Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Yeah hapo had Uwe na address mjini tofaut na hapo hapana
Kama hujazoe yale mambo ya starehe una ona mtu ana tmbwa live unaweza sema hupo jehanam ukataka kutoka mda uho uho na kule mwanamke akatai ni pesa yako tu mna malizana hapo hapo kila mtu ana pita kushoto
 
Sema mpaka sometimes Namhurumia huyo Mama.

Si ajiuzulu tu. Shida iko wap? Ajiuzulu zake akaishi zake Oman. Pesa kibao anayo. Aache kusikiliza wahuni. Wanampoteza
Haiwezi shindana na Gen Z akawaweza.
Wewe kuweza...
Kuachia maana yake kuna watu wengi wataathiriwa na maamuzi ya hivyo.
Lakini pia ninakataa kwamba genz wanamuweza. Ni ngum Sana kupambana na dola. Na ndo maana Leo amekalia kiti kama vile hakuna kilichotokea
 
Science inasema hakuna tops na bottoms bali wote wanalika hizo ni label tu za moment, one sex anapigwa next analazwa.

Walifanya hio study wakahoji hadi gay pormstars wengi, 2 out of 30 gay pornstars wanaojiita top wakajulikana nao wanakazwa tena willingly.

Ushoga ni sexual fantasy ambayo ni endless, ukianza kuchonvya utatamani tu kuchovywa in due time.

Mwisho dully anakazwa, na hii nilisikia kwa jamaa yangu akasema wana mi-apartments huko masaki wanafanya ufuska na wasanii wengi wa kiume
Wee em acha kudanganya umma hapa, usidhani watu hatuijui industry ya LGBTQI.

tunaijia kuliko tunavyoijua sisi wenyewee,,

Kuna TOPS, tena puree.
Kuna VERSATILES, ndo unao wasema wee.
Kuna BOTTOMS tena puree.

Sijagusia BISEXUALS., tena ndo majority ya wadau walipo hapa Bongo,

nimechoka tyuuh hapa, ningekuandikia gazeti ili upate kufahamu kiundaniii.
 
Kama hujazoe yale mambo ya starehe una ona mtu ana tmbwa live unaweza sema hupo jehanam ukataka kutoka mda uho uho na kule mwanamke akatai ni pesa yako tu mna malizana hapo hapo kila mtu ana pita kushoto
Yaniii kweli pesa Ina miss lead
 
Wee em acha kudanganya umma hapa, usidhani watu hatuijui industry ya LGBTQI.

tunaijia kuliko tunavyoijua sisi wenyewee,,

Kuna TOPS, tena puree.
Kuna VERSATILES, ndo unao wasema wee.
Kuna BOTTOMS tena puree.

Sijagusia BISEXUALS., tena ndo majority ya wadau walipo hapa Bongo,

nimechoka tyuuh hapa, ningekuandikia gazeti ili upate kufahamu kiundaniii.
Wewe ni yupi kati ya hawa?
 
Kama ni kweli atakuwa ni mpuuzi sana kwa kupost vitu vya aina hiyo na kuacha viwepo hadi leo tangu 2013/14
Ogopa sana vitu unavyopost. Huwezi kukumbuka kila kitu na hasa kama uliposti ukiwa mlevi kabla hujapata hadhi fulani. Ulaya kuna viongozi wengi wameumbuka na vitu walivyoposti siku za nyuma kabla hawajawa viongozi.
 
Back
Top Bottom