Tuweni makini na marafiki tulio nao

Tuweni makini na marafiki tulio nao

Pole sana dear[emoji25][emoji25]

Mimi kwa msgs na hizo voice note inaonekana hawajalana kwasababu mwanaume alikua busy, sasa sijui kama walikulana Au bado wanaendelea na mipango

Nilichomwambia tu amblock kote na endapo nitagundua bado wanamawasiliano, Mimi na yeye uhusiano wetu utakua umeishia hapo

Sent from my iPhone using JamiiForums
1.una uhakika gani kakutumia zote?
2.hiyo ambayo anamuomba wakanywe wine ,je? Unajua washakunywa mara ngapi pamoja? Mpaka anakuwa na ujasiri wa kumuomba wakanywe wote?

Ukiweza kuyajibu hayo maswali basi utakuwa umepata jibu kwamba kaliwa au hajaliwa ,
Nyongeza ni kuwa hakuna mwanaume atakaa na k siku zote hizo asiile huwa tumajidharau sana yani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Learned a hard way... Pole sana
Habari zenu wakuu!

Asanteni wote mlionipa ushauri from the previous post

Kitu nilichogundua ama kupata somo ni kuwa kutokumuamini yeyote yule haswa marafiki zetu wa karibu sana maana anakujua na muda wowote anaweza kubadilika.

Huyu aliyekuwa rafiki yangu ni wa muda mrefu sana Yani sana almost 5+yrs, katika urafiki wetu tumepitia/tumefanya mambo mengi, mazuri na mabaya.

Mwaka jana nilibahatika kupata mwenza na nilimshirikisha from the scratch of our relationship btn me and the bbydady, kwa kuwa ni rafiki yangu wa karibu na ninamjua wake sikuwa na hiyana kumtambulisha kwa mtu wangu, kumbe ndio namkaribisha nyoka mwenye sumu kali

Kilichofanya nigundue, kwanza ni Mungu tu pili mwaka jana hiyo aliweza kuwasiliana na mtu wangu bila mimi kujua baada ya kujua nikamuweka mbali yangu, na Mr pia nikamwambia sitaki wawe na mazoea tena.

Sasa baada ya kuona sipo close naye tena as we used to be, na nikahama kabisa mkoa sikumtafuta wala kumwambia chochote kunihusu, ndio kumtafuta bbydady wangu na kumwambia vitu vya uongo kuhusu mimi kuanzia February hadi March, hapo mimi Sijui chochote kinachoendelea, na wote wako mbali na mimi!!

Nikatumia technic kumpigia mwanamke kwanza nikamwambia nimeona mawasiliano yenu hadi picha ulizokuwa unamtumia (hapo Sijui chochote) kweli bi dada akaanza kujing’atang’ata japo alikataa hawajawasiliana tangu mwaka jana, sikumpa nafasi, muda huo huo nikampigia bbydady nikamwambia nimejua ukweli wote nachotaka nikusikia upande wako maana mwenzako keshakubali mnawasiliana na msgs zako kanitumia, kweli bbydady naye akajaa akanimwagia ukweli wote hadi screenshots zao!!! Dah’ hii pia ni siku mojawapo niliyowahi kuumia zaidi hapa duniani, bi dada kajimaliza yote ya ukweli na uongo in short mambo ni mengi, hadi alitaka kumpa tigo bbydady (ukweli wanaujua wao japo mwanaume kakataa hajawahi kumla)

Nyie mliokuwa mnauliza maybe kanizidi viwango, hakuna chochote alichonizidi ningeweza kuweka picha ila ni kwaajili tu ya privacy

Bbydady nishamsamehe maana ndio tunatarajia kupata mtoto panapo majaaliwa, ila urafiki na huyo bidada ndio kwishnehi.. nimemblock kote, mengine nimemuachia Mungu mwenyewe atende kama ambavyo alitaka nijue pasipo wao wenyewe kufahamu!!

Cha mwisho, tusiwaamini sana rafiki zetu hata ndugu muda mwingine, haijalishi mna muda mrefu kiasi gani au mambo mangapi mmefanya pamoja, Mimi huyu alivyonibadilikia hadi sasa naona naota[emoji1][emoji1] Pia kufunguka kila kitu kwa marafiki sio poa hujui la moyoni mwake, nimejifunza pakubwa, nililazwa kwa muda ila sasa naendelea poa mimi na kijacho wangu

Muwe makini sana aiseee!! People change...

Sent from my iPhone using JamiiForums

Jr[emoji769]
 
Mara nyingi tunakuwa treated kwa namna tunavyojiweka. Wewe umetengeneza mazingira ya huyo mwanaume na mwanamke kutokukuheshimu.

Jitahidi, ingawa ni ngumu, ubadilike watu wa-adjust na sheria na taratibu zako na sio wewe u-adjust na wao.

Huyo mwanaume wako ni kimeo- nilitoa same opinion about him kwenye ile thread yako nyingine. Usipokakamaa, ukakaza tako hilo, utalalamikia mashosti na ndugu zako sana.

Kuna msemo unasema nionyeshe Rafiki yako nikueleze tabia zako. Jitahidi ubadili aina ya watu wanaokuzunguka. Huwa tunasema kwamba “ kama ni mhuni si ni yeye, mimi hainihusu,” lakini jua ya kwamba binadamu huwa tunabadilika bila kujijua, kuna ile tunaita tunabadilika subconsciously.

Jitahidi uepuke watu toxic katika maisha yako. Najua tabia za huyo mtu unazijua toka kitambo ila kwa sababu alikuwa hachukui mabwana zako, it was fine by then.

Sikutaka kuandika mengi, sema imenibidi tu. Baada ya kusema hayo, mimi nakutakia maisha mema mama kijacho, na namuomba Mungu akutie nguvu tupate ankali mwenye afya ya mwili na akili.

Na mwisho kabisa, Jaribu kutafakari huu msemo unasema, “ your happiness is created by you, and not by others.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hadi mimba umepewa, mwenzio kuliwa tu unaumia nini..? Lengo la uzi wako ni kututangazia mimba, kitu ambacho ni ulimbukeni.

Kukutangazia we na nani?

Upuuzi!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
1.una uhakika gani kakutumia zote?
2.hiyo ambayo anamuomba wakanywe wine ,je? Unajua washakunywa mara ngapi pamoja? Mpaka anakuwa na ujasiri wa kumuomba wakanywe wote?

Ukiweza kuyajibu hayo maswali basi utakuwa umepata jibu kwamba kaliwa au hajaliwa ,
Nyongeza ni kuwa hakuna mwanaume atakaa na k siku zote hizo asiile huwa tumajidharau sana yani!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Iwe kamla, hajamla Au bado wanamipango hiyo... NIMESHAMSAMEHE

Ye sio wa kwanza kwangu wala wa mwisho nikichoka nitaachia ngazi mwenyewe!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mara nyingi tunakuwa treated kwa namna tunavyojiweka. Wewe umetengeneza mazingira ya huyo mwanaume na mwanamke kutokukuheshimu.

Jitahidi, ingawa ni ngumu, ubadilike watu wa-adjust na sheria na taratibu zako na sio wewe u-adjust na wao.

Huyo mwanaume wako ni kimeo- nilitoa same opinion about him kwenye ile thread yako nyingine. Usipokakamaa, ukakaza tako hilo, utalalamikia mashosti na ndugu zako sana.

Kuna msemo unasema nionyeshe Rafiki yako nikueleze tabia zako. Jitahidi ubadili aina ya watu wanaokuzunguka. Huwa tunasema kwamba “ kama ni mhuni si ni yeye, mimi hainihusu,” lakini jua ya kwamba binadamu huwa tunabadilika bila kujijua, kuna ile tunaita tunabadilika subconsciously.

Jitahidi uepuke watu toxic katika maisha yako. Najua tabia za huyo mtu unazijua toka kitambo ila kwa sababu alikuwa hachukui mabwana zako, it was fine by then.

Sikutaka kuandika mengi, sema imenibidi tu. Baada ya kusema hayo, mimi nakutakia maisha mema mama kijacho, na namuomba Mungu akutie nguvu tupate ankali mwenye afya ya mwili na akili.

Na mwisho kabisa, Jaribu kutafakari huu msemo unasema, “ your happiness is created by you, and not by others.”

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante kwa ushauri[emoji1431][emoji1431] ubarikiwe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
yani hasa marafiki zenu nyie wanawake, mimi mpaka kesho namgegeda rafiki damdam wa mke wangu lakini ukiwakuta wenyewe wanacheka huwezi amini,hivi leo nimewaacha nyumbani hapo wanajipikilisha nimetoka zangu kwenda kupiga serengeti light.
Asee..
 
Hakii Inasikitisha sana .. kuna marafiki wenge sana aseeee Smart911 come this way

Back
Top Bottom