Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,019
- 132,759
Kwani katiba ndio nini hadi isivunjwe?. Au katiba ni msahafu isibadilishwe?.Anavunja katiba hiyo hiyo kila siku!
Usijifanye hujui
Unaonesha high level of dishonesty aisee!
Leo nadhani utakuwa hauko sober kabisa na bila shaka uko intoxicated ama umeamka na hangover kali sanaTanzania, ni nyumba yetu, Magufuli ni like baba yetu. Katiba yetu imempa mamlaka yote to do as he pleases as long as anafanya kwa nia njema.
He is right.
P
Kwanza sio wapinzani wanaofurahia bali ni watanzania wa kawaida na wasio na vyama.Hii notion ya kusema et ni wapinzani ni ujinga tena mkubwa.Ma kama ni wapinzani basi kazi mnayo,Maana ni watanzania wengi sanaaa wanafurahia.Na hii ni kutokana na mabaya,unyama,dhuluma,ubabe ns kila kitu kibaya mlichowafanyia.My Son drink water, Kuna baadhi ya mitazamo huondoa credit kwa wapinzani
Kama Waamerica walivyo Wazalendo kwa Nchi yao kwa kumwaga damu na kukwapua vya wengine!Hujitambui. Na wala hunafamilia, pengine hutaweza kuwa nayo.
Uzalendo ni kuipenda familia yako hats kama imejaa majizi na zurumati.
Mkuu Pascal hatuwezi kuwa wazalendo kama mnatubagua tatizo lenu CCM yaan mnaona hii nchi kama yenu peke yenu yaan ukiwa mpinzani huna haki hata ukiongea ukweliNi kuipenda nchi yako kwa dhati ya moyo wako, hivyo kutanguliza mbele maslahi ya taifa kuliko hata maslahi binafsi.
Kama ilivyo katika ngazi ya familia, Baba wa familia akifanya kosa akatiwa ndani, huwezi kufurahia hata kama ni kweli baba yako ni mkosaji.
Hivyo kwenye hili la ndege, japo ni kweli tunadaiwa, lakini Mtanzania Mzalendo wa kweli wa taifa lake hawezi kufurahia, kushangilia, kubeza na kukejeli ndege ya taifa lake inapokamatwa, hili ni janga la kitaifa.
Huu ni uzalendo wa ajabu
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Naomba washikilie mpaka mwisho Mimi no mtanzania mzalendo asiyependa dhuluma kwa mzungu wa watuJapo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, place, and circumstances.You are really boring. It is not you who you were.
Duh, Mkuu Iblis Bin Shetwan, japo jina lako ni baya lakini hoja zako ni mujarab sana.Mkuu Pascal hatuwezi kuwa wazalendo kama mnatubagua tatizo lenu CCM yaan mnaona hii nchi kama yenu peke yenu yaan ukiwa mpinzani huna haki hata ukiongea ukweli
Na hapo ndipo mnapofell tena sana wengine kusema kweli tunaumia tunapoona haki haitendeki tunataka haki itende Kila mahali
Kwa maana kwa mfano mm ikishinda CHADEMA AU ACT sipati kitu na ikishinda CCM pia sipati kitu lakini nafurahi napoona haki inatendeka Kila mahali
Kama vile sisi tusiokuwa ccm tunavyooumia mnavyotunyanyasa na hapo nchi inapopata matatizo na nyinyi mkiumia nasi inakuwa tunafarijika kwa kuumia kwenu
Kwa sasa hivi hali ni mbaya sana ili tuwe wazalendo mjitathimini tena kuna sehemu mnakosea
Wenyewe wanaona sawa lkn sisi wengine hatuna vyama tunaitaji maendeleo na haki basi wakifanya hivyo tutaonyesha uzalendo mkubwa wakipuuzia Hilo wasitegemee uzalendoDuh, Mkuu Iblis Bin Shetwan, japo jina lako ni baya lakini hoja zako ni mujarab sana.
Kwenye hoja ya kutenda haki kwenye uchaguzi, naungana na wewe.
Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
Wanabodi, Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika kitaifa mjini Bariadi Mkoani Simiyu na kufuatiwa na Wiki ya Azaki...www.jamiiforums.com
Haki ni mbinguni kwa Mungu Baba na sio duniani hapa kwa shetani na ibilisi.
P
Mkuu wewe subiri hivyo vijembe na mipasho ya CCM siku hiyo ndege itakapopokelewaEhh Mwenyezi Mungu umtangulie mkulima Stern apate haki yake.🙏🏾
Mkuu G. Jacob, wengine wetu humu, ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu huwezi kumuombea kifo binadamu mwenzako no matter what!.A death wish!? Pls hebu ukuwe na utu mkuu hatujaelekezwa kuombeana kifo ktk mafundisho yote ya kibinadamu.
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Mkuu Tamuuu, huwezi kuwa na jina zuri hivi kama hili Tamuuuuu, halafu unaombea vifo kwa watu wengine!. Huo sio utu!. Badili jina uwe Chunguuu!.Me nasema hivi ikiwezekana hawa watesi wa watanzania wafe ili watanzania wapate kufarijika nafsi zao.
Tushirikiane kulipa au kufanya maombiJapo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Tumdhulumu tu....mlipeni mkulima dhulumat nyinyi !
View attachment 1270734
Unauhakika ndege ni ya watanzania sio ya mtu binafsi!!!Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Hoja yako inaonyesha wazi wewe mpinzani. Pia ni ujinga uliopitiliza kudai eti watanzania wengi wanafurahia, wewe una authority gani kujenga hoja yako? Acha propaganda mkuuKwanza sio wapinzani wanaofurahia bali ni watanzania wa kawaida na wasio na vyama.Hii notion ya kusema et ni wapinzani ni ujinga tena mkubwa.Ma kama ni wapinzani basi kazi mnayo,Maana ni watanzania wengi sanaaa wanafurahia.Na hii ni kutokana na mabaya,unyama,dhuluma,ubabe ns kila kitu kibaya mlichowafanyia.
Me nasema hivi ikiwezekana hawa watesi wa watanzania wafe ili watanzania wapate kufarijika nafsi zao.
Hapa ndipo tumefikishwa.
pls learn to understand simple thingsA death wish!? Pls hebu ukuwe na utu mkuu hatujaelekezwa kuombeana kifo ktk mafundisho yote ya kibinadamu.
unabisha nini ?Hoja yako inaonyesha wazi wewe mpinzani. Pia ni ujinga uliopitiliza kudai eti watanzania wengi wanafurahia, wewe una authority gani kujenga hoja yako? Acha propaganda mkuu
Duh!😣Kwani katiba ndio nini hadi isivunjwe?. Au katiba ni msahafu isibadilishwe?.