Twende Tukapime

Twende Tukapime

Umeona eeh...

Shit is easier said than done.

Walio wengi hawapimi wala nini.

Kila siku watu wanadungana mimba...unadhani wote hao huenda kupima kwanza kabla hawajakulana?

Sidhani......
wanapima leo wanadoo leo leo ...eti wamepima
wala vumbi bna!!!!!
 
Kuna mmoja alinambia kama hutaki kwenda kupima basi unipe hela hahahahaaaaa
 
Do basi huyo mchawi anaua dunia aisee. Tena anawaonea sana gay population. Maana si Warusi, wachina, wafaransa, waingereza, africa asia kila jamii imepapuzwa.

Kwa kweli sijawahi kuona umuhimu wake...nilifundishwa ABC zinanisaidia sana!!!! Nitakuja kupima siku naomba visa ya US sijui wapi huko...

duuuh hiyo kali mkuu
 
Kuna huyu binti, mwalimu, very innocent tukakubaliana tutatumia mpira hadi tupime, mi nikasema poa. Alikuwa na maumbile unique sana mnato wa kimataifa nikaona nifanye maarifa yangu ili nionje kavu nikafanikiwa na hali hiyo ikazoeleka. Baada ya miezi kadhaa binti akili zikamrudia akaanza kunishikia bango tukapime... Nilipiga chenga mwezi mzima

Week end moja tumeamka asubuhi analia tu hataki kusikia chochote zaidi ya kwenda hospitali. ikabidi nimuite mshkaji atusaidie kudrive maana nikirecall mechi nilizouza sina imani kabisa, nakumbuka nilienda bila hata kuoga wala kupiga mswaki na suruali bila mkanda macho yamenitoka hata kublink nashindwa.

Daktari akatuambia wanapima mara tatu tu kwa wiki siku za kliniki ya wamama wajawazito!! Dah kwanza dokta nilimtoa na buku 20 fasta tena mtu mzima hivi, nikamtua yule mwanamke hom mi nikachomoka hadi wilaya nyingine wasikonijua nikapima kimya kimya, siku hiyo nilirudi na miguu miwili ya mbuzi na bia nyingi sana maana nilifurahi utafikiri nimemaliza PhD
hiyo technics yako ya wilaya nyingine hata mimi niliwahi kuitumia yaan siku ya kwenda wote mie shaka sina mwenzangu jasho tu la mtoka ananipa hadi leso nimshikie kukaa akai shida tupu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
HIV Overview
The HIV Life Cycle
(Last updated 9/22/2015; last reviewed 9/22/2015)

PrintKey Points
  • HIV gradually destroys the immune system by attacking and killing CD4 cells. CD4 cells are a type of white blood cell that play a major role in protecting the body from infection.
  • HIV uses the machinery of the CD4 cells to multiply (make copies of itself) and spread throughout the body. This process, which includes seven steps or stages, is called the HIV life cycle. HIV medicines protect the immune system by blocking HIV at different stages of the HIV life cycle.
  • Antiretroviral therapy or ART is the use of HIV medicines to treat HIV infection. People on ART take a combination of HIV medicines from at least two different HIV drug classes every day. Because HIV medicines in different drug classes block HIV at different stages of the HIV life cycle, ART is very effective at preventing HIV from multiplying. ART also reduces the risk of HIV drug resistance.
  • ART can’t cure HIV, but HIV medicines help people with HIV live longer, healthier lives. ART also reduces the risk of sexual transmission of HIV.


Once a person is infected with HIV, the virus begins to attack and destroy the CD4 cells of the immune system. CD4 cells are a type of white blood cell that play a major role in protecting the body from infection. HIV uses the machinery of the CD4 cells to multiply (make copies of itself) and spread throughout the body. This process, which includes seven steps or stages, is called the HIV life cycle.

What is the connection between the HIV life cycle and HIV medicines?
Antiretroviral therapy (ART) is the use of HIV medicines to treat HIV infection. HIV medicines protect the immune system by blocking HIV at different stages of the HIV life cycle.

HIV medicines are grouped into different drug classes according to how they fight HIV. Each class of drugs attacks HIV at a different stage of the HIV life cycle.

People on ART take a combination of HIV medicines from at least two different HIV drug classes every day. Because HIV medicines in different drug classes block HIV at different stages of the HIV life cycle, ART is very effective at preventing HIV from multiplying. Having less HIV in the body protects the immune system and prevents HIV from advancing to AIDS. ART also reduces the risk of HIV drug resistance.

ART can’t cure HIV, but HIV medicines help people with HIV live longer, healthier lives. HIV medicines also reduce the risk of sexual transmission of HIV.

What are the seven stages of the HIV life cycle?
The seven stages of the HIV life cycle are: 1) binding, 2) fusion, 3) reverse transcription, 4) integration, 5)replication, 6) assembly, and 7) budding. To understand each stage in the HIV life cycle, it helps to first imagine what HIV looks like.
 
ila nadhani kupima siku moja na kwenda kavu sio kipimo
tuulizane mtu kupata hiv na kuonekana kwenye damu inakuwa muda gani?
mfano ukute hyo mtu alilala na mwenye hiv jana yake au one week before hiv itaonekana kweli?
point.........
 
hiyo technics yako ya wilaya nyingine hata mimi niliwahi kuitumia yaan siku ya kwenda wote mie shaka sina mwenzangu jasho tu la mtoka ananipa hadi leso nimshikie kukaa akai shida tupu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Hahaha mwenzio baada ya lile tukio niliachwa maana nilionekana mbahatishaji
 
Ni kweli wanaokuja na gia ya kwenda kupima, wanakuwa hawataki. Sasa hapo nikae nasubiri nini? Nasepa tu.!
 
Ni baada ya miezi mitatu mkuu, lakini kama umeambukizwa kwa ngono zembe kwa sasa hivi dawa ni nzuri ukiwahi kwa dr wiki mbili baada ya maambukizi wanaweza kurekebisha.
Baada ya wiki mbili vijidudu vinaonekana?
 
Ukishakuwa na uhakika wa afya yake unakuwa free kufanya nae sarakasi zote mkuu.
Mmh wengi ni kutimiza vigezo na masharti ya mwanzoni tu lakini hakuna kitu aisee, watu wenyewe hawa uaminifu zero, mnapima halafu bado mna side dishes kibao, hiyo network utaipima yote kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom