Twende Tukapime

Twende Tukapime

Mbona cjakuelewa upo kundi lipi Mkuu??
kwenda kupima inategemea,kama nilipima peke yangu hv karibuni na sijagegedana(nina uhakika nipo negative) ntaenda kupima tena na huyo aliyeniambia tukapime.lakini kama sijapima recently na nishapitapita kwingi,hapo lazima nikapime kwanza peke yangu nione majibu yangu,kama negative tutaenda (hapo najua niko poa nasubir yako) nikikutwa positive ntakataa kwenda kupima tena pamoja na huyo anayetaka tukapime.point yangu ni kwamba siwez pima na mtu kabla sijahakikisha kuwa mimi niko negative sijui umenipata?
 
kwenda kupima inategemea,kama nilipima peke yangu hv karibuni na sijagegedana(nina uhakika nipo negative) ntaenda kupima tena na huyo aliyeniambia tukapime.lakini kama sijapima recently na nishapitapita kwingi,hapo lazima nikapime kwanza peke yangu nione majibu yangu,kama negative tutaenda (hapo najua niko poa nasubir yako) nikikutwa positive ntakataa kwenda kupima tena pamoja na huyo anayetaka tukapime.point yangu ni kwamba siwez pima na mtu kabla sijahakikisha kuwa mimi niko negative sijui umenipata?
OK.. Nimekuelewa.. Be happy
 
Wana vifaa vya kisasa zaidi. Pia rafiki yangu aliniambia walikwenda kupima Muhimbili kumbe jamaa alishajijua ni +ve. Alitangulia a day b4 akaweka pesa ya chai. Walipofika kesho yake unajua kilichoendelea.
Ukisema vifaa unakosea pakubwa sana labda ungetuaminisha kwa kusema wana wataalamu waliokula yamini ktk
masuala hayo maana kipimo ni kimoja
 
Wawili walishanambia hivyo nikawa nawavutia speed tu, mwisho wa siku kaja hom nikagegeda kiulainiiiii bila hata ndom. Hawa huwa wanataka kuona hilo jambo utalipokeaje! Huwa hawamaanishi!
 
Mi mwenzenu nishapima. Na nyie ambao hamjapimwa nendeni mkapimwe muishi.

20160614_134234.jpg
 
Hii mada imenigusa sana kwani ni weekend iliyopita tu nominate na mdada wa chuo. Tulipoingia Lodge akawa mbishi sana kuvua kyupi ili anipe mizigo, nikamlazimisha sana tena sana ila akawa mgumu wa kutoa mbunye take.
Ikabidi nitumie nguvu kidogo na kumwonyesha kuwa mie ni kidume mjanja mpaka akachia alichonibani nikala japo sio kwa kuridhisha (like forced sex) na tulipotoka kila mtu akatoka kivyake huku tumenuniana.
Baada ya siku 3 nikapata nikapokea ujumbe huu toka kwake "SIO KILA MWANAMKE ANAYEKUNYIMA *MBUNYE* YAKE HAKUTAKI NA HAKUPENDI, WENGINE WANANAKUONEA HURUMA UNAVYOKUFA KIZEMBE KWA UKIMWI"
Hukumuuliza anamaanisha nini?
 
Ni
Nani keshawahi kuambiwa hivyo na mtu ambaye anataka kutoka naye?

Nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasmi na kugundua kwamba, hususan kwa wadada, kama kuna mkaka kawatokea na kama wao hawamfeel kivile na wanataka kumkataa bila kujeruhi hisia zake sana, basi huja na hiyo gia ya kwenda kupima.

Hiyo kupima si kwenda sijui kupima malaria au sijui presha ni kwenda kupima VVU.

Teh teh teh sasa kusema ukweli si watu wengi wenye ujasiri wa kwenda tu kupima hiyo makitu. Kwa hiyo mtu ukimwambia hivyo utaona pole pole anaanza kula kona kwa sababu ni sharti lililo gumu.

Kwa mfano mnakutana leo mnaenda kwenye kideti chenu halafu baadaye mwenzio anachomekea mambo ya kwenda kupima tena kesho tu.

Hapo kama huna ujasiri wa kwenda lazima utakula kona tu.
Kikwazo hiki cha kupima kinakuwa kitamu pale jana yake tu ulishapima na kuambiwa ''Non reactive''hivyo akitamka umwambie twende sasa hivi na majibu umwambie yake uchukue wewe na yako mpe yeye
 
Kupima ni jambo jema. Binafsi, ni manzi ndie aliyewahi kunishawishi kupima, na wala sikumtokea. Aliniweka wazi kuwa hapendi gloves, so If I was down for the nasty, ni vyema kupima.

Sikuwa na body count wala historia ya ajabu, ila ilibidi nipime peke yangu mara 2 kabla hatujaenda wote. Funny enough, hata baada ya kupima hizo mara mbili, bado nilikuwa nervous hiyo mara ya 3 tuliyoenda pamoja.
Kupima hakuna uzoefu mkuu. Mambo ya kuloweka ndio yanaleta hizo presha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom