Twende Tukapime

Twende Tukapime

For the three months you are with her kama amekutana na mtu mwingine basi bahati si yako. Na hata kama amekutana na mtu mwingine itachukua wiki 12 kwa virus kuonekana kwenye damu. Kama sio mwaminifu unangoja nini hapo?

Sio kila sehem utakuwa nae. Kwani wangap wanachepuka na wako kwenye ndoa bila wenzi wao kujua.? Na sio wote hukumbuka kinga. Na hapo ndo tatizo linapoanzia
 
Na wengine hujiaminisha kuwa wapo wenyewe, kumbe wenzi wao wakitoka hukutana na wengine na sio mara zote hutumia kinga. So kupima wakat mwingine hakuna maana kama ulie nae hajatulia
 
Na wengine hujiaminisha kuwa wapo wenyewe, kumbe wenzi wao wakitoka hukutana na wengine na sio mara zote hutumia kinga. So kupima wakat mwingine hakuna maana kama ulie nae hajatulia
Take the precautions and leave the rest to God. Kama uko kwenye ndoa na bado mwenza anachepuka bila wewe kujua is another case, lakini kama mtu hamjuani unaanza kumtrust hiyo pia ni case nyingine tofauti.
 
ila nadhani kupima siku moja na kwenda kavu sio kipimo
tuulizane mtu kupata hiv na kuonekana kwenye damu inakuwa muda gani?
mfano ukute hyo mtu alilala na mwenye hiv jana yake au one week before hiv itaonekana kweli?
kupima ni kujipa matumaini tu kisaikolojia,ila haina maana yeyote ile
 
Kama umeathirika utaanza dawa na utakokoa maisha yako mkuu.
huyo unaepima nae anakuwa amesex kavukavu wiki iliyopita,vipimo haviwezi kusaidia mpaka msimame wote kusex kwa miezi 3 ndo mpime,
sasa sijui mtachungana vipi.
Sijawahi amini vidonge vile huwa vinasaidia,labda ni kwasababu sijawahi kuona mgonjwa wa ukimwi
 
Ubarikiwe na uishi na baraka zake yeye aliyekuumba. Tumeuguza wagonjwa wakati ARV's hazijawa bora kama zilivyo sasa, wakiwa ndugu zetu wa damu. Tunajua madhara yake, kwa sasa hivi hata aje handsome man kiasi gani kama hatujapima kavu hajanipata.
 
Kama umeathirika utaanza dawa na utakokoa maisha yako mkuu.

UKIMWI siku hizi ni kama mafua tu. Watu kibao wanao na hawafi. Wanaishi maisha marefu tu. Tena wengine wanazaa kabisa na watoto wanakuwa wenye afya nzuri kabisa.

Huo upungufu wa kinga mwilini siku hizi si hukumu ya kifo kama zamani.
 
Lakini kwasababu Afrika bado tuna nyanyapaa wagonjwa wa UKIMWI ndio sababu watu hawajawa free kudeclear in public na kulinda wenzao ambao hawajapata maambukizi.
 
Kwa wazinz hili ni jambo gumu sana sawa sawa na muuza bangi kwenda polisi ila kwa watakatifu ni neema sana sbb itakuweka ktk penz salama. Ukimuona mtu wako anajizungusha kwenda kupima huyo ni muathirika au ni mzinz. Haiwezekan jambo dogo km hili hataki. Hapo kimbia tu hana mpango na ww kafuata papuch au mgegedo. Ila watu weng siku hiz hawapimi wanaamin condom km mungu mdogo wao. Mkapime achen kudanganya
HIV KILLS
 
Word Mkuu.
 
Hii mada imenigusa sana kwani ni weekend iliyopita tu nominate na mdada wa chuo. Tulipoingia Lodge akawa mbishi sana kuvua kyupi ili anipe mizigo, nikamlazimisha sana tena sana ila akawa mgumu wa kutoa mbunye take.
Ikabidi nitumie nguvu kidogo na kumwonyesha kuwa mie ni kidume mjanja mpaka akachia alichonibani nikala japo sio kwa kuridhisha (like forced sex) na tulipotoka kila mtu akatoka kivyake huku tumenuniana.
Baada ya siku 3 nikapata nikapokea ujumbe huu toka kwake "SIO KILA MWANAMKE ANAYEKUNYIMA *MBUNYE* YAKE HAKUTAKI NA HAKUPENDI, WENGINE WANANAKUONEA HURUMA UNAVYOKUFA KIZEMBE KWA UKIMWI"
 
Kama alifanya ngono zembe jana yake inachuka miezi mitatu kwa virus kuonekana kwenye damu pia hawatakuwa wamejiestablish vyema kwenye mwili kiasi cha wewe kupata maambukizi.
Window period.

Siyo virus..... Ni Antibody
 
nimekosea mkuu? maana kasema kipimo kinapima in three month time? je ndani ya mwezi itakuaje?
Check status aya mwenzi wako, kama hana umesevu(not 100%), kama anao na uiligegegda kavu. Tafuta PEP faster(Recommended within 3 days)
 
Sio kila sehem utakuwa nae. Kwani wangap wanachepuka na wako kwenye ndoa bila wenzi wao kujua.? Na sio wote hukumbuka kinga. Na hapo ndo tatizo linapoanzia
Very TRu, ndio maana B na C za ABC hufanyakazi haswa.
 
Mkuu bora akauambie tukapime....ilishanitokea kwa binti Nurse.....kabeba vipimo vyake vile fastafasta toka ofisini.....ghafla tu katikati ya stori gheto ananiambia...itabidi tupime hiv kabla ya yote ..mi nikajibu fasta powaa tu ...ma confidence 100% ....akasema unaonaje tukipima sasa hivi....nikamuuliza kivipi....akajibu vipimo ninavyo hapa......aiseee nilikuwa mdogo ..jasho, haja kubwa na ndogo zikaja kwa ghafla...tumbo sio kuunguruma huko.....akadaka mkono ...akachukua sample.....mi nahemia juujuu...bahati majibu yalikuwa powaaaa......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom