Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Sidhani kama kutakuwa na matunda kwenye hili
nasikia jamaa wa commonwealth wametoa £60,000
nasikia jamaa wa commonwealth wametoa £60,000
Usiwe na wasi MWK,ipo siku ataitikia wito tu!.Pakawa na Waafrika Wa Kike Kadhaa,mkaunda kama jumuiya fulani hivi,basi mtafanikiwa tu si unajua Kamanda wetu anaheshima kubwa sana inapofikia kwenye......wa kike? Usisahau pale UK wa-Tz wanawakilishwa na 'mwafrika wa kike' ati!Kikwete amealikwa mara kibao ila anakimbia! Ubalozi walishachoka simu zetu wengine. Tukipiga wakiona namba wanachunia tu mpaka inabidi kutumia pay phone.
Hongera watu wa UK, labda mtafanikiwa huko!
Hakuna tofauti ya watu walio uingereza na watanzania walio nyumbani. Watu wanaokaa uingereza hawana mawazo mapya kwani uingereza ni kama Tanzania. Watanzania wanamapenzi ya kinafiki, kuna mpaka branch ya CCM, na watu wengi bado wana mawazo ya kufikiria watapata madara waibie wananchi. Kunawatu wachache tofauti lakini Uingereza sio Marekani. Kikwete anakimbia watu hapa kwasababu hana ajibu ya maswali. Maswali hajajengi nchi jamani tunataka Action.
According to the dataz, mkulu yuko njiani kwenda huko London, soon kama sio in a few days to come, na kwamba anaenda kuonana na wawekezaji wazawa wanaotaka kuwekeza bongo, I mean it sounds good, lakini
1. kwanza I want to know, ni nani atakayelipia the bill ya hiyo safari kwa ujumla?
2. Why the president? Hivi hiyo ishu kama kweli ni muhimu sana kiasi hicho kwa nini asiende waziri? au balozi mwenyewe na maofisa wake? Why the president? The head of our state anakwenda safari ya kwenda kukutana na wa-Tanzania, eti wawekezaji? Pleeeeeeease!
3. Something is not very right na some ishus huko London, I mean I respect Mama Balozi, and you know that, lakini hebu wekeni mambo wazi zaidi on this, maana sielewi mbona mko mbele mbele sana na rais! rais! na president tuuuuu! huko kuna nini? Why not Waziri Mkuu, au makamu wa rais?
4. Kwenye hili ninasema kuwa I have a problem, unless kuwe na maelezo zaidi, I mean nina wasi wasi kuwa Mama Balozi ana washauri wengi wenye nia za self-promotion, ninahisi kuwa kuna an organized group au m-Tanzania mmoja mwenye uwezo financially ambaye yuko behind this,
Nafikiri wananchi wa Tanzania wanahitaji maelezo zaidi kutoka kwa ubalozi wetu London, na pia ofisi ya rais inahitaji kutoa maelezo mazito, kama kweli hiii safari ipo, unajua siku zote communication ndio mambo yote, I mean wanaohusika tupeni maelezo zaidi, Yes sisi ni wananchi tunazo haki zote za kudai maelezo!
Ahsanteni!
Hakuna tofauti ya watu walio uingereza na watanzania walio nyumbani. Watu wanaokaa uingereza hawana mawazo mapya kwani uingereza ni kama Tanzania. Watanzania wanamapenzi ya kinafiki, kuna mpaka branch ya CCM, na watu wengi bado wana mawazo ya kufikiria watapata madara waibie wananchi. Kunawatu wachache tofauti lakini Uingereza sio Marekani. Kikwete anakimbia watu hapa kwasababu hana ajibu ya maswali. Maswali hajajengi nchi jamani tunataka Action.
Fedha kama kudaiwa idaiwe mahakamani na sio kwenye vikao huku ni kucheza na wabadhirifu ,ikiwa mtu anakamatwa na kigunia cha mahindi,ukiweka geloni moja ya mafuta ya taa unaambiwa ni mhujumu uchumi ,au WaTz mmesahau vita vya wahujumu uchumi ??Hawa jamaa wanastahili kifungo cha maisha jela,wacha hiyo fedha iliwe na wengine lakini wao wasiifaidi kabisa.Watanzania wamwita Kikwete Uingereza
Kujadili njia ya kurejesha fedha nyumbani
WATANZANIA waishio nchini Uingereza wameandaa mkutano mkubwa ambao utafunguliwa na Rais Jakaya Kikwete na kufungwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Professa Benno Ndulu, utakaohamasisha Watanzania hao kurejesha fedha nyumbani ili kuchangia pato la Taifa.
Taarifa waliyoitoa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana ikiwa imesainiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Bibi Mwanaidi Maajar, ilisema mkutano huo utakaofanyika Aprili 18 mwaka huu London na unatarajiwa kuhudhuriwa na Watanzania wapatao 400.
Haya watu wa London leteni mambo
Nyie watz waingereza hivi mkimwita JK what do you expect fro him,kwanini msingemuomba hata Anna Kilango akawafungulia hicho kikao chenu.Tafuteni watu ambao wako serious na kuitetea nchi.
Mkuu Lunyungu,kuendekeza njaa ni kitu kibaya sana.Hao waandishi wa namna hiyo ndio wanaoharibu huu mchakamchaka wanaopelekeshwa hawa WEZI. Ukimpamba na kumsifia mwizi si ataendelea kuiba? Kama huwezi kumfunga,MZOMEE MPAKA ATAAACHAHapa JK anacheza mchezo .Maajar kaacha kuwatumikia wananchi sasa anacheza mchezo.Watu wenyewe ni akina Juma Pinto , Faraji baada ya kulamba 600m kisa matangazo ya kuitangaza Tanzania ?Haya tegemee muone kama kuna lolote litatokea.Waandishi wa majira nao najaua waki kazini ku bost rating ya mkuu lakini kazi wanayo sana maana kila wakijaribu CCM na Mkuu wanajipaka mavi kila kukicha .
Watanzania wamwita Kikwete Uingereza
Kujadili njia ya kurejesha fedha nyumbani
WATANZANIA waishio nchini Uingereza wameandaa mkutano mkubwa ambao utafunguliwa na Rais Jakaya Kikwete na kufungwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Professa Benno Ndulu, utakaohamasisha Watanzania hao kurejesha fedha nyumbani ili kuchangia pato la Taifa.
Taarifa waliyoitoa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana ikiwa imesainiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Bibi Mwanaidi Maajar, ilisema mkutano huo utakaofanyika Aprili 18 mwaka huu London na unatarajiwa kuhudhuriwa na Watanzania wapatao 400.
Haya watu wa London leteni mambo
Kikwete alishasema NYC alipokuja kwenye Security council miaka michache iliyopita na hapa narudia main points.
1.Alianza kwa kuchemsha na kusema mna hela gani za kuchangia nyumbani (alikuwa anaongea folksy kama kakaa na vijana wachache wa kijiweni rather than katika mkutano formal) akasema mtatupa lawama tu kwa kutupatia vidola vyenu vichache halafu kutafutana ubaya.
2.Kama kawaida yake, Kikwete anahitaji dakika tano za kufikiri kabla ya kuanza ku make sense .Mwisho kabisa wa jibu akagundua sehemu yake ya kwanza haikuwa ya kiungwana akasema kama mna nia ya kuchangia changieni kibinafsi, kama unataka kutuma hela watumie ndugu zako kijijini na viru kama hivyo.
3.Tetesi ni kwamba watu wa CCM hawataki kuja na mpango wowote wa watanzania kuweza kuchangia strategically kwa sababu wanaogopa political funding.
4.Rais alionyesha uwezo wake mdogo wa kuelewa kuwa kuna wakati watanzania wanataka kuchangia kama watanzania na kuna nyakati vitu vinatokea kama maafa ya ajali etc (eg Mererani juzi hapo) wananchi walio nje wanaweza kuchangia vizuri tu. Hii effort imekuwa undermined na bureaucracy na uoga usio msingi.
Kama kweli Kikwete ni mtu wa msimamo (there is no guarantee here, kwa sababu hata alivyokuwa anasema ilikuwa kama anaongelea personal opinion na experience kuliko policy, typical of African politics) ata reiterate hivyo.
SIJAONA WATANZANIA WALIOPO NJE WAKAFANYA YA MAANA kwa WABONGO wenzao(wakiwepo basi tujulisheni)....watu wataishia ktk matumbo yao, Familia zao na wale mmhh....
UBINAFSI, UKABILA, MAJUNGU, FITNA, UZEMBE, BAADHI HAWATAKI KUSOMA, WAMETOSHEKA AU KURIDHIKA KUBEBA MABOX, NA KULETA MAFRIJI NA MAGARI MABOVU...NA MAFISADI WA WABONGO kwakuwa WANAONA MNAPATA WANAWAWEKEENI MOT...ETI INSPECTION...MWAMVULI wa INSPECTION....