Kwa hiyo wa Saudi ni watumwa wa fikra?
Nadhani tuelewe Dunia ni kama familia zetu...kila mmoja huchagua kuiendesha nyumba yake aonavyo.
Tofauti ya maisha ya familia yangu na yako isiwe kigezo cha kupima fikra za familia husika. Maendeleo ya nchi nayo ni suala mtambuka.
Haina maana wanawake wasipoendesha magari ndiyo maendeleo ya nchi yanakimbia kwa kasi. Mbona kuna nchi wanawake walikuwa wanendesha magari miaka na miaka je zote ziliizidi Saudi?....
Chanzo kikuu cha umaskini kwa nchi za Afrika ni demokrasia.
1.Kumbuka waafrika kwa asili yatu siyo watu wa kujituma kufanya kazi iwe zatu binafsi na hasa hasa za umma (serikali). Ukitubana ili tufanye kazi unaambiwa umevunja demokrasia.
2. Bado wafrika tuna kasumba kuwa serikali ndiyo itatuletea maendeleo. Kiongozi akionyeshe/akisema ukweli kuwa maendeleo ya mtu yataletwa na m2 mwenyewe nayo serikali ni kuonyenye njia au kuboresha vyanzo vya maendeleo km miundombinu, elimu na matibabu unaonekana huna mapenzi kwa unaowaongoza.
3. Nchi za wenzetu tunaosema wana demokrasia wakihitimisha uchaguzi ndiyo mwisho wa mikutano ya siasa. Chukulia mfano USA humsikii tena mama Climton akiwa majukwaani anaendelea na siasa. Amekiachia chama kilichoshinda kiendelee kuiongoza nchi. Lakini huku kwetu tunataka mikutano ya hadhara siku na masaa yote eti ndiyo demokrasia!! Tunapumbazwa ba hao wahubili demokrasia
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Saudi wanapokea matrilion kutoka kwa maskini (hususani Afrika) kupitia Royal tour yaoWananchi wa Saudi Arabia hawajawahi kuchagua kuongozwa na Ufalme
Fafanua mkuuPia Saudi wanapokea matrilion kutoka kwa maskini (hususani Afrika) kupitia Royal tour Yao.
UAE hawachagui Rais kwa box la Kura Kama huko kwenu Ikwiriri! Ndo maana hawabadiliki zaidi ya kufa/kurithi.Uarabuni gan ww?? UAE inaongozwa na emirate ambao kila emirate inapiga kula kuchagua kiongozi wa Federal UAE
maendeleo hayana uhusiano na aina mfumo wa uongozi!!…
Ni kua tu na watu wenye akili na mtizamo yakinifu waongoze nchi!!…
shida nyingine n Nchi nyingi wenye akili ndogo ndo wanaongoza af akili kubwa inaongzwa
Sisi kuendelea ni ndoto ni hadi tupate watu ambao ni matured.Nchi za kiarabu zimebarikiwa, afrika kama kungelikua hakuna wizi, ufisadi, uroho wa madaraka, umimi n.k, tungefika mbali sana.
Uongozi unatokana na mfumo, malezi, imani, sheria.Uarabuni gan ww?? UAE inaongozwa na emirate ambao kila emirate inapiga kula kuchagua kiongozi wa Federal UAE
maendeleo hayana uhusiano na aina mfumo wa uongozi!!…
Ni kua tu na watu wenye akili na mtizamo yakinifu waongoze nchi!!…
shida nyingine n Nchi nyingi wenye akili ndogo ndo wanaongoza af akili kubwa inaongzwa
Sisi kuendelea ni ndoto ni hadi tupate watu ambao ni matured.
Matured ni watu au mtu mwenye uwezo wa kushinda wizi, ufisadi, ubinafsi nk.
Ni ngumu kupata kiongozi muadilifu kwa Jamii isiyoadilifu.Fisadi,mwizi wa kalamu afungwi Sheria inamchomoa, huwezi kuta fisadi jela.Jela ni kwa ajili ya watu masikini wasio na pesa za kununua UHURU wao.Itatuchukua miaka mingi sana kuwa hivyo kwani unamkuta mtoto hamuulizi baba yake kalamu
Kumbe kila siku anaiba shule na mzazi haulizi huyo mtoto anaandika na nini Mbona haniulizi kalamu?
Maisha yanaanza tangu udogoni Ndio maana ukikemea wizi humu wengi wanatakuambia Acha u snitch
Hapo ujue wao pia ni wizi tu
Kupata viongozi waadilifu ni nadra sana na wakitokea watapigwa vita hata kuuwawa kama unawazibia mianya ya kuiba
Maendeleo ninini???Hata ulaya waliruhusu demokrasia baada ya Maendeleo kuingia