Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,102
- 143,335
- Thread starter
- #161
Yap unless you are rich enough to give away, lakini kama bado apache alolo, kheri ununue nyama choma tu kwa mchepuko.
I see. Ushawahi kuwa mchepuko?
Yap unless you are rich enough to give away, lakini kama bado apache alolo, kheri ununue nyama choma tu kwa mchepuko.
That is for me to tell and for you to find out.I see. Ushawahi kuwa mchepuko?
That is for me to tell and for you to find out.
Kisa mbeba box!! And I knew it before!!twende
Kisa mbeba box!! And I knew it before!!
Kwa hiyo unaona kuna umuhimu wa kupima ama la?Word!
Halafu wengine huwa wana insist muende sehemu anayotaka yeye...kama pale kwa Mama Ngoma....
Ukiona hivyo stuka.
Kwa hiyo unaona kuna umuhimu wa kupima ama la?
Wewe ndo wa kuchapwa unayesema eti siku hizi ukimwi ni kama mafua... Hivi unaujua ukimwi au unausikia tu....Reina....ntakuchapa. Ndo swali gani hilo umeniuliza? We unaonaje...kuna umuhimu?
Kabali inakuhusu.......
Wewe ndo wa kuchapwa unayesema eti siku hizi ukimwi ni kama mafua... Hivi unaujua ukimwi au unausikia tu....
Halafu hujajibu swali....
Twende tukapime kwanza....Wa kunichapa nani? Reina Princess? Heheheeeeee.....go ahead and make my day!
Twende tukapime kwanza....
Nakusubiri twende wote. Usije ukasema nimehonga...Tangulia pale IMTU nakuja....
Nakusubiri twende wote. Usije ukasema nimehonga...
Sijawahi itumia hii [emoji54][emoji54] Nyani Ngabu
Deal.... [emoji13]Hata twende Jumamosi.......deal?