Ubora wa tv za Star-X

Ubora wa tv za Star-X

Hili ni jambo muhimu sana,ni vyema ukaniwekea model hapa au majina na duka nikaepuka kujilaumu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu kuzipata Tanzania mkuu, model ni hizo nilizozitaja hapo juu.
1. Kama una hela ya kulipia kila mwezi nunua Roku.
2. Kwa vitu vya bure nunua za android kama
-amazon fire tv stick
-xiaomi mi box
-mecool box etc
 
TCL zamanj ndio tulikuwa tunaijua kama HITACHI

Si mnazikumbuka Hitachi zilivyokuwa ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu inasemwa sana na wauzaji wa Tv ili kuwaaminisha wateja kwamba TCL ndo Hitachi. Ukigoogle unakuta hizi ni kampuni mbili tofauti na zote bado zina exist.
Kuna duka lina Tv za Hitachi na TCL. Sasa unaanzaje kusema kwamba TCL ni Hitachi ya zamani?

Sent from my Redmi 5 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ngumu kuzipata Tanzania mkuu, model ni hizo nilizozitaja hapo juu.
1. Kama una hela ya kulipia kila mwezi nunua Roku.
2. Kwa vitu vya bure nunua za android kama
-amazon fire tv stick
-xiaomi mi box
-mecool box etc
Roku hyo unalipia bei gan kwa mwezi mkuu?? Na unaweza nipa maelezo kidogo nikaifaham ?? Au na yenyew nii TV box??
 
Roku hyo unalipia bei gan kwa mwezi mkuu?? Na unaweza nipa maelezo kidogo nikaifaham ?? Au na yenyew nii TV box??
Inategemea na service utakayonunua. Mfano wewe ni mpenzi wa movies na series unalipia Netflix ambayo ni kama dola 10 kwa mwezi (24,000) mnaweza mkashare hii account hadi watu wanne na wawili wanaweza kuangalia kwa mpigo.

Roku inaweza kuja na tv mfano za TCL ama ukanunua tv box/stick separate.

From scratch imetengenezwa kwa ajili ya tv hivyo ni nzuri sana kimatumizi na haichanganyi compare na za android.
Muonekano wa box/stick
rokulineup-100684133-large.jpg

Muonekano kwenye tv
IMG_3234-920x518.jpg
 
Thanks mkuu.. Lakin hapo bundle la internet si lazima???
 
Mkuu utafunaji bundle ni unachotumia hakuna limit maalum jinsi matumizi yalivyo makubwa ndio jinsi linavyoisha

Smart tv chache zinakuja na android.

Samsung zake zinakuja na tizen os
Lg zake zinakuja na web os
Tcl zake zinakuja na roku ama modified linux tv os.
Baadhi ya kampuni zinakuja na android.

Kama ni android local chanell unaona kupitia apps husika kama sio android inabidi uweke links za local chanells manual,zote inawezekana.
Ahsante Sana mkwawa ww nimoja kati ya watu muhimu Sana kwenye jukwaa hili! Nimoja kati yawatu niao wafatilia Sana na mnanifanya niendelee kufatulia jf, vp mkuu upande wa Tv bora kwa Sasa maana ninampango wa kuchikua smart nch 32 kati ya LG Samsung na TCL. Je ipi inaweza kua the best kuliko??? Ushauri tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngumu kuzipata Tanzania mkuu, model ni hizo nilizozitaja hapo juu.
1. Kama una hela ya kulipia kila mwezi nunua Roku.
2. Kwa vitu vya bure nunua za android kama
-amazon fire tv stick
-xiaomi mi box
-mecool box etc
Vp mkwa ntajuaje km hi tv nibora kwa upande wa Resolution mfn Kati ya 1366*768 na 1920*1080 na tofauti ya vitu hivi ni ipi? Na ntajuaje km ni built in settelite decoder ? Msaada plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp mkwa ntajuaje km hi tv nibora kwa upande wa Resolution mfn Kati ya 1366*768 na 1920*1080 na tofauti ya vitu hivi ni ipi? Na ntajuaje km ni built in settelite decoder ? Msaada plz

Sent using Jamii Forums mobile app
1920x1080 ni bora zaidi sababu resolution yake ni kubwa, ila kuupata huo ubora inabidi pia uwe na content nzuri.

Mfano ukiangalia chanel 10 kwenye tv yoyote unaweza usione utofauti sababu tv yenyewe ina quality mbaya na resolution ndogo, ila ukiangalia chanell kama Azam sport HD utaona utofauti baina ya tv yenye resolution kubwa na ndogo.

Kuhusu decoder pitia huu uzi.
Utajuaje kama TV yako ina king'amuzi cha ndani? - JamiiForums
 
Ahsante Sana mkwawa ww nimoja kati ya watu muhimu Sana kwenye jukwaa hili! Nimoja kati yawatu niao wafatilia Sana na mnanifanya niendelee kufatulia jf, vp mkuu upande wa Tv bora kwa Sasa maana ninampango wa kuchikua smart nch 32 kati ya LG Samsung na TCL. Je ipi inaweza kua the best kuliko??? Ushauri tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia budget yako mkuu, na specs utakazopata. Mfano unapata TCL 1080p yenye Roku at same price ya samsung ama lg ni 720p kwangu binafsi ningechukua TCL.

Kama unapitia sehemu unaweza chukua models zake na kuzileta humu ili tuzilinganishe.
 
Hii ina fursa gani humu,play store inapatikana na kipi kingine cha ziada
Main Features:
● Android 8.1 Version
Based on the Android 8.1 OS, with fast speed and smooth performance, which is designed to turn your regular TV into a smart one.
● DDR3 2GB RAM, eMMC 8GB ROM
It is configured with DDR3 2GB RAM, and eMMC 8GB ROM, thus it can provide enough room and freedom to install Apps without worrying about running out of space.
● Voice Remote Control
Xiaomi Mi Box S will search for what you want by speaking to the remote.
● DTS-HD and Dolby Stereo Sound
Processed by Dolby audio and DTS-HD audio encoding, let you fully enjoy the 3D premium sound quality and cinema effect at the same time.
● HDMI 2.0 Connector
You can go directly to let your TV and Mi Box S connect through an HDMI cable and set up your home cinema for the best 4K x 2K UHD multimedia experience.
● High Clarity 4K HDR
Features the latest 4K HDR technology and high-speed 4K processing, up to 60fps playback, giving ultra high-definition and lifelike visual experience
● Access Tons of Content
Compatible with various apps, giving you access to tons of superior video, services and a constant stream of fresh new content

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hilo swali ni gumu sana. Kwa kifupi tu kuna mambo mengi ya kuangalia. Makubwa haswa ni kwamba wewe mnunua TV unahitaji nini kwenye TV yako,viewing angle,je kwa TV ndogo kama nchi 40 (Samahani kwa huku nilipo hizo ni ndogo) je kuna faida ya kununua 1080P ?Kama hakuna faida je nikinunua 720P nikaokoa hela kuna madhara yoyote ? Najua sasa hivi kuna 4K ambayo ni 2160P je ukinunua hiyo kuna content za kuangalia kwa hiyo resolution ? Fikiria tu ukiangalia TV kwa jumla sidhani kama kuna station inayorusha matangazo kwa 1080P,zinazojitahidi sana ni 720P kwa hiyo mara nyingi utaangalia 1080P contents ukutumia blu ray,mfuko wako una urefu gani etc etc. Pia fanya research yako mwenyewe kuhusu hiyo TV,yaani kuanzia brand na model number. Model number,tafiti kwa nini kwa mfano Samsung LCD 50 inches zenye model number tofauti,zinauzwa bei tofauti.Usiulize muuzaji kwa kuwa mara nyingi atataka kuuzia ambayo ina profit margin kubwa.
Karibu
Mkuu naomba uanzishe uzi au hapa hapa ututoe tongo tongo....juu ya vitu vya kuzingatia unaponunua TV. Ukianzisha uzi...unitag. Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1920x1080 ni bora zaidi sababu resolution yake ni kubwa, ila kuupata huo ubora inabidi pia uwe na content nzuri.

Mfano ukiangalia chanel 10 kwenye tv yoyote unaweza usione utofauti sababu tv yenyewe ina quality mbaya na resolution ndogo, ila ukiangalia chanell kama Azam sport HD utaona utofauti baina ya tv yenye resolution kubwa na ndogo.

Kuhusu decoder pitia huu uzi.
Utajuaje kama TV yako ina king'amuzi cha ndani? - JamiiForums
Ahsante Sana kaka hapo no comment
 
Angalia budget yako mkuu, na specs utakazopata. Mfano unapata TCL 1080p yenye Roku at same price ya samsung ama lg ni 720p kwangu binafsi ningechukua TCL.

Kama unapitia sehemu unaweza chukua models zake na kuzileta humu ili tuzilinganishe.
umesomeka swali langu limekua lenye faida kwangu nakwa wengine! Hasa nlikua nachanganyikiwa kwenye hiki kitu resolution unakuta tv inayosifiwa kwa ubora ni LG au Samsung lkn imezidiwa resolution na tv ya kawaida mfano singsung namaranyingi tv zilizoandikwa fully hd zinakua na resolution kubwa
 
Back
Top Bottom