KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
Naomba zitaje chache mkuu, tukichukua kikokotoo tununue.Overall TV za oled ni nzuri, ila mfuko nao inabidi uwe mzuri.
Naomba zitaje chache mkuu, tukichukua kikokotoo tununue.Overall TV za oled ni nzuri, ila mfuko nao inabidi uwe mzuri.
TV yenye access hizi haifai kuscree mirror au namna yoyote ya kuona aina flani ya smart tv... Maana naihitaji sana hiyo huduma ila mazingira ya upataji hiyo huduma yamenibana kupata hivyo vifaa kwa urahusiView attachment 993040
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu sana, mpaka kuagizishia online
Kama unataka tu ku mirror kioo cha simu yako si lazima kununua tv box unaweza tu ukanunua chromecast ama hizi miracast stick. Online kama 20,000 hivi ila huku kwetu wanaziuza hadi 60,000 zipo kama hivi.TV yenye access hizi haifai kuscree mirror au namna yoyote ya kuona aina flani ya smart tv... Maana naihitaji sana hiyo huduma ila mazingira ya upataji hiyo huduma yamenibana kupata hivyo vifaa kwa urahusiView attachment 993040
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukapitia hii link wamezilist kadhaaNaomba zitaje chache mkuu, tukichukua kikokotoo tununue.
VemaMkuu mi sijawahi zitumia tv za boss labda nipitie specification zake kwanza.
Natumia TCL sahivi baada ya kutoka samsung.
Vip hawa kodtec mkuuTCL ni wa tatu Duniani miaka mingi sasa, sema wanacompete na samsung na LG kwenye TV zetu hizi za kibongo za bei rahisi ila kwenye TV high end kama za OLED bado hajafika level hizo.
os yao hio Roku, pia unaweza ukaieka tv yoyote unanunua tu stick ya roku na kupachika kwenye tv yako.
![]()
mimi napenda kampuni ambazo ni wa wazi, kila kitu wanachotumia wanasema na specs zipo wazi unanunua unachokijua. sio kampuni nyengine za mfukoni tu hakuna maelezo duniani kuhusu hio kampuni.
Mchina mkuu, nunua at your own risk.Vip hawa kodtec mkuu
Hiv kuna tofaut gan kat ya tv zenye double glass na flamelessMchina mkuu, nunua at your own risk.
Double glass zina unafuu flani ktk uimara, ni ngumu cha ndani kuharibika.Hiv kuna tofaut gan kat ya tv zenye double glass na flameless
Hiv kuna tofaut gan kat ya tv zenye double glass na flameless
So ni bora kununuwa frameless siohiyo protector tu haihusiki na ubora wa picha,kama zigo ni bovu ni bovu tu.
no hatuwezi kubeza hiyo kioo tv zinavunjwa sana hata na watoto.So ni bora kununuwa frameless sio
Matoleo ya sasa ivi dah wamezingua aseeHawa jamaa kama wanakuja vizur sanaView attachment 2390263