Twende Tukapime

Twende Tukapime

Swali nilivyo lielewa ni kuwa kama mtu ana undetectable status atajuaje?
Lipitie upya---hili hapa......Thanks sister, uliposema "mpaka mfahamiane vizuri" waweze kumfahamu ilhali virus wake ni undetectable kwenye kipimo? Maana HIV hawatambuliki kwa macho, na kama una date na mtu anayetumia ARV wengi wanafanya siri, ni namna gani waweze kumfahamu?
 
Ni baada ya miezi mitatu mkuu, lakini kama umeambukizwa kwa ngono zembe kwa sasa hivi dawa ni nzuri ukiwahi kwa dr wiki mbili baada ya maambukizi wanaweza kurekebisha.
Nowadays, ni ndani ya miezi 3 ka sikosei( I stand to be corrected). Na ukiwahi kugundua pia ndani ya siku 3 tangu ukutane na mtu ambaye ni HIV Positive unaweza save baada ya kutumia dawa maalumu iitwayo PEP, ambayo utatumia kwa muda wa siku 30. Efficiency yake ni 99.9%
 
vipi dalili zinaonekana baada ya muda gani toka upate maambukizi?na ni dalili zipi
 
Jamen m naitaji kujua leo, sababu siku hizi Kuna kamtindo ka kupima then ndo watu wanaingia uwanjani hasa tule tuvipimo twa dukani, unanunua unampima bibie Kama na yeye akitaka kuhakikisha Kama wewe mzima, unajitoa tudamu mkijikuta fresh mambo yanakuwa msoga, sasa swali ni hili huto tuvipimo huwa ni special sana kuzidi vile vya hospital kubwa O ni vp!! Maana navojua mimi mfano ukipima leo lazma utaambiwa urudi baada ya miezi mitatu ili hata Kama Kuna mmoja wapo ana maambukizo basi mpaka kufika miezi mitatu, kwahyo Kama ni virus vitakuwa vishaonekana,, nisaidien jibu wandugu maana mm peke yangu mpaka kichwa kinauma
 
Kuna huyu binti, mwalimu, very innocent tukakubaliana tutatumia mpira hadi tupime, mi nikasema poa. Alikuwa na maumbile unique sana mnato wa kimataifa nikaona nifanye maarifa yangu ili nionje kavu nikafanikiwa na hali hiyo ikazoeleka. Baada ya miezi kadhaa binti akili zikamrudia akaanza kunishikia bango tukapime... Nilipiga chenga mwezi mzima

Week end moja tumeamka asubuhi analia tu hataki kusikia chochote zaidi ya kwenda hospitali. ikabidi nimuite mshkaji atusaidie kudrive maana nikirecall mechi nilizouza sina imani kabisa, nakumbuka nilienda bila hata kuoga wala kupiga mswaki na suruali bila mkanda macho yamenitoka hata kublink nashindwa.

Daktari akatuambia wanapima mara tatu tu kwa wiki siku za kliniki ya wamama wajawazito!! Dah kwanza dokta nilimtoa na buku 20 fasta tena mtu mzima hivi, nikamtua yule mwanamke hom mi nikachomoka hadi wilaya nyingine wasikonijua nikapima kimya kimya, siku hiyo nilirudi na miguu miwili ya mbuzi na bia nyingi sana maana nilifurahi utafikiri nimemaliza PhD
 
vipi dalili zinaonekana baada ya muda gani toka upate maambukizi?na ni dalili zipi
Inategemea na immune system yako inanguvu kiasi gani, wengine inawachukia miaka kumi au zaidi. HIV inadhoofisha immune system kwahiyo kila ugonjwa utakaopita ambao mwili uliweza kufight b4 itashindikana, utaanza safari za hospitali na mwisho dr. wako ataamua acheck na hili. Otherwise kuna wanaokufa na HIV bila wao kujua ni wazima kabisa.
 
Sijawahi kupima ukimwi...


.
.
.

KUPATA UKIMWI NI HADI ULOGWE!
 
Sijawahi kupima ukimwi...


.
.
.

KUPATA UKIMWI NI HADI ULOGWE!
Do basi huyo mchawi anaua dunia aisee. Tena anawaonea sana gay population. Maana si Warusi, wachina, wafaransa, waingereza, africa asia kila jamii imepapuzwa.
 
Nyuma ya keyboard watu wengi huwa ni wema sana. Watu wengi hupima. Na blah blah zingine kibao.

Lakini uhalisia tunaouona huku uraiani hauakisi maneno ya watu walio anonymous nyuma ya keyboard.
 
Nyuma ya keyboard watu wengi huwa ni wema sana. Watu wengi hupima. Na blah blah zingine kibao.

Lakini uhalisia tunaouona huku uraiani hauakisi maneno ya watu walio anonymous nyuma ya keyboard.
I said this b4 mkuu. Theory is very easy but how to practice that is where the problem starts.
 
I said this b4 mkuu. Theory is very easy but how to practice that is where the problem starts.

Umeona eeh...

Shit is easier said than done.

Walio wengi hawapimi wala nini.

Kila siku watu wanadungana mimba...unadhani wote hao huenda kupima kwanza kabla hawajakulana?

Sidhani......
 
Word!

Halafu wengine huwa wana insist muende sehemu anayotaka yeye...kama pale kwa Mama Ngoma....

Ukiona hivyo stuka.
hahaaaaaaa na madaktari wetu wengi njaaa utajutraaaa mbona jitu positive dokta anasema negative[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom