Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
CHIEF MKWAWA naona unapigia debe tu lg, sony, sumsung, mbona kuna wanyama kama sharp, grundig na philips huzungumzii na wana vitu vikali tu
Kwa Tv mkuu hakuna anayeweza kuwagusa hawa jamaa. Dunia inaelekea kwenye Amoled, Oled, poled etc tumeshatoka kwenye mambo ya LCD hasa kwenye TV. makampuni makubwa ya kutengeneza hizo panel niCHIEF MKWAWA naona unapigia debe tu lg, sony, sumsung, mbona kuna wanyama kama sharp, grundig na philips huzungumzii na wana vitu vikali tu
kingine mkuu ina mana av receiver bongo ndo hazipatikani kabisa hata sony halet av receiver kabisaKwa Tv mkuu hakuna anayeweza kuwagusa hawa jamaa. Dunia inaelekea kwenye Amoled, Oled, poled etc tumeshatoka kwenye mambo ya LCD hasa kwenye TV. makampuni makubwa ya kutengeneza hizo panel ni
1. samsung display
2. LG Display
3. Sony
4. China star optoelectronics Technology (inamilikiwa kwa pamoja na samsung na TCL)
Hao ndio wababe sasa hivi, hata iwe kampuni gani inataka kutengeneza TV za kisasa za oled inabidi wakanunue vifaa kwa mabwana wakubwa hao.
Sharp sasa hivi imenunuliwa na Foxconn na hao Sharp toka zamani ni wataalamu wa LCD. na TV za Sharp hazitengenezwi na Sharp jina walishaliuza zamani.
Yeah you are right kiongozi, ukitaka mavitu OG ya hao jamaa nadhani ni mlimani city pekee ndio utapata zenye quality ya kimataifa.Ila ukichunguza sana model za Tv zinazouzwa Africa TCL na Samsung ni tofauti kabisa na model za ulaya.
Sana model za Afrika unazikuta Uarabuni labda na India na ndiko nyingi zinakuwa Reviewed
Aisee jamaa wa bongo wanaudhi,,,sijui kwanini hawatuleteagi recievers. Zile makitu ndio zinakuwaga na real sounds aisee. Unapata ile studio quality bila kokoro ukipata right speakers.kingine mkuu ina mana av receiver bongo ndo hazipatikani kabisa hata sony halet av receiver kabisa
nataka 7.2 4k av receiver. hasa yamaha rx v683 au rx v681 au denone avr720
Mkuu vipi kuhusu ubora wa ZEC TVhumu watu walikuwa wanazisifia zina quality nzuri ya picha, siku moja nilitembelea banda moja la game nikakuta wamezieka, tv zipo kwa chini kidogo, nikisimama tu tayari ule ubora wa picha unapotea inataka uiangalie straight, inamaana haitumii ips technology.
hivi vitu ambavyo hata ukivigoogle zinakuja result za Africa tu muwe mnakaa mbali navyo, vingi ni watu wanaenda China wananunua vitu na kubrand majina yao, havijulikani hata vimetengenezwa kiwanda gani.
kama Huna budget ya kutosha Tafuta TCL ni mchina anayeaminika na bei zao zinafanana na hao kina Boss na Star X.
Mkuu kuna Tv zinaitwa Green Arrow / Arrow smart tv ni Touch screen na zina Android version ... vip ubora wake kama unazielewa ?Yeah LG smart tv tena yenye 4K ni hatari!
Aisee jamaa wa bongo wanaudhi,,,sijui kwanini hawatuleteagi recievers. Zile makitu ndio zinakuwaga na real sounds aisee. Unapata ile studio quality bila kokoro ukipata right speakers.kingine mkuu ina mana av receiver bongo ndo hazipatikani kabisa hata sony halet av receiver kabisa
nataka 7.2 4k av receiver. hasa yamaha rx v683 au rx v681 au denone avr720
Aisee hio brand ndio naiskia kwako kiongozi, sizifahamu kabisa nimejaribu google naona pia haijiMkuu kuna Tv zinaitwa Green Arrow / Arrow smart tv ni Touch screen na zina Android version ... vip ubora wake kama unazielewa ?
nilishacheki ni yakizamani mno hata model za 2012 hawana. me nataka fully specification wifi,bluetooth hdmi za kutosha. internet radio pandora, Vtuner n.kAisee jamaa wa bongo wanaudhi,,,sijui kwanini hawatuleteagi recievers. Zile makitu ndio zinakuwaga na real sounds aisee. Unapata ile studio quality bila kokoro ukipata right speakers.
Jaribu kutembelea maduka ya wapemba k.koo wanaouza used radio unaweza kupata hio ya 7.2 ingawa itakuwa ya kizamani so hautapata vitu kama bluetooth ama hdmi.
Jina tu ni baya herufi x ni haifaiWadau habari jamani, naomba kujua ubora wa hizi luninga za kampuni ya Star X, je zinafaa kwa matumizi ya mazingira ya kitanzania.
Wajuzi jamani naomba mnijuze katika hili.
Kuna mdau aliileta humu mda kidogo nikajaribu kugoogle sikuziona baada ya kuona uzi huu nikasema kuuliza sio ujingaAisee hio brand ndio naiskia kwako kiongozi, sizifahamu kabisa nimejaribu google naona pia haiji
mkuu vitu vya Audio vingi sivifahamu. hizo ni Amplifier sio? kama sound card hivi?kingine mkuu ina mana av receiver bongo ndo hazipatikani kabisa hata sony halet av receiver kabisa
nataka 7.2 4k av receiver. hasa yamaha rx v683 au rx v681 au denone avr720
nakumbuka zamani Zec ilikuwa brand nzuri kwenye vifaa vya nyumbani kama blender, oven etcMkuu vipi kuhusu ubora wa ZEC TV
ni amplifier inakuwa kama deki ya home theater, inakuwa haina dvd lkn, ila unakonect usb. speaker systeam kuanzia tano.(5.1/5.1.2/7.2/9.2) min hdmi moja, kwa ajili ya simu inapokea hdmi 4+ na kutoa 1+ kwa resolution ya hadi 4k. wifi/bluetooth +internet conection kwa ajili ya online music store.mkuu vitu vya Audio vingi sivifahamu. hizo ni Amplifier sio? kama sound card hivi?
umejaribu kucheki msimbazi nyuma ya jengo la simba kuna kimtaa fulani sikifahamu jina wana vifaa vingi vya muziki pale.
Smart inaoption ya kutumia internet, isiyo smart haina option hiyo, kama ni smart utaona tu imeandikwa either kwenye box/menu/lebo yake kule nyumaHivi smart TV naisiyo smart TV unaijuaje nakazi yasmart tv ninini? Maana mimi nasamsung nchi 32 ila sijui kama nismart au nitaijuaje kama nismart maana sisi wengine mashikoro mageni
Asante itabidi jioni niicheck kwanyuma maana box ishatupaSmart inaoption ya kutumia internet, isiyo smart haina option hiyo, kama ni smart utaona tu imeandikwa either kwenye box/menu/lebo yake kule nyuma