Ubora wa tv za Star-X

Ubora wa tv za Star-X

duu huu uzi honestly umekuwa productive sanaa maana mi nachanganyikiwa sana punde linapo kuja swala kuchagua flat screen maana huwa zinanichanganya mnooo kuna mdau kagusia swala la tv aina ya TCL amenifurahisha sana amaanipa a amenipa knowledge ya kutosha maana binafsi nilitaka kununua TCL awali lkn nikasita so far bado priority yangu Lg, Tcl, lkn kuna k flat kamoja nimekaona kampuni ya sharp quos pia naona zipo vizuri mbali na madude makubwa ya OLED
 
Mm mwenyewe nafikiria Lg' Samsung au TCL bt lazima ziwe Smart tv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wadau ni tv gani zinazotumia umeme kiwango cha wstani maana nasikia kuna zingine zina tumia sana umeme au ndio zile zilikuwa za plasma tu
 
Tv box inakubali tv yoyote as long as hiyo tv ina hdmi.

Kwa lugha rahisi ili uelewe fikiria deki ya CD, kila kitu kinafanyika kwenye deki, tv kazi yake ni kuonyesha tu picha inayotoka kwenye deki,

Kwenye tv box napo ni hivyo hivyo tv yako inaonyesha tu ila kila kitu kuanzia internet,apps na mambo mengine yanakuwa ndani ya tv box.

Hivyo hakuna compability ikiwa tv ya web os,ama ya roku ama tv isio smart iwe ya kichina ama og zote tv box itafanya kazi, requirement ni HDMI tu.
Hizi tv box ulaji wake wa bundle si utakua wa hatari mkuu?
 
Hizi tv box ulaji wake wa bundle si utakua wa hatari mkuu?
Ili uweze kuitumia vizuri inabidi uwe ba bundle la kutosha, sema yapo matumizi mengine kama
-kuitumia tv box kustream video za kwenye simu ama laptop
-kucheza games
-kurun programs mbalimbali za offline.

Kuna kifurushi kama bandika bandua cha TTCL kinaweza kufaa kwa matumizi ya tv box.
 
Mkuu hizo zilizo bei juu zina tofauti gani na hizo za kawaida,na pia zina risk gani na hizi za kariakoo zinaweza kunipush kidogo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlimani City kitu cha laki kule laki nne ama tatu, tv ya laki saba kule milion moja na laki tano japo bidhaa ni ileile...bia ya elfu mbili kule 4500 maji ya buku jero kule 3500 na watu wananunua tu....ila wengineo tunaendaga mle kupigwa kuyoyozi cha bure.
 
Nilikuwa nasoma mtandaoni review Cnet na kwingineko TCL sasa inauza sana Marekani ikiwa ni Cheap Brand lakin ikija na tecnolojia ambazo kwa Sumsung na LG zingekuwa Ghari sana na wakawa wanaipna kama brand inayokuja kuwasumbua kampuni kama visio.

Na kuna sehemu nimesoma pia hii ni kampuni inauza sana kimarekani japo ina mizizi China.

Matoleo yake ya pekee yenye bei nafuu lakini yakiwa yana compete na Series kama U ya Samsung ni pamoja na P series (TCL) hivyo kwangu inaaminika zaidi
Mwaka 2013 ilikuwa kampuni ya 3 duniani kwa kuuza Tv

Na wanatumia OS yao moja hv jina nimesahau ambayo pia ipo well Reviewed
TCL zamanj ndio tulikuwa tunaijua kama HITACHI

Si mnazikumbuka Hitachi zilivyokuwa ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlimani City kitu cha laki kule laki nne ama tatu, tv ya laki saba kule milion moja na laki tano japo bidhaa ni ileile...bia ya elfu mbili kule 4500 maji ya buku jero kule 3500 na watu wananunua tu....ila wengineo tunaendaga mle kupigwa kuyoyozi cha bure.
 
Asante sana,ubarikiwe mkuu.
CHRISTMASS OFFER
MXQ Pro 4K ZIMERUDI
Kwanini upoteze PESA zako kununua kingangamuzi na kulipia kila MWEZI?
Device hii ndio mkombozi wako itakuwezesha kuangalia Channel zote,Mechi zote,Movies na Series BURE bila malipo yoyote.
Support Miracast,Wifi,4K
Over 70000 Local & international channels,Pre installed Apps,Cracked KODI.
PRICE 80,000TSH ONLY
KWA MASWALI CALL 0713388226,UKIULIZA SWALI HUMU HUTOJIBIWA.
LIMITED STOCK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni jambo muhimu sana,ni vyema ukaniwekea model hapa au majina na duka nikaepuka kujilaumu mkuu
Kuna kitu kimoja kuhusu MXQ na box mbalimbali zinazopatikana Tanzania zinatumia Android ya kawaida ambayo sio Android tv, hivyo ni vyema kujiepusha nazo unless unajua unachofanya.

Tafuta xiaomi mi box, amazon fire tv, Roku na box nyengine ambazo os zake zimekuwa optimized kutumika kwenye tv.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana. Zipo TV box zenye hiyo DVB-T2 receiver lakini Mi Box s haina. Hiyo receiver yenyewe ambayo ni built in haionyeshi channel zote nying ni scrambled, kinapokea channel za startimes na continental, ila kwa cable ndio utapata channels nyingi, mm kwa TV yangu zilizokubali ni star TV na hope channel tu!.View attachment 983275View attachment 983276View attachment 983277

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu,kwaio kwa TV box mzuli hapa ni ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili uweze kuitumia vizuri inabidi uwe ba bundle la kutosha, sema yapo matumizi mengine kama
-kuitumia tv box kustream video za kwenye simu ama laptop
-kucheza games
-kurun programs mbalimbali za offline.

Kuna kifurushi kama bandika bandua cha TTCL kinaweza kufaa kwa matumizi ya tv box.
Yes bwana mkwawa! Vp kuhusiana smart TV hazitafuni Sana bundle? Na handrod yake ningap? Na je nikivp unaweza angalia local channels

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes bwana mkwawa! Vp kuhusiana smart TV hazitafuni Sana bundle? Na handrod yake ningap? Na je nikivp unaweza angalia local channels

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utafunaji bundle ni unachotumia hakuna limit maalum jinsi matumizi yalivyo makubwa ndio jinsi linavyoisha

Smart tv chache zinakuja na android.

Samsung zake zinakuja na tizen os
Lg zake zinakuja na web os
Tcl zake zinakuja na roku ama modified linux tv os.
Baadhi ya kampuni zinakuja na android.

Kama ni android local chanell unaona kupitia apps husika kama sio android inabidi uweke links za local chanells manual,zote inawezekana.
 
Back
Top Bottom