Twende Tukapime

Twende Tukapime

Kwani wao wanatumia vifaa tofauti na hospitali zingine?

Wana vifaa vya kisasa zaidi. Pia rafiki yangu aliniambia walikwenda kupima Muhimbili kumbe jamaa alishajijua ni +ve. Alitangulia a day b4 akaweka pesa ya chai. Walipofika kesho yake unajua kilichoendelea.
 
Kuna mmoja nilikuwa nammezea mate.Nikatupa ndoano ikanasa.Tukiwa mahali tunapiga stori akanambia kama wataka yale mambo kapime kaka.Nikamwambia ntaenda kesho.

Na kweli sikujivunga kwenda kupima ingawa moyo kwa mbaaali ulikuwa unadunda.
Nkaenda kupima nikapata cheti safi. Kesho yake mzigo ukashughulikiwa.
Ungekaataaa na mzgo ungekosa
 
Wakati nikianza mahusiano na mke wangu nilimkokota mpaka Angaza tukapime ila kabla ya hapo nilijitoa mhanga kupima peke yangu.
 
ila nadhani kupima siku moja na kwenda kavu sio kipimo
tuulizane mtu kupata hiv na kuonekana kwenye damu inakuwa muda gani?
mfano ukute hyo mtu alilala na mwenye hiv jana yake au one week before hiv itaonekana kweli?
Umenena,mnapima leo na mnakulana leo leo

Kama ni maambukizi yapo palepale tu
 
Kipimo cha mara moja hakiwezi kukudhibitishia kuwa mtu hana ngoma, je kama alifanya ngono zembe jana yake mkaenda kupima na kipimo kikaonyesha neg wakati jana hiyo aliukwaa, ni vyema kutumia zana otherwise mna malengo ya kuwa wapenzi wa kudumu na mnaaminiana basi ni vyema kupima mara 3 kila baada ya miezi mitatu.
 
ila nadhani kupima siku moja na kwenda kavu sio kipimo
tuulizane mtu kupata hiv na kuonekana kwenye damu inakuwa muda gani?
mfano ukute hyo mtu alilala na mwenye hiv jana yake au one week before hiv itaonekana kweli?
Unawezaje kwenda kavu natu ambae ndo mara ya kwanza mnakutana,

Lazma nivae karatas hata kama umetoka kupima leo
 
Kipimo cha mara moja hakiwezi kukudhibitishia kuwa mtu hana ngoma, je kama alifanya ngono zembe jana yake mkaenda kupima na kipimo kikaonyesha neg wakati jana hiyo aliukwaa, ni vyema kutumia zana otherwise mna malengo ya kuwa wapenzi wa kudumu na mnaaminiana basi ni vyema kupima mara 3 kila baada ya miezi mitatu.

Kama alifanya ngono zembe jana yake inachuka miezi mitatu kwa virus kuonekana kwenye damu pia hawatakuwa wamejiestablish vyema kwenye mwili kiasi cha wewe kupata maambukizi.
 
Wana vifaa vya kisasa zaidi. Pia rafiki yangu aliniambia walikwenda kupima Muhimbili kumbe jamaa alishajijua ni +ve. Alitangulia a day b4 akaweka pesa ya chai. Walipofika kesho yake unajua kilichoendelea.
mmmh! basi hiyo kali lengo lake anataka kufa na wengi sio? hilo la vifaa vya kisasa sina uhakika nalo sana.
 
Nani keshawahi kuambiwa hivyo na mtu ambaye anataka kutoka naye?

Nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasmi na kugundua kwamba, hususan kwa wadada, kama kuna mkaka kawatokea na kama wao hawamfeel kivile na wanataka kumkataa bila kujeruhi hisia zake sana, basi huja na hiyo gia ya kwenda kupima.

Hiyo kupima si kwenda sijui kupima malaria au sijui presha....ni kwenda kupima VVU.

Teh teh teh...sasa kusema ukweli si watu wengi wenye ujasiri wa kwenda tu kupima hiyo makitu. Kwa hiyo mtu ukimwambia hivyo utaona pole pole anaanza kula kona kwa sababu ni sharti lililo gumu.

Kwa mfano mnakutana leo....mnaenda kwenye kideti chenu....halafu baadaye mwenzio anachomekea mambo ya kwenda kupima tena kesho tu.

Hapo kama huna ujasiri wa kwenda lazima utakula kona tu.
Mi siili bila ya kuipima, wote ninao-date nao ni lazime tupime kwanza. Bila UKIMWI, kwangu inawezekana.
 
Ukishakuwa na uhakika wa afya yake unakuwa free kufanya nae sarakasi zote mkuu.
 
Kama alifanya ngono zembe jana yake inachuka miezi mitatu kwa virus kuonekana kwenye damu pia hawatakuwa wamejiestablish vyema kwenye mwili kiasi cha wewe kupata maambukizi.
aisee hii sikuijua, kwa hiyo unataka kusema kipimo cha siku moja kinatosha kuamini kuwa mtu yuko safe? endapo wote wote mtakutwa neg?
 
That is the best starting point.
Ila hapo panakuwa na tatizo kidogo maana kama mpenzi wako kapata maambukizi siku za karibuni kabla ya kupima, ni wazi kwamba majibu ya vipimo yataonekana ni mazuri na nafasi ya kuambukizwa itakuwa ni kubwa sana.
 
mmmh! basi hiyo kali lengo lake anataka kufa na wengi sio? hilo la vifaa vya kisasa sina uhakika nalo sana.

Mambo yote ni hivi vidude.
upload_2016-6-8_12-30-47.jpeg
upload_2016-6-8_12-31-5.jpeg
upload_2016-6-8_12-31-22.jpeg

Karibuni kwenye dunia ya kuishi bila ya HIV

Fuata link hii kwa taarifa zaidi..
hiv test kits - Google Search
 
Nani keshawahi kuambiwa hivyo na mtu ambaye anataka kutoka naye?

Nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasmi na kugundua kwamba, hususan kwa wadada, kama kuna mkaka kawatokea na kama wao hawamfeel kivile na wanataka kumkataa bila kujeruhi hisia zake sana, basi huja na hiyo gia ya kwenda kupima.

Hiyo kupima si kwenda sijui kupima malaria au sijui presha....ni kwenda kupima VVU.

Teh teh teh...sasa kusema ukweli si watu wengi wenye ujasiri wa kwenda tu kupima hiyo makitu. Kwa hiyo mtu ukimwambia hivyo utaona pole pole anaanza kula kona kwa sababu ni sharti lililo gumu.

Kwa mfano mnakutana leo....mnaenda kwenye kideti chenu....halafu baadaye mwenzio anachomekea mambo ya kwenda kupima tena kesho tu.

Hapo kama huna ujasiri wa kwenda lazima utakula kona tu.
Aissee ni kweli ila ukikomaa nae muende huwa wanapiga chenga anakuomba....aje.geto halafu akija Anakuja kihasara hasara ukimgusa tu anafumba macho ukiendelea tu hamna vikwazo.......umaeat the eative
 
aisee hii sikuijua, kwa hiyo unataka kusema kipimo cha siku moja kinatosha kuamini kuwa mtu yuko safe? endapo wote wote mtakutwa neg?

My take, mdate kwanza mkiamua kufuata usafi wa Roho Mt sawa la mle tunda kwa ndomu. Kipimo sahihi cha ukimwi ni miezi mitatu baada ya maambukizi ndio virus wanaonekana. Kwahiyo kama umeamua huyu ndiye awe wa future, baada ya miezi mitatu katika kudate kwenu ukajua hajakutana na mtu mwingine na wewe kadhalika mkapime. Muanzie hapo wote mtakuwa safe.
 
Madam naomba unifafanulie hapo kwenye blue in reference to red.
Mtu ambae ni muthirika anaetumia ARV anakuwa na undetectable status. Hii ina maana viral load imekuwa cleared by ARV's. Sasa basi mtu huyu anachance ndogo ya kukuambukiza lakini mkipima atakutwa -ve.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom