Ubabe hadi Canada? This time you're done

Ubabe hadi Canada? This time you're done

Pascal Mayalla,
P. moral support lazima iwe na msingi, kama ulivyosema dawa ni kulipa na uzalendo wetu ni kuishauri serikali ilipe. Hili janga ni la kujitakia-hata humu ndani watu wangekuwa na uwezo hii serikali ingepelekwa mahakamani kwa mengi tu. Stahiki za watu zinakaliwa unaambiwa heti ufunge mkanda-hapo hapo anatokea mtu anakuambia hela ipo na tunanunua kwa keshi.

Halafu hawa jamaa wanajisifu kuwa ni wakali hata kwa mabalozi wakisahau kuna lugha ya kidiplomasia, kuna siku watabeep pabaya, tusije kutafutana. Naipenda nchi yangu lakini nafikiri ukweli lazima usemwe.
 
Sorry kwa kuuliza kiongozi, hivi huyu jamaa ni mkulima wa nini na mashamba yake yako wapi mkuu..?

Na ikawaje akawa anaidai serikali ya
Tanzania sorry for asking mkuu. Thanks.
Kwa ufupi sana huyu ni mkulima aliyelima na kufuga Tanzania enzi za Mwl Nyerere , ambapo mashamba , mifugo na ndege zake ndogo 5 zilitaifishwa na serikali ya wakati huo , akaenda mahakama za Tanzania ambapo akashinda na mahakama kuamuru alipwe fidia , awamu zote zilikuwa zinamlipa kidogo kidogo , lakini awamu ya 5 yenye akili kuliko awamu zingine ikaamua kutomlipa

Humu jf kuna nyuzi kibao kuhusu mkulima huyu

IMG_20191123_185932.jpg
 
Majukumu ya wapinzani hapa Tz ni kuchukua tahadhali wasibambiwe Kesi Mahakamani, wasitekwe au wasimiminiwe risasi na watu wasiojulikana, wasikamatwe na kuswekwa ndani kwa kosa la vikao vya ndani.
Hawa jamaa, hawajui waseme nini muda gani na wapi, kiufupi hawajielewi hivyo wanasababisha taharuki katika jamii nzima.
 
Kila mkiambiwa ukweli mnakimbilia upinzani mnashindwa kupanua bongo zenu mtatue tatizo
Sio kila awaelezae ukweli ni mpinzani

Hiyo stroke ya ubongo mliyopata itawamaliza mnajiona
Tatizo la hawa ndugu zetu, hawaelewi nini maana ya vyama vya upinzani, hawaelewi waseme nini katika situation flani, waseme vipi, na muda gani sahihi wa kufanya hivyo, basi kwakuwa hawajielewi, wanasababisha taharuki katika jamii, kwa bahati mbaya sana, tunajenga kizazi chenye uelewa potofu wa vyama vya upinzani. kuna haja ya hawa jamaa kupewa elimu ili wasiendelee kupotosha. Yaani inafika mahali mtu anadhani kulisema vibaya Taifa lake eti huo ndio uzalendo na ndio upinzani wenyewe. Haiko hivyo ndugu zangu.Upinzani ni kuuza sera mbadala la sio kuharibu image ya Taifa.
 
P
Kwa zile tabiri zako hata mimi naamini wewe ni prophet of doom

God forbid your devilish wishes about our motherland .
 
Kwanza wewe ni mjingaa hunielewi na Wala haujitambui..nadhani utakuwa huna maelewano mazuri na mmeo mama.. chombo gani hapa duniani chenye kutoa Haki ya kisheria..hii nayo hujui..au unadhani mtu anajiamulia tu kwamba halipi Deni...kazi ipo kweli ya kufundisha na sio kuelumisha Hawa manyumbuu..na kazi hii ya kufundisha tutaendelea nayo mpaka mnyooke shwainnnn....yy..eti upinzani..hivi kweli TZ Kuna upinzani au upingaji..wapinzani wa ukweli ni wale walioelewa Nini nchi yetu tunataka, na baada ya kuona yanatekelezwa kwa uzalendo tu wakaamua kujiunga na timu ya Magufuli ili kuunganisha nguvu kwenye mapambano..hao wengine huko no wachumia tumbo tuu..wanatafuta mkate wa watoto..hawana lolote..asilimia 90 ya wananchi wapo nyumba ya jembe ulaya Magufuli,, upooo
Jembe Ulaya tena? Unamaana? Jembe Ubeberu?
Matusi ya nini? Kama kuna maendeleo yanayofanywa? Ajira serikalini shida! Biashara zinakufa! Sekita binafsi ilikuwa anaajiri watanzania wengi imepigwa vita inakufa na hivyo inapunguza Wafanyakazi. Lakini nyinyi praise team kazi yenu kutulazimisha tuimbe maendeleo ya Standard gauge na Umeme wa Stigrous gauge.
Ununuzi wa ndege umezuia increment za mishahara kwa miaka minne sasa munasema ni maendeleo? Kumbuka South Africa Air ways yenye ndege nyingi kuliko nchi yoyote hapa Africa imeshindwa kulipa mishahara ya Wafanyakazi wa shirika sembuse Tz mnafikiri Air Tanzania italeta faida?
Mwisho kiburi cha utawala kisiwape kiburi cha kutukanana hapa Tanzania.
 
💃🏽🕺🏽💃🏽🕺🏽👯‍♀️👯‍♀️ Nipe Raha Stern nipe raha..💃🏽🕺🏽
Raha sana.. DADEKI.
Hivi ”dona country “ ndio haina hii hela ya “mboga” kweli, mlipe yaishe. Mpaka MWANAUME/ BEBERU anawatia dole MMANINA zenu! Acheni usenge..!

KIBUDU anarembua macho halafu anasema ”tumekasirika” PUMBAVU. Lipeni deni.
 
Mkuu inafika mahala unafiki haulipi.
Mtu wa kawaida atajiuliza yafuatayo;

* Kuna deni au hakuna deni?
* Je huko Sauzi ndege iliachiwa on technical grounds ya kesi yenyewe au Mkulima alionekana hatudai?
* Kuikamata ndege sasa huko Canada si Mkulima alikuwa na grounds ku convice mahakama huko Canada kufanya hiyo?
* Je, Serikali yetu imesha kaa chini na huyu Mkulima ku settle out of court?
* Kuna uhakika gani kuwa ndege nyingine haitakamatwa katika mazingira ya kupuuza madeni ambayo korti za nchi nyingine zinaona ni halali?
* Kuingiza siasa kuwa eti tuwe na uzalendo dhidi ya ubeberu mi naona hapa si mahali pake, watu hawafanyi kazi watarajiwayo kufanya, bla bla aint making it.

Kwa kifupi Pasco, hapo inahitajika akili ya ziada na uzalendo hautairudisha ndege bali strategic business thinking.

Kina Kabudi kujipiga piga kifua haisaidii sana.
 
Tatizo la hawa ndugu zetu, hawaelewi nini maana ya vyama vya upinzani, hawaelewi waseme nini katika situation flani, waseme vipi, na muda gani sahihi wa kufanya hivyo, basi kwakuwa hawajielewi, wanasababisha taharuki katika jamii, kwa bahati mbaya sana, tunajenga kizazi chenye uelewa potofu wa vyama vya upinzani. kuna haja ya hawa jamaa kupewa elimu ili wasiendelee kupotosha. Yaani inafika mahali mtu anadhani kulisema vibaya Taifa lake eti huo ndio uzalendo na ndio upinzani wenyewe. Haiko hivyo ndugu zangu.Upinzani ni kuuza sera mbadala la sio kuharibu image ya Taifa.
Image ya taifa inaharibiwa na wanaokataa kulipa madeni, unadhani huyo Boer angekuwa amelipwa haya yote yangekuwepo?
Hata kuitawala nchi kidikteta 'uchwara' ni kuharibu image ya nchi, wanaopiga kelele Boer alipwe deni lake wanataka nchi irudi kwenye mstari ili image chafu isiendelee kuwepo.
 
Kishalu, Intellectual questioning, watu kwa ushabiki wao wa kipumbavu watayachukilia maswali yako ya kuwa ni ukosefu wa uzalendo.
 
uzalendo kwa nchi ndio huu hatujazoea kudhuumu watu kwa hiyo hatuko tayari kubarik dhuluma lipeni deni
 
Unadhani kwanini Kama Deni lipo halikuweza kulipwa katika awamu nne zote zilizopita..tuanzie hapo.kudadavua kabla hatuja shauri Sasa kulipwa kwa Deni hewa Hilo.
Ni kwamba huko nyuma hawakuwahi kusema wana mapesa mengi tena cash, hawakujimwambafy kujionyesha tunapesa, huko nyuma tulikuwa tunalialia hivyo tulionewa huruma.
 
Ni kwamba huko nyuma hawakuwahi kusema wana mapesa mengi tena cash, hawakujimwambafy kujionyesha tunapesa, huko nyuma tulikuwa tunalialia hivyo tulionewa huruma.
jomba deni ni deni haijalishi mdaiwa hana pesa..hahahaha..si wangeweka basi kwenye kumbukumbu za madeni..mbona deni la Taifa lipo tangu miaka ya sabini,70,80..kwani kipindi hicho tulikuwa na hela..miaka ya 80,90 tulikuwa hoi lakini deni lilikuwepo na tulikuwa tunaendelea kulilipa..acha bana siasa za majitaka jomba.
 
Back
Top Bottom