Ubora wa tv za Star-X

Ubora wa tv za Star-X

unadownload playstore kwenye simu yako kisha una pair. kama ni tv ya roku itakubali, kama sio ya roku itakataa.
Ndio hasa nilichokuwa namuelekeza jamaa. TCL smart tv ziko generation tatu mkuu. Mwanzo walitoa linux based kisha wakaja android based na sasa wako Roku based.

Kwa soko letu la bongo hizo za linux ziko dated na ndio zilizojaa maduka mengi. Zenye android os zipo chache pia ila wauzaji wengi hawajui tofauti zilizopo wao wanapost mapicha tu ya TCL zenye Roku os katika matangazo ila interface ya Roku ni tofauti kabisa na hizo gen.za nyuma from the tv homescreen tu.

Kuhusu kupair tv na simu najua kwa kufanya screen mirroring tu ila kwa style unayosemea wewe sidhani kama itafaa maana tv yangu sio ya Roku!
 
nimeicheki online ni opera tv. siku hizi inaitwa vewd.

ila mkuu hata Roku sio nzuri kivile ni kama tu hio opera tv, imetengenezwa kujali mazingira ya usa watu wanaolipia subscription za TV mbalimbali kama Netflix. hupati mobdro wala kodi wala plex, advantage yake ni smart tu utaconect simu na tv hizo apps utatumia za simu.
 
Mimi natumia Star X 43" kwa miaka 2, iko vizuri na sijapata tatizo lolote! Na kabla ya hapo nilikuwa natumkia Sony Bravia 32" ambayo ilikufa Display baada ya miaka 5.
Naungana na wwe mkuu na mmi nina mwaka sasa toka ninunue Star X 32" kama testing tu baada ya kuona bei yao na picture quality,amazing.
 
nimeicheki online ni opera tv. siku hizi inaitwa vewd.

ila mkuu hata Roku sio nzuri kivile ni kama tu hio opera tv, imetengenezwa kujali mazingira ya usa watu wanaolipia subscription za TV mbalimbali kama Netflix. hupati mobdro wala kodi wala plex, advantage yake ni smart tu utaconect simu na tv hizo apps utatumia za simu.
Yeah inatumia interface ya opera. ROKU tv kwa bongo wachache sana wataweza zitumia. Maana mabando huku ni ya mawazo sio kama wenzetu US unaweza fungiwa internet nyumbani kama system ya umeme au maji kisha walipa mwisho wa mwezi!

Kwangu naona android tv ndio nzuri zaidi though wanadai ina limitations nyingi sana kwenye streaming channels nyingi lazma uzilipie tofauti na ukizikuta kwenye Roku ziko free tu.
 
Yeah kwa bongo wachache sana wataweza itumia. Maana mabando huku ni ya mawazo sio kama us unafungiwa internet nyumbani kama system ya umeme au maji kisha walipa mwisho wa mwezi!
Mangi model gani Sony Home Theatre ambayo ni nzuri? Price 0.9million -1.2Million
 
Mkuu chukua Sony BDV-E3200 ndio iko vizuri sana katika hio price range. Ni toleo la kisasa lenye blu-ray player na NFC connectivity, Wi-fi na features nyingine kali. Output yake ni 1000 watts so itakuwa na mziki wa kutosha tu.

Kwa sasa ndio zimeanza ingia bongo so ni rahisi kuipata OG kama utakuwa mteja wa mapema.
 
Msaada tafadhali

Kati ya lg na TCL ipi ni nzuri kwenye sauti,ubora wa picha nk

Nataka kuchukua inch 32 kati ya hizi.

Ushauri wenu wakuu
 
Je smart tv TCL Vs Lg ambayo sio smart
Hapo jee ??
Kwangu kipaumbele ni ubora wa picha,sauti na durability.

Je nichukue ipi kati ya hapo
Kama kipaumbele ni picha na sauti chukua LG kiongozi ila kwa durability zote ziko durable and reliable regardless hio LG sio smart tv.

TCL wako bomba ingawa kwa picha angavu hawaifikii LG ila quality yao inaridhisha sana hasa ukiongeza na smart features kama youtube, facebook, twitter, screen mirroring, web browser na golive streaming channels inaziba kabisa hilo pengo la LG
 
Good analysis

Dah ngoja nichukue tu TCL manake walishaifungua kabisa kwenye box roho ikasita.

Japo bundle la kuchechemea lakini hakuna jinsi.
 
Msaada tafadhali

Kati ya lg na TCL ipi ni nzuri kwenye sauti,ubora wa picha nk

Nataka kuchukua inch 32 kati ya hizi.

Ushauri wenu wakuu
usisahau kuangalia na model, kama juu kulivyozungumzwa hio lg au tcl utakayouziwa inaweza ikawa ni ya kizamani. hakikisha una hata ka simu ka ku google ukiwa dukani unaitumbukiza model google kuangalia ni ya lini na ina vitu gani
 
Kwa experience yangu katika ubora wa picha samsung anampiga bao lg maana nilianza na samsung later nikahamia lg nikaja kugundua hilo.
Sony sijawahi kutumia ila kuna jamaa yangu alikuwa nayo lcd sikuipenda na ilikuwa ijabagua video formats kutoka kwenye usb drive
 
Inategemea ulikua na Lg model gani na pia hiyo samsung ilikua model gani...

LG mtu makini sana make sure unapata yenye specs nzur...
 
Samsung niliyokuwa nayo model sikumbuki niliinunua mwaka 2013, na lg niliinunua mwaka 2015 ilikuwa ni toleo la mwaka huo now nimerudi tena samsung
 
Ila ukichunguza sana model za Tv zinazouzwa Africa TCL na Samsung ni tofauti kabisa na model za ulaya.

Sana model za Afrika unazikuta Uarabuni labda na India na ndiko nyingi zinakuwa Reviewed
 
Back
Top Bottom