Ubora wa tv za Star-X

Ubora wa tv za Star-X

Kwa Tv mkuu hakuna anayeweza kuwagusa hawa jamaa. Dunia inaelekea kwenye Amoled, Oled, poled etc tumeshatoka kwenye mambo ya LCD hasa kwenye TV. makampuni makubwa ya kutengeneza hizo panel ni
1. samsung display
2. LG Display
3. Sony
4. China star optoelectronics Technology (inamilikiwa kwa pamoja na samsung na TCL)

Hao ndio wababe sasa hivi, hata iwe kampuni gani inataka kutengeneza TV za kisasa za oled inabidi wakanunue vifaa kwa mabwana wakubwa hao.

Sharp sasa hivi imenunuliwa na Foxconn na hao Sharp toka zamani ni wataalamu wa LCD. na TV za Sharp hazitengenezwi na Sharp jina walishaliuza zamani.
mkuu kwa tv zenye platform ya Roku unaweza tumia hizo tv box za android??

na vipi kuhusu web os?
 
mkuu kwa tv zenye platform ya Roku unaweza tumia hizo tv box za android??

na vipi kuhusu web os?
Tv box inakubali tv yoyote as long as hiyo tv ina hdmi.

Kwa lugha rahisi ili uelewe fikiria deki ya CD, kila kitu kinafanyika kwenye deki, tv kazi yake ni kuonyesha tu picha inayotoka kwenye deki,

Kwenye tv box napo ni hivyo hivyo tv yako inaonyesha tu ila kila kitu kuanzia internet,apps na mambo mengine yanakuwa ndani ya tv box.

Hivyo hakuna compability ikiwa tv ya web os,ama ya roku ama tv isio smart iwe ya kichina ama og zote tv box itafanya kazi, requirement ni HDMI tu.
 
nimekupata mkuu
 
Nisaidie kaka naweza kupata wapi hicho kifaa na kama kuna duka unalijua niunganishe nalo...na kitafaa kwenye star x inchi 43

Sent using Jamii Forums mobile app
CHRISTMASS OFFER
MXQ Pro 4K ZIMERUDI
Kwanini upoteze PESA zako kununua kingangamuzi na kulipia kila MWEZI?
Device hii ndio mkombozi wako itakuwezesha kuangalia Channel zote,Mechi zote,Movies na Series BURE bila malipo yoyote.
Support Miracast,Wifi,4K
Over 70000 Local & international channels,Pre installed Apps,Cracked KODI.
PRICE 80,000TSH ONLY
KWA MASWALI CALL 0713388226,UKIULIZA SWALI HUMU HUTOJIBIWA.
LIMITED STOCK
 
Nmeokota tangazo kwenye group la biashara. Watafute hao wauzaji
 
Hui ni wiziii...!! Wiziii mtupuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kimoja kuhusu MXQ na box mbalimbali zinazopatikana Tanzania zinatumia Android ya kawaida ambayo sio Android tv, hivyo ni vyema kujiepusha nazo unless unajua unachofanya.

Tafuta xiaomi mi box, amazon fire tv, Roku na box nyengine ambazo os zake zimekuwa optimized kutumika kwenye tv.
 
Kifaa hicho kinaitwa TV Box, vipo vya aina nyingi ila common ni mXQ Pro Tv box. Kinauzwa kati ya 80,000 mpaka laki 1.

Ndio utaweza kukitumia kwa kuchomeka waya kwenye hdmi ports za TV yako. Hakuna la nyongeza maana kinakuja na nyaya zake, remote na mazaga mengine!
Mkuu hiki kifaa kinaweza saidia upAte FTA channelz kwan TV nyingi ambazo ni Smart zina in-built decoder cjui inaitwaje ambayo ukiweka antenna tuu unapata FTA channelz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A749644D96EB6C2F.png
8DBB218DD5F0D573.png
092AB7DCDE844F0E.png

Kwa sasa kama unataka Android box nzuri ni xiaomi mi box 4s ina features kibao za kijanja, ila bei yake 150k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usisahau kuangalia na model, kama juu kulivyozungumzwa hio lg au tcl utakayouziwa inaweza ikawa ni ya kizamani. hakikisha una hata ka simu ka ku google ukiwa dukani unaitumbukiza model google kuangalia ni ya lini na ina vitu gani
Huyu jamaa namkubali Sana we chief mkwawa ni mtu muhimu
Sana
 
Kuna kitu kimoja kuhusu MXQ na box mbalimbali zinazopatikana Tanzania zinatumia Android ya kawaida ambayo sio Android tv, hivyo ni vyema kujiepusha nazo unless unajua unachofanya.

Tafuta xiaomi mi box, amazon fire tv, Roku na box nyengine ambazo os zake zimekuwa optimized kutumika kwenye tv.
Mkuu hiki kifaa kinaweza saidia upAte FTA channelz kwan TV nyingi ambazo ni Smart zina in-built decoder cjui inaitwaje ambayo ukiweka antenna tuu unapata FTA channelz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiki kifaa kinaweza saidia upAte FTA channelz kwan TV nyingi ambazo ni Smart zina in-built decoder cjui inaitwaje ambayo ukiweka antenna tuu unapata FTA channelz

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Zipo TV box zenye hiyo DVB-T2 receiver lakini Mi Box s haina. Hiyo receiver yenyewe ambayo ni built in haionyeshi channel zote nying ni scrambled, kinapokea channel za startimes na continental, ila kwa cable ndio utapata channels nyingi, mm kwa TV yangu zilizokubali ni star TV na hope channel tu!.
IMAG0538.jpeg
IMAG0535.jpeg
IMAG0528.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung niliyokuwa nayo model sikumbuki niliinunua mwaka 2013, na lg niliinunua mwaka 2015 ilikuwa ni toleo la mwaka huo now nimerudi tena samsung
Weka model ya hyo lg ya 2015

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Back
Top Bottom