Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Ogopa sana vitu unavyopost. Huwezi kukumbuka kila kitu na hasa kama uliposti ukiwa mlevi kabla hujapata hadhi fulani. Ulaya kuna viongozi wengi wameumbuka na vitu walivyoposti siku za nyuma kabla hawajawa viongozi.
Itabidi nimwambie
Melo afute humu et wakija kuona nilikuwa napika maandazi na kuwapostia hapa itakuwa noma sana
 
Leo nimepata jibu kwa nini huyu Abdul hapati nafasi za kisiasa, kumbe mama Analinda hili toto tusijue.

Tufanye mpango wa kusikia sauti yake.

Mtu akiinua mguu hivi anatia mashaka
View attachment 3499534

1000145469-jpg.3499535
Idris Sultan? Au nimeona vibaya?
 
Back
Top Bottom