Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

tueleze baada ya kuifahamu ESCROW kipi kilifanyika? je yale mabulungutu yaliyoshehenezwa kwenye viroba na sandarusi yalirudishwa?

Richmond tulihabarishwa, enhe bei ya umeme leo ikoje?

saa nyingine kutojua tatizo kwaweza kuwa nafuu kuliko kujua na kujikuta unajifia, kwa, presha.

ref. wagonjwa wa vvu wakishajitambua, hudhoofika mapema
Tabia za kindezi za mbuni. Kutoona tatizo ndio kulitatua.
 
1. Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE (Dubai, Abu Dhabi na Sharjah), Oman, Kuwait, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini.

2. Hakuna NGO's kama Afrika.

3. Hakuna kinachoitwa "Demokrasia".

Sasa, huku Afrika 24/7 NGOs kila mtaa, vyama vya upinzani kila kukicha kiongozi wa chama cha upinzani ni tajiri ajabu, ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana.

View attachment 2168208

View attachment 2168209

View attachment 2202214

View attachment 2202215

View attachment 2213472
Demokrasia ni nini? Ni mfumo wa kiuongozi uliokubaliwa au unaokubalika na jamii husika, ukiwakilisha maslahi ya wengi, na wakiwakilishwa au kuongozwa na wachache waliowaridhia au kuwachagua.
Je hizo nchi, ni kweli hazina demokrasia au mleta uzi hujui tafsiri ya demokrasia?
Pengine hawana vyama vya siasa, au ngo, ila wana aina ya utaratibu wa kuendesha mambo yao ambayo ni wa kidemokrasia, nikimaanisha umeridhiwa na wengi.
Tofauti yao na sisi. Wana utajiri mkubwa au mwingi kiasi kwamba, hata wanaofanya ubadhirifu wameukinai, na matokeo yake inawabidi wawape na wananchi wote.
Sisi hatuna utajiri huo ndio maana ni wabadhirifu wanaotujia kwa kila aina ya ghilba, hujitajirisha wao na wengine wakibaki na upambe.
 
Wazawa wa nchi hizo wapo wachache na mapato ya mafuta ni makubwa sana hivyo per capita income ni kubwa kwa kila mtu.
UAE, Kuwait na Qatar kwa mfano wafanyakazi wa kigeni ni wengi kuliko raia.
Kama mtu unaishi vizuri NGO na demokrasia za nini, lakini sio sisi makapuku.
 
Mtoa mada ametaja kabisa Nchi anazozingumzia Qatar, Kuwait, Oman, Bahrain, Saudi Arabia na UAE wewe umeenda kuongeza Yemen an Afrika Kaskazini. Haya weka na Somalia basi ufurahi maana Wagalatia huoni raha bila kuchomeka maneno ya kero
Ameumia kusikia waarab maana alitarajibasikie Roma au Israel dah
 
Walafi wachoyo na waroho wa madaraka ipo siku mtasema Wachina hawana dini siyo wakristu wala waislaam wanaabudu mizimu lakini wana maendeleo na siye tupige marufuku dini! Hao washindani wenu wa kisiasa mnawaita wapinzani wanalipwa kodi siyo za wanachama wenu pekee ni za watz wote! Acheni wananchi wachague viongozi wanaowataka msilete ukiritimba/monopoly ktk siasa
Ndugu sema ngoja uchaguliwe wewe sio wachague wanaowataka.
 
Eswatini nako hakuna demokrasia, hata Tanzania maana hatukuruhusiwa kuwachagua tunao wataka. Umeona ukosefu gani wa umaskini Eswatini na Tanzania?
 
Back
Top Bottom