Ubabe hadi Canada? This time you're done

Ubabe hadi Canada? This time you're done

Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Walipe deni ndege yetu au yao maana wanaishia kuipanda wao tu.
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Hili la kukamatwa ndege zetu mara kwa mara, wengi wetu hata wale tunaoamini ndio maguru wetu, wanalichukulia kisiasa sana badala ya kuangalia kwa upana zaidi, hasa kibiashara.

Binafsi naliona upo uwezekano kuwa ni vita ya biashara "trade war" dhidi ya hili shirika (la Rais, siyo letu) changa linalotaka kuanza biashara kimataifa.

Shirika hili linaloendeshwa kisiasa (siyo kibiashara) kwa kutumia kodi za wanyonge, bila ukaguzi wa matumizi na mapato, automatically linapata kile wanaita "undue advantage" dhidi ya washindani ambao mashirika yao yanakaguliwa kila baada ya miezi mitatu kuyapima uhai.

Kwa kutumia madhaifu yetu (au ya Rais wetu), washindani wamebuni mpango mkakati wa kuhakilisha shirika linaanza kwa taswira kuwa hampo serious na biashara, na wala hamuwezi kuwa reliable partners kwenye biashara.

Madhara yake tuliyaona from day one.

Mfano, badala ya wauzaji wa ndege kuingia makubaliano na sisi ya mikopo nafuu na ya muda mrefu kama wanavyoingia na makampuni mengine, wao wakataka wapewe chao kabisa. Ili mtakapoangukia pua msije mkaanza kusumbuana mahakamani.

Madhara mengine ambayo ni wazi tutayalipia kwa gharama kubwa ni uwezo wetu kuaminika na wateja wa huko nje tunakoamini kuwa tutawafata watalii. Huko sina uhakika kama kuna "mtalii" atakayekubali kupanda ndege ambayo inaweza kupigwa stop wakati wowote. Hii ni sawa na kumshawishi abiria apande basi ambalo anaamini kuwa linaweza kumlaza njiani wakati wowote.

Kwa mwendo huu, sina uhakika kama kodi za wanyonge bado zitatosha kulipia hasara zote hizo kwa ufahari tu wa kuwa angani. Sina uhakika kama wakija wenye akili kuongoza siku za mbeleni kuwa wataendelea kuunguza pesa za wanyonge ili tuwe angani basi.

Nihitimishe
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Nadhani hizi ndege ndiyo zimesababisha watumishi wa hali ya chini kutolipwa malimbikizo yao kwa wakati.
Lakini nadhani kwa wenye mishahara mikubwa wanaililia maslahi yao yasishushw
 
Wizard of Oz
 
Attachments

  • IMG_20191112_074755.jpg
    IMG_20191112_074755.jpg
    184.2 KB · Views: 6
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
lipeni deni acheni usen..e..
Mnadivert attention tu...

Kwanza amkeni mkapige kura
 
Mnataka tuwe wazalendo hadi kwenye dhuluma?

Yaani mnalia mkiomba sympathy kwa sababu ya tabia zenu za kutotii utawala wa sheria?

Kumbe tabia haina dawa, once an idiot, always an idiot ,mmezoea kuonea Wapinzani na kuwafanyia kila aina ya ubabe, sasa mmelewa na kudhani kila mtu ni wa kuonea tu, safari hii mmekwama kabisa .

Tatizo liko wapi? Kiburi cha kugoma kufuata utawala wa sheria tu?. Nyie si mnadaiwa bana? Lipeni deni no way!
Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne zote zilikuwa zikilipa hilo deni kwa awamu, serikali hii ya awamu ya Tano ikagoma kulipa na kumtimua Stern Tanzania .

Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea Kama Azory Gwanda au Ben Saanane.
Kwa hiyo mmeonewa sana si ndiyo? Yaani hilo deni mmebambikwa tu na watu wenye wivu na maendeleo makubwa ya Tanzania, si ndiyo?

Acheni kulidhalilisha taifa zuri la Tanzania, mbona hata Marekani inadaiwa pamoja na utajiri wake? Nyie ni nani hadi msidaiwe?

Yaani mnaandamana ili kupinga kudaiwa? Kwa sababu mmepanga kudhulumu, mkiitwa shithole mnakuja juu kwa hasira .
South Africa mliweza kucheza sarakasi lakini kwa Canada mmekwama, lipeni deni la watu mtutolee hii fedheha .
Uzalendo siyo kudhulumu haki ya mtu.
Wametumia ground ipi ya kisheria kuikamata Ndege yetu.
Mwezi uliopita Zitto Kabwe alikuwa Africa kusini alipitia Burundi kwenda kushawishi ndege yetu Watanzania ikamatwe eti awe na Nguvu kisiasa kwa Kushirikiana na akina Marem.
Ameshindwa mchezo wa kuisaidia nchi yake ya BRD kwa kutaka Kigoma iwe dhaifu kuliko kwao. Endelea Zitto na Genge lako
 
Attachments

  • IMG-20191121-WA0016.jpg
    IMG-20191121-WA0016.jpg
    39.6 KB · Views: 7
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P

Asante P lakini mbona hudadavui kama ilivyo kawaida yako pls wengine hatujasikia!
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Bro hivi nikija kwako kukuibia ni uzalendo au ?
 
Huwa nasikia waswahili wanasema, adui yako muombee njaa, nadhani wanaofurahia ni wale wanaye muombea Rais Magufuli njaa.

Ndege ni zao au zetu? Huwa naona kila zikija wanachama wa ccm ndio hualikwa, nahisi hawa ni zao, sasa wale wanaokosa mualiko nadhani ndio hufurahia.

Haya mambo ya jinsi gani watu wanapokea nadhani yako binafsi sana, hata wanaofurahia au kushangilia mtanange huu hawabadili chochote, the fact kwamba tunadaiwa.

Nadhani wangelipa tu ili kuondokana na fedheha hii.
husikii wanasema serikali ya magufuli,yaani wamepokonya mamlaka ya wananchi,kila.kitu chema ni chake na kibaya tunatakiwa kusimama wote.
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
janga la kujitakia.

ukiwa ni mwajiri (uwe bosi katika kampuni au hata mama wa nyumbani vs house girl), mwajiriwa wako akikosea hupaswi kumbembeleza bali kum discipline (more often than not katika mchakato wa discipline maneno ya shombo hayakwepeki).

sisi Watanzania ndiyo waajiri (yes, mabosi) wa rais wa nchi hii.... so, anapokosea hakuna cha mswalia mtume lazima awe duly disciplined!
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P

Hatukatai kuwa wamoja, na moral support tunatoa sana na uzalendo tunao watz wote ndio maana tunashauri deni lilipwe, tuepukane na hii fedhea!
Hata mleta mada ni mzalendo sana, anapaswa aungwe mkono....
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Mkuu inafika mahala unafiki haulipi.
Mtu wa kawaida atajiuliza yafuatayo;
  • Kuna deni au hakuna deni?
  • Je huko Sauzi ndege iliachiwa on technical grounds ya kesi yenyewe au Mkulima alionekana hatudai?
  • Kuikamata ndege sasa huko Canada si Mkulima alikuwa na grounds ku convice mahakama huko Canada kufanya hiyo?
  • Je, Serikali yetu imesha kaa chini na huyu Mkulima ku settle out of court?
  • Kuna uhakika gani kuwa ndege nyingine haitakamatwa katika mazingira ya kupuuza madeni ambayo korti za nchi nyingine zinaona ni halali?
  • Kuingiza siasa kuwa eti tuwe na uzalendo dhidi ya ubeberu mi naona hapa si mahali pake, watu hawafanyi kazi watarajiwayo kufanya, bla bla aint making it.
Kwa kifupi Pasco, hapo inahitajika akili ya ziada na uzalendo hautairudisha ndege bali strategic business thinking.

Kina Kabudi kujipiga piga kifua haisaidii sana.
 
Pascal Mayalla,
My brother pascall, we were not happy coz of our plane being detained in south africa, no no no, we were happy coz this awamu ya tano thinks that they are clever than even God himself, if you see a president who kills, orders 37 bullets to be pumped into an opposition mp, orders the military to buy korosho yet korosho is nowhere near things like rockets, sumarines or fighter jets,a president who denies people right to express themselves, what else do you expect from the majority of those who such a dictator president is opressing??? i can tell you pascal my brother for free, lots of us will be more than happy if God sends this person(you know who i am talking abaut) to hell fire where he RIGHTFULLY BELONGS, nice weekend bro
Bloody idiot!!
 
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako

P
Hatuwezi kuwa wamoja kwenye tabia za hovyo za kudhulumu mali na haki za watu wengine.
 
Mnataka tuwe wazalendo hadi kwenye dhuluma?

Yaani mnalia mkiomba sympathy kwa sababu ya tabia zenu za kutotii utawala wa sheria?

Kumbe tabia haina dawa, mmezoea kuonea Wapinzani na kuwafanyia kila aina ya ubabe, sasa mmelewa na kudhani kila mtu ni wa kuonea tu, safari hii mmekwama kabisa .

Tatizo liko wapi? Kiburi cha kugoma kufuata utawala wa sheria tu? Nyie si mnadaiwa bana? Lipeni deni no way!

Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne zote zilikuwa zikilipa hilo deni kwa awamu, serikali hii ya awamu ya tano ikagoma kulipa na kumtimua Stern Tanzania.

Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea kama Azory Gwanda au Ben Saanane.

Kwa hiyo mmeonewa sana si ndiyo? Yaani hilo deni mmebambikwa tu na watu wenye wivu na maendeleo makubwa ya Tanzania, si ndiyo?

Acheni kulidhalilisha taifa zuri la Tanzania, mbona hata Marekani inadaiwa pamoja na utajiri wake? Nyie ni nani hadi msidaiwe?

Yaani mnaandamana ili kupinga kudaiwa? Kwa sababu mmepanga kudhulumu, mkiitwa shithole mnakuja juu kwa hasira.

South Africa mliweza kucheza sarakasi lakini kwa Canada mmekwama, lipeni deni la watu mtutolee hii fedheha.

Uzalendo sio kudhulumu haki ya mtu.
Mimi nashauli kwamba huyo Prof Kabudi aliyetangaza hizi habari za kukamatwa kwa hiyo ndege apigwe tu risasi hadharani Kama Tundu Lissu, sisi ni donor country tuwaachie hiyo ndege tununue zingine hata tano Kama hiyo kwa cash.
 
Wakati huu angekuwa analia na kusaga meno; lakini 'wazalendo' wangekuwa wanajipongeza sana kwa kumkomesha.

Unakumbuka "Lissu alivyotelekeza Jimbo na wapiga kura wake"? Huyu Stern naye angekuwa amekwishatungiwa mizengwe yake ili 'wanyonge' waone serikali inavyowapigania. Na kwa vile ni 'Beberu' hadithi zingekorezwa sawa sawa na wananchi wasingepata shida kutambua kazi kubwa inayofanywa na serikali yao.
Kazi kuitia aibu Tanzania, sasa dunia nzima tena, hivi huyu Magufuri anavyakataa kumlipa huyo mkulima kwani analipa hela za mfukoni kwake.
 
Back
Top Bottom