Twende Tukapime

Twende Tukapime

Mimi pia wiki hii nimepanga kupima ila kila nikijitahidi naona ujasiri nehi nguvu zinaniisha presha inashuka na kupanda nimesoma thread zote za ukimwi humu jf labda zitanishawish wapiiiii! Alaf hata celewi naogopa nini haswa [emoji22][emoji22] Mungu anipe nguvu.
 
endeleeni kwenda kupima ipo siku mtapata mnachokitafuta
 
nishapijilipua sana katika aina ambayo nilijua sitapona.. lakini siku nilipopimwa na kuambiwa sina sikuamini. nilichofanya ni kwenda kwenye hospitali nyingine mbili ili kuhakiki ukweli.. I thank GOD nikutwa salama na tokea hapo sikushiriki tendo bila kucheki afya
 
Yes...
ndo najiuliza ina siri gani hapo?
hebu saidia nielewe

1. Convenience....ni dakika chache tu unapata majibu yako. Basically ni kuingia na kutoka tu. Ila reliability ya hayo majibu ndo sina hakika nayo.

2. Nadhani wamefanikiwa [hapo kwenye hiyo hospitali] kuwashawishi watu kuwa wanatunza faragha za watu vizuri.

3. Neno la mdomo...watu wakiambizana na kusikia kwamba sehemu fulani ina huduma nzuri, hata uwe ni mtazamo tu,

Hayo ndo machache ninayoweza kuyafikiria kwa haraka haraka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom