Twende Tukapime

Twende Tukapime

Mtu ambae ni muthirika anaetumia ARV anakuwa na undetectable status. Hii ina maana viral load imekuwa cleared by ARV's. Sasa basi mtu huyu anachance ndogo ya kukuambukiza lakini mkipima atakutwa -ve.
Hapo kwenye kipimo kuonesha Negative kwa mgonjwa anayetumia ARVs umepotosha mkuu.

ARVs inafanya viral suppression lakini siyo mpaka undetectable level.

Na vipimo vinapima Antibodies
 
Mwanaume kabla hajapata kila utakachomwambia atakubali kufanya.
Sio kupima ngoma tena ile twende pamoja mguu kwa mguu "chama na mogela" ..mpaka kituo cha kupimia....lazima nikaji verify kwanza ....labda kama nimepima siku chache tu zilizopita...
 
Mkuu bora akauambie tukapime....ilishanitokea kwa binti Nurse.....kabeba vipimo vyake vile fastafasta toka ofisini.....ghafla tu katikati ya stori gheto ananiambia...itabidi tupime hiv kabla ya yote ..mi nikajibu fasta powaa tu ...ma confidence 100% ....akasema unaonaje tukipima sasa hivi....nikamuuliza kivipi....akajibu vipimo ninavyo hapa......aiseee nilikuwa mdogo ..jasho, haja kubwa na ndogo zikaja kwa ghafla...tumbo sio kuunguruma huko.....akadaka mkono ...akachukua sample.....mi nahemia juujuu...bahati majibu yalikuwa powaaaa......
Sema kweli kiongozi, sio kwamba umekosea?
 
Mi najua cku zote najua anaekwambia mkapime huyo anakupenda kinachotakiwa ni kuonyesha tu ushirikiano
 
Hapo kwenye kipimo kuonesha Negative kwa mgonjwa anayetumia ARVs umepotosha mkuu.

ARVs inafanya viral suppression lakini siyo mpaka undetectable level.

Na vipimo vinapima Antibodies
Asante mkuu.
 
Tell me about it? Nilikwenda seminar ya UKIMWI niliporudi mwaka mzima sikuwa na genye. Walitueleza jinsi ilivyo rahisi kwa mwanamke kuambukizwa kama mwanaume ni +ve. Mkiwa mna do zile sperms zote zinazokumwagikia kama ni +ve, he kindly shares it with you. Lakini mwanamke +ve still ni ngumu kumuambukiza mwanaume unless kuwe na michubuko.
Hiyo ni kweli, yaani hata mwanaume akivaa condom kama wanavyoiamini mwanamke lazima aingizwe kwenye mkonga wa taifa.
 
huyo unaepima nae anakuwa amesex kavukavu wiki iliyopita,vipimo haviwezi kusaidia mpaka msimame wote kusex kwa miezi 3 ndo mpime,
sasa sijui mtachungana vipi.
Sijawahi amini vidonge vile huwa vinasaidia,labda ni kwasababu sijawahi kuona mgonjwa wa ukimwi
Pro-Russia kwa hii point yako nimekuongezea heshima.
 
Mkuu bora akauambie tukapime....ilishanitokea kwa binti Nurse.....kabeba vipimo vyake vile fastafasta toka ofisini.....ghafla tu katikati ya stori gheto ananiambia...itabidi tupime hiv kabla ya yote ..mi nikajibu fasta powaa tu ...ma confidence 100% ....akasema unaonaje tukipima sasa hivi....nikamuuliza kivipi....akajibu vipimo ninavyo hapa......aiseee nilikuwa mdogo ..jasho, haja kubwa na ndogo zikaja kwa ghafla...tumbo sio kuunguruma huko.....akadaka mkono ...akachukua sample.....mi nahemia juujuu...bahati majibu yalikuwa powaaaa......
Tunashu kuru kwa hilo yangekuwa vingevyo post hii tusingeiona.
 
Asee hata niwe na ugwadu namna gani sijamla jike kihasara. Vipimo ninavyo maghetoni na mimi mara zote huwa mtu wa kwanza ku-initiate kupima.

Life is so sweet asee...[emoji4] [emoji39] [emoji6]
 
Kwani mchepuko haupimwi? Anaweza kuwa mchepuko permanent.

Haina maana ukapime kwaajili ya mtu ambae mkiachana yale mliyofanya yote anaenda yafanya na mkewe. Hakuna mchepuko permanent wewe. Shemeji yangu alifanyaga kosa sana alinogewa na mchepuko akaununulia nyumba, anashangaa baada ya kuachwa amepigwa stop asikanyage. Machozi yalimtoka mwanaume.
 
Sawa. .
 
Hmm.....is that so...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom