Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,052
- 18,013
Mkuu CHIEF MKWAWA hiyo Roku stick inafaa kwa Tv za Lcd/led? Na je zinapatikana madukani? Mimi nina LG 42" Lcd/led itaweza kutumia hiyo stick?
Sawa, kama sio smart unipe mimi maana haikufaiAsante itabidi jioni niicheck kwanyuma maana box ishatupa

Hahahahaaa sizani kama itakuwa smartSawa, kama sio smart unipe mimi maana haikufai![]()
ukiwasha ukiona mapicha mapicha na icons kama simu hio ni smart ila kama unawasha unakaribishwa na chenga au no signal ujue hio sio smart.Hivi smart TV naisiyo smart TV unaijuaje nakazi yasmart tv ninini? Maana mimi nasamsung nchi 32 ila sijui kama nismart au nitaijuaje kama nismart maana sisi wengine mashikoro mageni
Bac yangu sio smart nikiwasha nakaribisha naneno Samsungukiwasha ukiona mapicha mapicha na icons kama simu hio ni smart ila kama unawasha unakaribishwa na chenga au no signal ujue hio sio smart.
samsung smart ulitakiwa uone kitu kama hichiBac yangu sio smart nikiwasha nakaribisha naneno Samsung
Dah basi ndio ishafeli hivyosamsung smart ulitakiwa uone kitu kama hichi
![]()
Uko sahihi yangu ina mwaka na nusu sasa iko poa sana na kama kuifuta nimeshaifuta sana tu...Mimi natumia Star X 43" kwa miaka 2, iko vizuri na sijapata tatizo lolote! Na kabla ya hapo nilikuwa natumkia Sony Bravia 32" ambayo ilikufa Display baada ya miaka 5.
kama sio smart kanunue tv box itakuwa smart.Dah basi ndio ishafeli hivyo
TV box ndio inakuwaje hiyo mkuu nainauzwajekama sio smart kanunue tv box itakuwa smart.
kifaa fulani kama flash au deki ndogo unaconect nyuma ya pc yako na kuipa uwezo iwe smart. mfano kama ni cha android, tv yako itakuwa na uwezo wa kuingia playstore, kudownload apps mbali mbali, kuingia youtube etc.TV box ndio inakuwaje hiyo mkuu nainauzwaje
Shukran mkuu nimekupata nitakitafuta nitakapohitaji, swali lamwisho kwahiyo TV ikiwa smart waweza itumia kama vile kuingia jf, nkkifaa fulani kama flash au deki ndogo unaconect nyuma ya pc yako na kuipa uwezo iwe smart. mfano kama ni cha android, tv yako itakuwa na uwezo wa kuingia playstore, kudownload apps mbali mbali, kuingia youtube etc.
![]()
NCHI 32 NAPATA KWA BEI GANI ?TCL smart tv zilizopo bongo ni za generation ya mwanzoni zile ambazo zinatumia OS ya linux. Hizi za Roku ni kama bado hazijaingia maduka yetu ya changanyikeni yale.
By the time zimeanza kuingizwa kwa wingi watu watatoa ushuhuda vizuri maana ni za ukweli mno!
Marekani wananunua sana sahivi maana ni cheap na zina features zinazouzwa ghali sana kwenye name brands kama Sony, Samsung ama LG
Smart inamaanisha unauwezo wa kuitumia TV kama computer kuingia mtandaoni na kupata huduma za mtandaoni pia inakuwa na apps kama facebook,youtube na web browsers.Hivi smart TV naisiyo smart TV unaijuaje nakazi yasmart tv ninini? Maana mimi nasamsung nchi 32 ila sijui kama nismart au nitaijuaje kama nismart maana sisi wengine mashikoro mageni
Aha Sawa ila ku typing/kuandika ndio unakuwa uwezi au unaweza kuandika?Smart inamaanisha unauwezo wa kuitumia TV kama computer kuingia mtandaoni na kupata huduma za mtandaoni pia inakuwa na apps kama facebook,youtube na web browsers.
TCL smart nchi 32" unapiata kati ya laki 5-5.8 hivi. Haifiki laki 6 kwa bei!NCHI 32 NAPATA KWA BEI GANI ?
Una type sema kwa remote control, ila tv nyingine zinakuwa na apps ambazo una connect na simu unaitumia keyboard ya simu kufanya typing.Aha Sawa ila ku typing/kuandika ndio unakuwa uwezi au unaweza kuandika?
Ingekuwa smart toka siku unainunua bei ingekustua dukani. Hio sio smart tv bila shaka!Hahahahaaa sizani kama itakuwa smart
Utakutana na dadaako aliekutuma anaehimiza watu wakapigwe mabomu ye akiwa ana face time!Tukutane kwenye namba hii 26042018