Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

tueleze baada ya kuifahamu ESCROW kipi kilifanyika? je yale mabulungutu yaliyoshehenezwa kwenye viroba na sandarusi yalirudishwa?

Richmond tulihabarishwa, enhe bei ya umeme leo ikoje?

saa nyingine kutojua tatizo kwaweza kuwa nafuu kuliko kujua na kujikuta unajifia, kwa, presha.

ref. wagonjwa wa vvu wakishajitambua, hudhoofika mapema
Una point ya kueleza!
 
nenda bruney..hakuna masikini hata mmoja nchi nzima...waaribu na haki sawa wameathika na uislam na ukiristo umeadhirika na ubeparo
 
Nchi gani wanachanja live?
Saudia Arabia Tu hapo wabasheria ya kuchinja watu kama kuku
Screenshot_20220627-081207.jpg
 
1. Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE ( Dubai, Abu Dhabi na Sharjah), Oman, Kuwait, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini.

2. Hakuna NGO's kama Afrika.

3. Hakuna kinachoitwa "Demokrasia".
Sasa, huku Afrika 24/7 NGOs kila mtaa, vyama vya upinzani kila kukicha kiongozi wa chama cha upinzani ni tajiri ajabu, Ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana.

View attachment 2168208

View attachment 2168209

View attachment 2202214

View attachment 2202215

View attachment 2213472
Huko Kuna kitu kinaitwa,"inclusive economic institutions"zipo hata china.
Kuna kuwa na mfumo kandamizi wa kisiasa kama wa bongo,lakini taasisi za uchumi Zina uhuru,ni shirikishi,kama ilivyo china,china hakuna demokrasia,lakini serikali na mfumo wa kisiasa unasaidia na kutoa msaada kwa watu binafsi na makampuni kama Huawei.
Kwetu hapa wanasiasa hawataki ushindani wa kibiashara kutoka kwa wananchi wa kawaida,ukitaka tender,lazima uonge sana,
 
Waafrika chagueni moja kama ni demokrasia au maisha mazuri ila sio kutaka kuambiana kwamba demokrasia ndio huleta maisha mazuri.
 
Nilikuwa sijafahamu kumbe Afghanistan ni Arabic State!!! kweli TANZANIA wengi tupo kwenye Darkness kama elimu ndogo tu ya kujua Geography ya mahala husika utaweza kutatua changamoto kitika maisha haya tunayo kwenda nayo.
 
Back
Top Bottom