapo
5.UDSM ni chuo chenye ubora wa kitaifa na kimataifa in its programmes and research qualities
6.UDSM is a University with big reputation
HAYO NI MACHACHE TU
Fikilieni nje ya box.Kama Kazi hamna sio kosa la udsm, kupigwa kwenye interview sio sababu ya udsm pia, nashindwa kutofautisha unachosema na ule umbea wa waliokosa chance yakusoma udsm wakitaka kujitetea kwanini hawastahili kuwa udsm, ila nikupe fact tu kwa kozi nnayosoma hakuna ambaye yupo mtaani kwa kukosa ajira.
Nadhani mtoa mada alitaka kujua "ukuu" wa UDSM kitafiti na kiuvumbuzi sasa naona wachangiaji wengi tumeamua "kurusha mawe".
Anyway ningekua najua ningemjibu, ila kwa sasa wacha nishuhudie mashambulizi makali kuelekea kwa mtoa mada.
Ujajibu swali,yani UDSM wamesaidia vipi Taifa au wamevumbua nini? hilo ndio swali.Kabla sija kuambia ukubwa wa UDSM,naomba nikutahadharishe kuwa kutokana na "Argument" unaweza tiliwa mashaka kama kweli umeingia hapokwa sifa sitahiki hapo maana hicho ni chuo cha "GREAT THINKER"
Sasa nakuja kwenye hoja zako:
1.Tunaposema Chuo kikubwa hatumaanishi ukubwa wa eneo,bali ni taaluma inayotolewa kwa kuzingatia wataalamu waliopo chuoni hapoukilinganisha na vyuo vingine.
2.UDSM ndiyo chuo kikuu cha kwanza nchini tangu Tanzania ipate Uhuru.
3.UDSM ndiyo chuo kilichozalisha vyuo vingine vidogovidogo na sasa ni vikubwa kabisa kama vile, SUA,MUHIMBILI,ARDHI, MUCE,DUCE japo bado viko chini yake.
4.UDSM ni chuo bora chenye wataalamu wakutosha ambao vyuo vingi nchini na nje pia wamezalishwa hapo
5.UDSM ni chuo chenye ubora wa kitaifa na kimataifa in its programmes and research qualities
6.UDSM is a University with big reputation
HAYO NI MACHACHE TU
Unaleta ubishi usio na maana yoyoye.. Nimekuandkia mojawapo ya tafiti ambayo imefanywa na dr. Wa CoET nkakuambia ukitaka ujifunze zaidi nenda workshop ya CoET ukajionee vtu wanavyofanya.. Hutoona mtumishi wa chuo anakuja kukujibu humu chuo kina College zaidi ya 6 kina watumishi ngazi ya prof, dr wa kutosha unazani hvyo vyeo wanapewa kama pambo tu..Naona hoja yangu watu mnaikwepa mimi nataka kujua ni ugunduzi gani au utafiti ulio fanywa UDSM ambao umesaidia TAIFA unaniambia niende coet kwani panya wa kutegua mabomu SUA wamefungiwa sua 2 si wanapelekwa kwa jamii
Bro unavyosema research ya building materials tunaomba mfano WA hayo majengo. Maana huku kwetu ujenzi ni mchanga,cement,.Unaleta ubishi usio na maana yoyoye.. Nimekuandkia mojawapo ya tafiti ambayo imefanywa na dr. Wa CoET nkakuambia ukitaka ujifunze zaidi nenda workshop ya CoET ukajionee vtu wanavyofanya.. Hutoona mtumishi wa chuo anakuja kukujibu humu chuo kina College zaidi ya 6 kina watumishi ngazi ya prof, dr wa kutosha unazani hvyo vyeo wanapewa kama pambo tu..
Kama unataka kweli kujifunza fanya kama nilivyokuambia ila kama unataka ubishani siku njema..
Kuna prof lwambuka wa CoET huyu alifanya study ya effect ya wind kwenye majengo na watu mpaka leo wanatumia study yake.
Kuna dr. Nyaoro mtaalm wa Geotechnical engineering amefanya mambo makubwa sana kwenye soil mechanics.
Hutoona wanakuja kukujibu humu.
Kuna dr. Makunza amefanya research ya low cost building inatumik sasa hv.
Kuna prof Mrema mtaalm wa building materials kafanya research nying kweny building materials..
Hydroelectric power za tanzania zmekua design na prof mtaro wa pale CoET,
Geotechnical engineer wa nyerere bridge ni dr. Wa CoET
Nmeipenda hiyo project kwani wamekuja kuintroduce tanzania,lakini hyo tafiti mbona ilifanywa na NATIONAL LIME ASSOCIATION hipo nchini marekani na washaandika vitabu vyake na pia zipo tutorial namna ya kuendesha hyo project........natoa hongera kubwa kwao kwa sababu wenyewe ndo wameintroduce hapa bongo na sio kwa uvumbuziKwa wale wahandisi nazani wanajua vzuri changamoto za expansive soil kwenye barabara pamoja na kwenye nyumba. Waliogundua njia za kuzuia effect ya expensive soil by two stage stabilization ni dr. Wa udsm pale CoET na wa Ardhi.
hii njia una add kwanza lime kwa ajili ya kupunguza plasticity na kulower PH value then una add cement kw ajili ya kuipa strength soil yako..
Huu ni uvumbuzi ambao umesaidia sana fani ya uhandisi especially wa barabara.
Ukitaka kuona tafiti nyingi znazofanya na CoET unaweza kuja pale kwenye workshop hope utapata majibu yako mengi.
Kuna building materials zaid ya hzo cement.. Mfan kuna pozolana, unaeza tumia volcano ashes kama mbadala wa cement, unaeza kutumia pumba za mpunga pamoja na chokaa ikawa mbadala wa cement.. Na hzo study zote zimefanywa hapa Tanzania n zmeleta positive result.Bro unavyosema research ya building materials tunaomba mfano WA hayo majengo. Maana huku kwetu ujenzi ni mchanga,cement,.
Na kama huo ugunduz ni applicable. Basi udsm haina wataalam wa public relation
Ningekua najua jinsi ya kueka link ningekuekea lakini hyo procedure ilikua invented na dr wa CoET na wa ardhi.. Research zingine zilikua zina tumia one of materials either lime au cement sio kwa pamoja.Nmeipenda hiyo project kwani wamekuja kuintroduce tanzania,lakini hyo tafiti mbona ilifanywa na NATIONAL LIME ASSOCIATION hipo nchini marekani na washaandika vitabu vyake na pia zipo tutorial namna ya kuendesha hyo project........natoa hongera kubwa kwao kwa sababu wenyewe ndo wameintroduce hapa bongo na sio kwa uvumbuzi
yah nice tumeikubali hiyo introduction ya hiyo project nchini kwetu ni tija kubwa sana kwa taifa kuwa na huyo msomi ....... lakini usiite ni uvumbuzi.Ningekua najua jinsi ya kueka link ningekuekea lakini hyo procedure ilikua invented na dr wa CoET na wa ardhi.. Research zingine zilikua zina tumia one of materials either lime au cement sio kwa pamoja.
Na hiki ktu ka mara ya kwanza kilivumbuliwa 2011 na kikawa applied barabara ya chalinze_kibaha
Mkuu wew kwako uvumbuzi ni nn? Hiko ktu kilikua hakijawah kufanyika popote pale na kimefanyika CoET. Sasa utashindwaje kuita uvumbuzi.. Au uvumbuzi mpaka afanye mzungu tu?yah nice tumeikubali hiyo introduction ya hiyo project nchini kwetu ni tija kubwa sana kwa taifa kuwa na huyo msomi ....... lakini usiite ni uvumbuzi.
pitia majarida ya lime national association ndo utanielewa kwamba nn namaanisha ukisema kwani ukisema ndo hao ndo watanzania wa kwanza kuintroduce project fulani tanzania kuna shida.??........ukisema uvumbuzi maanake ni kitu kipya akijawai kuexist kabisa duniani.....kwa ualisia hakuna chuo chochote kilichovumbua ktu hapa tanzania ila vyuo vingi vmeintroduce tanzania (uvumbuzi ni kama ule aliofanya george hortz kupata magari na baiskeli znazoweza kujiendesha ss mimi nkiileta hyo tanzania haimaanishi kuwa nmevumbua kwa sababu tayari kuna machapisho yake mtandaoni) ndo mana nkakwambia hata hao wasomi wanaointroduce hzo project kwa mara ya kwanza nchini wanatija pia,sipo upande wa uchuo zaidi ....... ila mm na wewe tunapishana uelewa wa kauli tuMkuu wew kwako uvumbuzi ni nn? Hiko ktu kilikua hakijawah kufanyika popote pale na kimefanyika CoET. Sasa utashindwaje kuita uvumbuzi.. Au uvumbuzi mpaka afanye mzungu tu?
Mkuu nazani hutaki kukubali tu ukweli.. Wew unachokisema ni kuapply theory.pitia majarida ya lime national association ndo utanielewa kwamba nn namaanisha ukisema kwani ukisema ndo hao ndo watanzania wa kwanza kuintroduce project fulani tanzania kuna shida.??........ukisema uvumbuzi maanake ni kitu kipya akijawai kuexist kabisa duniani.....kwa ualisia hakuna chuo chochote kilichovumbua ktu hapa tanzania ila vyuo vingi vmeintroduce tanzania (uvumbuzi ni kama ule aliofanya george hortz kupata magari na baiskeli znazoweza kujiendesha ss mimi nkiileta hyo tanzania haimaanishi kuwa nmevumbua kwa sababu tayari kuna machapisho yake mtandaoni) ndo mana nkakwambia hata hao wasomi wanaointroduce hzo project kwa mara ya kwanza nchini wanatija pia,sipo upande wa uchuo zaidi ....... ila mm na wewe tunapishana uelewa wa kauli tu
haya bwana tusibishane sana nduguMkuu nazani hutaki kukubali tu ukweli.. Wew unachokisema ni kuapply theory.
Nmeptia hayo majarida unayosema na yote yameonsha kuwa wanatumia either lime, or cement lakini sio kwa pamoja. Kutumika kwa pamoja kwa ajili ya kufanya stabilization ilifanywa na hawa wadau ndo mana wakaita two stage stabilization inventors na hili ndo liliondoa tatzo la expansive soil.
Jarida la hawa ma. Dr liliandikwa 2011 nazani hadi humu Jf thread yake ipo..