Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Mtandao ni mbaya sana. Ona sasa tabia yake ya ufiraji imewekwa upenuni 😁

Kwani hakujua kwamba ameposti ujinga miaka ya nyuma?

Uzembe wa hali ya juu anamuaibisha mama ake. Angefutaaa anajisahau sanaaaa yuko bize na mabunduki tu huku chupi iko wazi.
Mungu ana namna ya kutaka kumtia mtu aibuu
Yeye si kibri..Mungu akitaka kumuumbua akamtia kusahau
 
Leo nimepata jibu kwa nini huyu Abdul hapati nafasi za kisiasa, kumbe mama Analinda hili toto tusijue.

Tufanye mpango wa kusikia sauti yake.

Mtu akiinua mguu hivi anatia mashaka
1000145468.jpg


1000145469-jpg.3499535
 

Attachments

  • 1000145469.jpg
    1000145469.jpg
    186 KB · Views: 40
hata chizi hawezi kuandika upumbavu kama huo.
Simfahamu huyo jamaa ila naamini hakufikia uchizi huo.
Kaka hii dunia ,usimuapizie mtu
Mwanadamu haaminiki,amini Mungu tuu na mtume wake na vitabu vyake na Malaika wake ila si mwanadamu ,kumbuka pia ujana una mambo mengi na huyu hata mama ake stara kaaanza juzi tu baada ya kutaka ubunge Zanzibar
 
Back
Top Bottom