Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
kwanza mkuu nikupe hongera kidogo maana leo utalala usingizi mzuri. Binti mwenyewe huyu!


blogger-image--1593854567.jpg

hiki kinyago cha mpepure ndicho kinatutukana hivi?
 
You ain't neva out of words ma nigga.

You ain't feeling them tiddays:becky:?

Her underarms look nasty though.....looks like they haven't seen a razor-blade for a couple days.

hata wewe leo umeiguika CCM yako hivo? msamehe mCCM mwenzako Anna Tibaijuka.
 
Last edited by a moderator:
haya hiyo hapo
blogger-image--1593854567.jpg
Dah! Asante tena ila kiukweli sasa baada ya kuona hii picha, kwa shape kamenimaliza. Umbo ndo type yangu hiyo. Dah! Mazee unakajua nini! Naona toka mwanzo nikisema haonekani shape unanidondoshea kitu ambacho kipo clear zaidi! Au ndo mambo ya instagram, wengine hatufikagi huko wala fesibuku. Asante!
 
Kanadharau sana haka, nakajua. Ukikutana naye kwenye service za jumuiya katataka kila mtu ajue kama mama yake ni Tiba ambaye ni Waziri.
Nadhani katakuwa na maumivu kuliko mama yake kwani katakuwa hakana tena cha kutambia mbele za watu kama kawaida yake.
Ova
 
This little Btch is crazy.

Nobody asked her mum to chew more than she can eat. we never asked her to send the monnies to her personal account,and no one paying 5M a year is looking for help.

She should be careful with her big mouth both literally and figuratively, as she will soon cost her mother the school income as no one will send kids to a school where owner thinks they are helping out despite the effn fact that 5M exchange hands.

At least we learned one crucial thing. The whole kuropoka thing.

It runs in the family.
 
yule mama inaonekana hajawahi kupiga deal....aliweweseka sana tangu hii saga ianze

Kabisaaaaa, cheki The mastermind himself Mr. Chenge, katulia kama maji ya mtungi. Anajua kucheza karata.
 
yule mama inaonekana hajawahi kupiga deal....aliweweseka sana tangu hii saga ianze

Unajua alitakiwa achukue ushauri kwa master chenge, ila dharau kama hizi anazoonesha binti yake ndio zilimponza.

Majizi komavu yanapeta,yeye chali halafu analaumu na kutukana watu hovyo. Hakutumwa kuleta ufisadi, halafu kuwa kiherehere kuji-expose.
 
Hana lolote. Wakale hizo vitu bilioni vyao na zile mali walizoiba warudishe. Wasubiri kikwete aondoke madarakani wataona kila rangi
 
Le Mutuz Na Huyo Binti Wote Akili Moja... Na Kwa Mfano Jk Angemtetea Tibaijuka Huyu Babu Yangu Malecela Angekuwa Upande Wa Kagem Tibaijuka.
Ndilo tatizo kubwa la manyang'au; hawana urafiki wa kudumu, urafiki ni pale chakula kipo na wanakula wote. Hawakawii kutafunana pale mwenzao moja anapojikwaa na kuanza kuonesha dalili ya kudhoofika kwani ndizo tabia zao...!
 
Dah! Mtoto mzuri sana huyu. Mimi nimempenda sana. Ngoja nianze harakati za kumfukuzia.. Na nyie mnaomdiss mama ake acheni bna. Hvi mbna watanzania mnakuwa na chuki sana kwa watu waliosoma na kufanikiwa? Yaani kweli mnatamani prof tibaijuka ashuke mpaka afanane na nyie!!! ??? Acheni roho mbaya bna. Tieni bidii kwenye mishe zenu na roho mbaya muache...



Ngoja sasa nikaanze harakati za kumfukuzia binti.., kwa mwenye details zake zaidi jaman anaweza akaniPM,, nitashkuru sana.
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



- Haya ni matusi yaliyorusshwa na mtoto wa Waziri wa zamani wa Ardhi Mama Anna Tibaijuka, maana yake ni kwamba huyu mtoto alidhani Mama yake atakuwa Waziri mpaka mwisho wa Dunia na hiki kiburi cha kuamini Mama yake atakuwa Waziri wa Milele anakitoa wapi kama sio toka kwa mzazi wake? Hawa ndio Viongozi wetu wa sasa hata watoto wao nao wamejivika kiburi cha ajabu maana hata Mama yake naye alidai akijizulu Rais atamshangaa na kwamba yeye ni jembe la Rais, huku wafanyakazi wa Ardhi wamepanga kufanya sherehe kubwa za kushangilia kuondoka kwake. CCM irudishe tena ile taibia ya Viongozi wake wa juu kupitia Kivukoni kwanza maana ni huzuni kwa mtoto wa Waziri wa zamani wa CCM kurusha maneno machafu kama haya kwa wananchi, ina maana mpaka sasa huyu mtoto haelewi madhambi ya Mama yake ya kupokea mapesa mengi akiwa kwenye nafasi ya UWaziri wa Jamhuri, sasa kama hata watoto wao hawaelewi na wanakimbilia kugombea uongozi wa Taifa tutegemee nini hasa kutoka kwa hawa Viongozi wetu na watoto wao?

- Kuna siku Mama yake aliwahi kukuta magari mengi kwenye njia anayopita kwenda nyumbani kwake kwa sababu inapitia Club ya 327 Mikochen, Mama kwa hasira akafunga ile Club kisa magari yamemsumbua kwenye njia ya kufika kwake, sasa niambie huyu ni kiongozi wa Taifa ambaye hawezi kuheshimu starehe za wananchi, anaifunga Club kwa sababu tu kakasirika sasa ndio maana na watoto wao wanakuwa na kiburi cha ajabu kama huyu mjinga aliyerushia wananchi matusi huko twitter, this is sad!!

Le Mutuz

Yeah. Alifikiri atarithishwa. Bila aibu km mbuzi anatukana watu. Na mama ataona sawa hakaripii. Smt. Amejishushia aibu na aibu kwa mama yake. Hao ndio watoto wa viongozi.lol.
 
Mkuu,
Tatizo la akaunti za Stanbic bank,akaunt zote hazikuwa na majina ya waliotumiwa pesa.Nafikiri hicho ndicho kilichomlewesha mama tiba na kufikiri kuwa hata likibumburuka bac kitakuwa kifo cha wengi!Kumbe wenzie wamemzidi akili,yeye akaingia mzima mzima na jina lake akaliweka kwenye akaunti!

sasa kama hazikua na majina walichukuaje pesa?maana hela itatoka acount A kwenda B,
ama mnamistake money withdrawing na money transfer?
maana sawa mtu anaweza kuwidraw hela na akaenda kufanyia kazi anayojua na mtu akitransfer kwa acount ingine si lazima ionakane kapokea nani au ikoje hapo?
 
On positive note ,

we can be sure tezi dume hajad*ndiwa na haka ka bibi bomba.

And Bibi Bomba has conceded her much arrogant stance of "kushangawa" na tezi kwa kukubali kuachia ngazi.

Kido, ride over now.

you 1 sec of fame is UP.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom