Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Demokrasia ni mtego wa umasikini.
Umetawala kidikteta kama Russia ya Putin au North Korea
1. Ameingia George W Bush amekuwekea vikwazo na vikafanya kazi. Akatoka wewe upo madarakani
2. Ameingia George Bush amekuwekea vikwazo na vikafanya kazi. Ametoka, ww upo madarakani
3. Ameingia Barack Obama, amekuwekea vikwazp na vikafanya kazi. Wewe upo madarakani tu
4. Ameingia Trump, amekuwekea vikwazo vikafanya kazi. Akatoka, ww upo madarakani
5. Ameingia Joe Biden, amekuwekea vikwazo. Wewe upo tu madarakani. Hapo akili hauna, huwezi kutawala miaka mingi halafu wanakuja maraisi na bado wanakuwekea vikwazo😁😁😁😁
Wamepita maraisi wa 4 na huyu wa 5 na bado bado amekuzidi maendeleo. Sijui huyo raisi dikiteta akifa nchi itakuwaje😁😁😁😁
Mfano hai ni Libya na Iraq ambayo ilikuwa inaongozwa kidikteta. Udikiteta ni mfumo wa watu wasio na akili duniani
 
Mtoa mada ametaja kabisa Nchi anazozingumzia Qatar, Kuwait, Oman, Bahrain, Saudi Arabia na UAE wewe umeenda kuongeza Yemen an Afrika Kaskazini. Haya weka na Somalia basi ufurahi maana Wagalatia huoni raha bila kuchomeka maneno ya kero
We shida yako ni udini, ulivyo mpumbavu unaamini kabisa waarabu ni ndugu zako. Hakuna binadamu katili hapa duniani km waarabu, hiyo dini yenyewe waafrika walisilimishwa kwa jambia.
 
1. Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE (Dubai, Abu Dhabi na Sharjah), Oman, Kuwait, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini.

2. Hakuna NGO's kama Afrika.

3. Hakuna kinachoitwa "Demokrasia".

Sasa, huku Afrika 24/7 NGOs kila mtaa, vyama vya upinzani kila kukicha kiongozi wa chama cha upinzani ni tajiri ajabu, ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana.

View attachment 2168208

View attachment 2168209

View attachment 2202214

View attachment 2202215

View attachment 2213472
Hata China na Russia hakuna demokrasia km tunayoitaka watanzania.
 
Walafi wachoyo na waroho wa madaraka ipo siku mtasema Wachina hawana dini siyo wakristu wala waislaam wanaabudu mizimu lakini wana maendeleo na siye tupige marufuku dini! Hao washindani wenu wa kisiasa mnawaita wapinzani wanalipwa kodi siyo za wanachama wenu pekee ni za watz wote! Acheni wananchi wachague viongozi wanaowataka msilete ukiritimba/monopoly ktk siasa
Km wananchi hawawataki huwezi kuwalazimisha
 
We shida yako ni udini, ulivyo mpumbavu unaamini kabisa waarabu ni ndugu zako. Hakuna binadamu katili hapa duniani km waarabu, hiyo dini yenyewe waafrika walisilimishwa kwa jambia.
Huwa wanajifanya kujitoa ufahamu ila kiukweli hao waarabu na hao wafrika weusi wanaojidai ndugu zao waarabu hata huko uarabuni hawakutaki wapo radhi waende Uingereza, Marekani au Canada na siyo uarabuni.
Watu wenye roho mbaya na wakatili
1. Waarabu
2. Wahindi
3. Wachina
 
Zambia,Malawi,South Africa,Namibia,Botswana,Kenya,Angola,...
Hapa labda South Africa na Botswana tu ndio ungezitolea mfano.

Namibia imepata uhuru mwaka 1990, bada ni demokrasia changa sana lakini inayofanya vizuri.

Angola sio nchi ya kidemokrasia kabisa, imepata uhuru wake mwaka 1975 na imekuwa katika vita vya wenyewe kwa miaka 25 huku ikatawaliwa na chama kimoja kwa muda wote na familia moja ya Dos Santos kwa miaka 40.

Kenya ina demokrasia dhaifu isiyozidi miaka 20 inayoegema zaidi katika ukabila ila inajitahidi sana katika maendeleo hasa ukizingatia hawana rasilimali nyingi muhimu kama hao Waarabu zaidi ya bandari na utalii.
 
Mtoa mada ametaja kabisa Nchi anazozingumzia Qatar, Kuwait, Oman, Bahrain, Saudi Arabia na UAE wewe umeenda kuongeza Yemen an Afrika Kaskazini. Haya weka na Somalia basi ufurahi maana Wagalatia huoni raha bila kuchomeka maneno ya kero
Sasa na yeye asiseme Uarabuni! Ataje tu hizo nchi maana kuna uarabuni kwingine ambako kuna full NGOs!
 
1. Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE (Dubai, Abu Dhabi na Sharjah), Oman, Kuwait, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini.

2. Hakuna NGO's kama Afrika.

3. Hakuna kinachoitwa "Demokrasia".

Sasa, huku Afrika 24/7 NGOs kila mtaa, vyama vya upinzani kila kukicha kiongozi wa chama cha upinzani ni tajiri ajabu, ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana.

View attachment 2168208

View attachment 2168209

View attachment 2202214

View attachment 2202215

View attachment 2213472

Kwahiyo posho anayolipwa kiongozi wa upinzani imekuuma kuliko posho wanazogawana chama tawala na kodi wanazotafuna kwa urefu wa kamba?! UVCCM ni vilaza sana nyie watu[emoji28]
 
Mzungu asingegundua mafuta Uarabuni wangekua maskini wa kutupwa maana wenyewe wazembe kazi kuvaa mikanzu tu.
Kibao kimebadilika. Ukitua Doha unakuta Wakenya wanaosha vyoo mwanzo-mwisho.
 
Kibao kimebadilika. Ukitua Doha unakuta Wakenya wanaosha vyoo mwanzo-mwisho.

Wewe hamnazo, Wakenya wapi na wapi kwenye mada ya kuhusu demokrasia ya Waarabu...aisei madrassa inawafanya mnakua kama mazombi vile.
 
Back
Top Bottom