Ubora wa tv za Star-X

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Wadau habari jamani, naomba kujua ubora wa hizi luninga za kampuni ya Star X, je zinafaa kwa matumizi ya mazingira ya kitanzania.

Wajuzi jamani naomba mnijuze katika hili.
 
Mkuu ni nzuri sana kama utaiweka sehemu salama kama kuining'iniza ukutani ambapo haitakuwa inaguswa guswa kila mara
kwasababu shida yake ni kuwa zipo delight sana, yaani nyepesi kuharibika ikijigonga kidogo tu, au kuifuta na kitambaa kibichi, vumbi nk
 
nimekuelewa chief,so haifai kuifuta futa ovyo sio?
 
humu watu walikuwa wanazisifia zina quality nzuri ya picha, siku moja nilitembelea banda moja la game nikakuta wamezieka, tv zipo kwa chini kidogo, nikisimama tu tayari ule ubora wa picha unapotea inataka uiangalie straight, inamaana haitumii ips technology.

hivi vitu ambavyo hata ukivigoogle zinakuja result za Africa tu muwe mnakaa mbali navyo, vingi ni watu wanaenda China wananunua vitu na kubrand majina yao, havijulikani hata vimetengenezwa kiwanda gani.

kama Huna budget ya kutosha Tafuta TCL ni mchina anayeaminika na bei zao zinafanana na hao kina Boss na Star X.
 
kwa hiyo mkuu unataka kusema kuwa hizi tv sio kabisa maana nilitaka kuingia chaka nizinunue kama mbili hivi
 
humu watu walikuwa wanazisifia zina quality nzuri ya picha, siku moja nilitembelea banda moja la game nikakuta wamezieka, tv zipo kwa chini kidogo, nikisimama tu tayari ule ubora wa picha unapotea inataka uiangalie straight, inamaana haitumii ips technology.

hivi vitu ambavyo hata ukivigoogle zinakuja result za Africa tu muwe mnakaa mbali navyo, vingi ni watu wanaenda China wananunua vitu na kubrand majina yao, havijulikani hata vimetengenezwa kiwanda gani.

kama Huna budget ya kutosha Tafuta TCL ni mchina anayeaminika na bei zao zinafanana na hao kina Boss na Star X.
Vipi hizi [HASHTAG]#haier[/HASHTAG] tv ?
 
TCL ni international brand aisee, usifananishe na mataka taka ya star-x hayo ama boss!
 
Haier ni Kama TCL sio level za kina Samsung na LG lakini ni kampuni inayofahamika.
TCL ni international brand aisee, usifananishe na mataka taka ya star-x hayo ama boss!
Nilikuwa nasoma mtandaoni review Cnet na kwingineko TCL sasa inauza sana Marekani ikiwa ni Cheap Brand lakin ikija na tecnolojia ambazo kwa Sumsung na LG zingekuwa Ghari sana na wakawa wanaipna kama brand inayokuja kuwasumbua kampuni kama visio.

Na kuna sehemu nimesoma pia hii ni kampuni inauza sana kimarekani japo ina mizizi China.

Matoleo yake ya pekee yenye bei nafuu lakini yakiwa yana compete na Series kama U ya Samsung ni pamoja na P series (TCL) hivyo kwangu inaaminika zaidi
Mwaka 2013 ilikuwa kampuni ya 3 duniani kwa kuuza Tv

Na wanatumia OS yao moja hv jina nimesahau ambayo pia ipo well Reviewed
 
Nilikuwa nasoma mtandaoni review Cnet na kwingineko TCL sasa inauza sana Marekani ikiwa ni Cheap Brand lakin ikija na tecnolojia ambazo kwa Sumsung na LG zingekuwa Ghari sana na wakawa wanaipna kama brand inayokuja kuwasumbua kampuni kama visio.

Na kuna sehemu nimesoma pia hii ni kampuni ya kimarekani japo ina mizizi China.

Matoleo yake ya pekee yenye bei nafuu lakini yakiwa yana compete na Series kama U ya Samsung ni pamoja na P series (TCL) hivyo kwangu inaaminika zaidi

Na wanatumia OS yao moja hv jina nimesahau ambayo pia ipo well Reviewed
Sasa we ndio mfano wa watu ambao naweza wapa heko,,,umefatilia vyema sana sio sawa na wale waropokaji wasiojua vitu wanapayuka tu...Hio OS wanatumia inaitwa Roku
 
Kweli mkuu inaitwa ROKU wana innovate tecnolojia ya juu kabisa kwa cheap price nadhani watu wasome review ya TV yao ya P6 ambayo ambayo 55" imeuzwa kwa bei ya Usd 655-699

Mwaka huu 2018 wanakuja na Series 6 ambayo pia imeshasemwa ita mantain cheap price..
6seriessideangle.jpg
 
Sasa we ndio mfano wa watu ambao naweza wapa heko,,,umefatilia vyema sana sio sawa na wale waropokaji wasiojua vitu wanapayuka tu...Hio OS wanatumia inaitwa Roku
Mkuu naomba experience yako Kama unazielewa vizuri tv aina ya boss, kuna ambayo nimeiona nchi 42" ya mwaka 2017 ina resolution yake ni 2160 yaani mara mbili ya 1080.Picha yake ilinivutia sana inatumia android.
 
Kweli mkuu inaitwa ROKU wana innovate tecnolojia ya juu kabisa kwa cheap price nadhani watu wasome review ya TV yao ya P6 ambayo ambayo 55" imeuzwa kwa bei ya Usd 655-699

Mwaka huu 2018 wanakuja na Series 6 ambayo pia imeshasemwa ita mantain cheap price..
View attachment 707708
TCL smart tv zilizopo bongo ni za generation ya mwanzoni zile ambazo zinatumia OS ya linux. Hizi za Roku ni kama bado hazijaingia maduka yetu ya changanyikeni yale.
By the time zimeanza kuingizwa kwa wingi watu watatoa ushuhuda vizuri maana ni za ukweli mno!
Marekani wananunua sana sahivi maana ni cheap na zina features zinazouzwa ghali sana kwenye name brands kama Sony, Samsung ama LG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom