Tella Mande
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 494
- 675
Unazungumzia uarabuni ipi isiyo na umaskini? Umeishi wapi wewe?
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Haya ndiyo malumbano ya hoja iliyotolewa?Kichwa chako box tupo, inaonyesha ulikuwa huko unashinda bila nguo mudawote..
Afghanistan sio waarabu hao,Hii ni Pure Arabic state AfghanistanView attachment 2325060View attachment 2325061View attachment 2325063View attachment 2325064
Hata Ulaya waliruhusu demokrasia baada ya Maendeleo kuingia
Kule pesa na vitenge sio ishuKwahiyo wakina mama wa huko hawapati vitenge ,khanga na dera kipindi cha uchaguzi?!
domokarasia ni uhuru wa kusema na kukosoa waarabu hawa uhuru wa kusema wala kukosoa lakini raiya wao wanakula keki ya taifa lao bora yaoAmesema Uarabuni, soma kichwa cha habari, isitoshe Wasomali siyo Waarabu!
umekata tamaaaaaaaaNenda kaishi huko.
kwa kagame raiya kunya chai tu kaziVipi uliona na NGOs/CSOs kule? Je Chaggema kuna demokrasia?
azikutoshi tangu lini masikini akawa huru?Juzi juzi wanawake wa Saudia kwa Kashogi ndo wamepata ruhusa kuendesha magari. Ni afadhali umasikini ukiwa huru kuliko kuwa na mali ila mtumwa wa fikra.