Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Kumbe Dullah anakula vinyeo toka kitambo!

Wazanzibar kwa kupenda matope hawajambo!

Astaghafirullah!

Cc: UCD
Mwijaku na lucas wamepona kweli.? Lucas kwenye picha hapo chini kapaka wanja.

FB_IMG_1759900254912.jpg
 
Hackers wanaweza waka bavkdate timeline za tweets?

Just curious...
hata chizi hawezi kuandika upumbavu kama huo.
Simfahamu huyo jamaa ila naamini hakufikia uchizi huo.
 
Keshafunga account kaweka private. Jaribu kumtetea basi
Kuweka private account.hakuumaaanishi yeye ndo aliyeandika.simtetei najaribu kutumia akili ni mtu gani anayeweza kuandika upumbavu kama huo?
 
Back
Top Bottom