Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
Clean money, 1.65B into your personal account and you call it clean money...kwani shule haina account

Common is not common to all

To them its clean money and its common to them

But to us as Tanzanians its NOT clean money and then it is not common to us all.

Inategemea unasimama upande upi kulitazama hili swala.

Kweli shule haina akaunti?!
 
Si walimwomba na kumbembeleza...bado anakula nchi huyo bila nyazifa maana benefits zooote atakula haha kama EL, huyo Werema... hii ndio tz ua ccm.

kwani akishafukuzwa ndiyo basi tena? harudishi fedha zetu na kufungwa jela? hii nchi ni ya kipuuzi sana i see!
 
Chadema acheni matusi, Mama Tibaijuka hana kosa

Kweli hana kosa na hayo ndiyo mawazo yako na upo huru kuwaza hivyo ila CCM ndio wameshamtosa na hawaoni au kufikiri kama wewe.

The Q is hao watumishi wengine wa umma inakuaje?! Au ndip kafara ya mmoja na wengi wapone.
 
Hawa wanadhani wana umiliki na ofisi za umma. Yeye na mama yake wote wana matatizo ya akili.

Like mother like gaughter; two ugly skiny beings; what a disgraceful exit for an erstwhile reputable scholar!!

90's Women organisation ....a disaster!!
UN habitat.........................A catastrophe!!
Kigamboni city....................A calamity!!
Chenge katiba.................... Amargeddon!!
Tegeta Escrow.....................Flight M370 into oblivion!!!!!!!!!!!!

The late Ambassador Wilson Tibaijuka; an accomplished human being; must be reeling in his grave about what has become of his family; a legacy oblitrated!! Poor Anna; mulomo umekuponza dada yangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hawa wanadhani wana umiliki na ofisi za umma. Yeye na mama yake wote wana matatizo ya akili.

Like mother like daughter; two ugly skiny beings; what a disgraceful exit for an erstwhile reputable scholar!!

90's Women organisation ....a disaster!!
UN habitat.........................A catastrophe!!
Kigamboni city....................A calamity!!
Chenge katiba.................... Amargeddon!!
Tegeta Escrow.....................Flight M370 into oblivion!!!!!!!!!!!!

The late Ambassador Wilson Tibaijuka; an accomplished human being; must be reeling in his grave about what has become of his family; a legacy oblitrated!! Poor Anna; tamaa na mulomo umekuponza dada yangu!!!!!
 
Wewe LE MUTU NDO UNGEKAA KIMYA.HUNA LA MAANA ZAIDI KUTANUA NA HELA ZA KIFISADI.WDWE MWENYE UNAFUJA MALI AMBAZO MSINGI NI UMMA.ANGALIA WATOTO WA NYERERE,KAWAWA,MSUYA,MWINYI, WENGI WASTAARABU NA HAWANA MAJIVUNO KM WEWE.KAA KIMYA!

- Ungenyamza ungeonekana una akili mimi nakula na kuishi kwa jasho langu, sema hujui ninafanya nini ndio maana unalia lia kama mtoto mdogo uliza kama huelewi mimi siishi kwa kutegemea mtu wala ufisadi I work hard jana nimelala bandarini na leo na kesho kama nina hela za ufisadi ninatafuta nini usiku bandarini? Wewe watoto wa Msuya na Mwinyi unawajua vizuri? Unasema sema ujinga wewe ndio unyamaze cause huna ukweli, uliza kwanza mjinga wewe!!

Le Mutuz
 
watajuta kuifahamu CCM...they will juta to know CCM (ngoja nasi tuwaonyeshe kwamba kimombo tunakijua ijapokuwa tumesomea st kayumba)

Haha pana mwana CCM mmoja aliouwa ikulu sina hakika kama bado yupo alikuwa akipenda saana kusema hivi nanukuu

"Naipenda saana CCM ila siikubali hata kidogo" over

Ufafanuzi ni kwamba anaipenda sababu ndiyo inampa maisha kula kuhudhuria chooni yeyw na familia yake na needs zote za mwanadamu.

Ila haikunali kwa maovu yake haha,

Salamu kwa binti prof aipende ccm maana ndiyo inamchango mkubwa katika maisha yake ila asiikubali kwa kumtosa mama wake!

Prof bado ni mbunge na benefits zote za uwaziri ataendela kutafuna tu plus kale kapesa ka ugoro 1.6B akumbuke kameingia katika acc yake na si ya shule.
 
Ha ha ha
Kamechovya mdomo kweny Npo la Coral Paint ama ni lip shine?
 
Ha ha ha
Kamechovya mdomo kweny kopo la Coral Paint ama ni lip shine?
 
kwani akishafukuzwa ndiyo basi tena? harudishi fedha zetu na kufungwa jela? hii nchi ni ya kipuuzi sana i see!

Broi ni nani umjuaye alifungwa ka wizi?!!

Zaidi yakuambiwa arudisha...na nani huthibitisha kurudishwa kwa pesa?!

Bendela alikosa ubunge akapewa ukuu wa mkoa

Batrida pia akapewa ubalozi

Brandina alionekana mzigo wizara ya afya leo yupo TRA anaponda maisha

Hata yule nesi aliyeimbwa na wagozi wa kaya baad ya kisa cha mzazi pale hospitali ya temeke leo akapelekw kifichwa huko Matala, Karatu,Arusha.

Hao ni baadhi tu ila hii ndiyo Tanzania zaidi ya uijuavyo.

Kama mambo yako yanakwenda uzuri, achana na yawengine utaumia bure bila suluhuu.
 
sura yake kwani alipopiga alikua anakua ukwaju?au ndo alivyo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom