Ubora wa tv za Star-X

Ubora wa tv za Star-X

Mimi nahitaji tu TV box ya kawaida ambayo naweza kupata app kama azam na kuistall baadhi ya app nichek,ila sijajua iliyo bora na rahisi kupata ni IPI,pia nipe ubora wa Mi box
Inategemea na service utakayonunua. Mfano wewe ni mpenzi wa movies na series unalipia Netflix ambayo ni kama dola 10 kwa mwezi (24,000) mnaweza mkashare hii account hadi watu wanne na wawili wanaweza kuangalia kwa mpigo.

Roku inaweza kuja na tv mfano za TCL ama ukanunua tv box/stick separate.

From scratch imetengenezwa kwa ajili ya tv hivyo ni nzuri sana kimatumizi na haichanganyi compare na za android.
Muonekano wa box/stick
rokulineup-100684133-large.jpg

Muonekano kwenye tv
IMG_3234-920x518.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesomeka swali langu limekua lenye faida kwangu nakwa wengine! Hasa nlikua nachanganyikiwa kwenye hiki kitu resolution unakuta tv inayosifiwa kwa ubora ni LG au Samsung lkn imezidiwa resolution na tv ya kawaida mfano singsung namaranyingi tv zilizoandikwa fully hd zinakua na resolution kubwa
Inategemea mkuu, kuna mambo mengi ya kuangalia.
-viewing angle
Tv inapokaa sebuleni kila mtu anakaa sehemu yake kuna wanaoiangalia tv straight na kuna wanaokaa kwa pembeni, kioo kizuri mahala popote unapokaa unaona kwa quality ile ile. Brand za ajabu ajabu mara nyingi hazima quality kama hii.
2.jpg

Hapa ndio unakutana na technology kama ips.

2. Technology iliotumika kutengeneza vioo
Kuna oled, Qled, led, lcd, plasma etc
OLED-vs-LED-TV-Contrast.png

3. Contrast ratio
Utofauti baina ya tv kuonyesha rangi nyeupe na nyeusi.

4. Resolution etc

Hivyo unaweza kuta tv ni oled ila imepitwa resolution na lcd na still hio tv ya oled ikaonyesha picha vizuri.
 
Mimi nahitaji tu TV box ya kawaida ambayo naweza kupata app kama azam na kuistall baadhi ya app nichek,ila sijajua iliyo bora na rahisi kupata ni IPI,pia nipe ubora wa Mi box

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama budget inabana unaweza chukua hio mxq bei yake ni chini ya laki na online chini ya 50,000 unaipata.

Mi box ni nzuri zaidi maana utapata android tv na voice feature. Utaweza tu kuicomand tv na sauti. Pia specs zake ni nzuri utapata overall good experience.
 
Inategemea mkuu, kuna mambo mengi ya kuangalia.
-viewing angle
Tv inapokaa sebuleni kila mtu anakaa sehemu yake kuna wanaoiangalia tv straight na kuna wanaokaa kwa pembeni, kioo kizuri mahala popote unapokaa unaona kwa quality ile ile. Brand za ajabu ajabu mara nyingi hazima quality kama hii.
2.jpg

Hapa ndio unakutana na technology kama ips.

2. Technology iliotumika kutengeneza vioo
Kuna oled, Qled, led, lcd, plasma etc
OLED-vs-LED-TV-Contrast.png

3. Contrast ratio
Utofauti baina ya tv kuonyesha rangi nyeupe na nyeusi.

4. Resolution etc

Hivyo unaweza kuta tv ni oled ila imepitwa resolution na lcd na still hio tv ya oled ikaonyesha picha vizuri.
Hii imenikosha mkuu ...vipi kwa uzoefu wako aina gani zinaweza kuwa nzuri na mtu akakaa angle yoyote na kufaidi muonekano
 
Kama budget inabana unaweza chukua hio mxq bei yake ni chini ya laki na online chini ya 50,000 unaipata.

Mi box ni nzuri zaidi maana utapata android tv na voice feature. Utaweza tu kuicomand tv na sauti. Pia specs zake ni nzuri utapata overall good experience.
Hapa dar-es salaam zinapatikana hizi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tatizo moja kubwa sana Tanzania. Kununua kwa Kigezo kimoja tu ambacho umekariri

Unasikia mtu anakwambia star X mimi nnayo miaka 3 haisumbui, tecno yangu tangu ninunue sijaona tatizo

Kwakweli kununua vitu vya electronics hasa TV au Simu haiishii tu kusema kimekaa miaka mingapi.

TV kwa mfano zina mambo mengi ya kuangalia. Ikiwepo Ubora wa picha, Rangi, Kioo, speaker ukiachilia mbali tecnolojia za ziada, kama HDR, Mirroring nk nk

Sasa unakuta mtu anakwambia nna Mr Uk mwaka wa saba, kaangalie Iyo TV picha na Rangi duh unaweza kimbia. TV ukienda pembeni tu 45° unaona usiku

Kwahiyo kununua hv vitu yahtaji ki Review mambo mengi. Binafsi hata mitandaoni nakutaga Samsung inch 55 labda inauzwa mil 1, unavutiwa labda bei cheap. Lakini cha kwanza nitamuomba muuzaji Model ya TV husika. Hapo naweza kukaa sasa google hata masaa 2 nai Review taratibu.

Kuanzia Display, Colour, Finishing materials, Innovation inazokuja nazo Nk nk
Uko vzur katika upembuxi wa mashne sahihi umenfunza kitu kka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea mkuu, kuna mambo mengi ya kuangalia.
-viewing angle
Tv inapokaa sebuleni kila mtu anakaa sehemu yake kuna wanaoiangalia tv straight na kuna wanaokaa kwa pembeni, kioo kizuri mahala popote unapokaa unaona kwa quality ile ile. Brand za ajabu ajabu mara nyingi hazima quality kama hii.
2.jpg

Hapa ndio unakutana na technology kama ips.

2. Technology iliotumika kutengeneza vioo
Kuna oled, Qled, led, lcd, plasma etc
OLED-vs-LED-TV-Contrast.png

3. Contrast ratio
Utofauti baina ya tv kuonyesha rangi nyeupe na nyeusi.

4. Resolution etc

Hivyo unaweza kuta tv ni oled ila imepitwa resolution na lcd na still hio tv ya oled ikaonyesha picha vizuri.
We jamaa km cyofundi wa electronc utakua hujitendei haki! Unajua mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom