Tuweni makini na marafiki tulio nao

Tuweni makini na marafiki tulio nao

Mimi nilimwamini mtoto wa ndugu yangu,
Ila siku akaja kusema kwa ndugu wengine kwamba Ba mdogo ananitongoza.

Yakapita.baada ya kupita miaka kadhaa ,
Mwanaume akaaumua kufunguka mwenyewe toka walivyoanzana mpaka wakapelekana hotelini,
Afu wanasema hawajakwichikwichi.
Na wote nawajua ni malaya mbwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikamwambia me nimekusamehe.ila hunifai tena.
Muoe huyo ndugu yangu.
Sijui hata walimalizana vip mpaka leo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaume hawa.
pole yako....
Ila nilimlaumu huyo ndugu yangu.alikuwa anajua kabisa anae nitongoza ni mwanaume wa ndugu yangu.ila kwa umalaya wake tu akaamua Nikomeshe.
[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana dear[emoji25][emoji25]

Mimi kwa msgs na hizo voice note inaonekana hawajalana kwasababu mwanaume alikua busy, sasa sijui kama walikulana Au bado wanaendelea na mipango

Nilichomwambia tu amblock kote na endapo nitagundua bado wanamawasiliano, Mimi na yeye uhusiano wetu utakua umeishia hapo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi mnawatoleaga wapi hao marafiki wa kuamini hivyo?

Bwana ako ni kitombi jiandae kisaikolojia

Uko mkoa mwingine unategemea bebidadi amle nani?

Punguza kudeka na maringo (Eti hajakuzidi kitu ingekuwa hivyo asingemtaka rafiki yako)
Umeanza bibi yangu
 
[emoji2357][emoji2357]
Screenshot_20200223-092202_Instagram.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kupambana sababu ya mtoto ndo maumivu yalipolala.

Kwasasa nilipo yeye ndio kila kitu, siwezi kukurupuka kuachana nae na keshanionesha vihakiki vyote vya mm kumsamehe wao kuwasiliana, hayo mengine yatafata baadae mtt akishazaliwa kwasasa nimeamua kutuliza akili yangu tu nimemsamehe kiroho safi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mm nilimgundua december nikampotezea mazima simtafuti hata akinitafuta sio kama ile zamani, akawa hajui chochote kuhusu mm hata kua na mimba kubwa tu hajui, wala nilipo hajui Sent from my iPhone using JamiiForums
Mm nilimgundua december nikampotezea mazima simtafuti hata akinitafuta sio kama ile zamani, akawa hajui chochote kuhusu mm hata kua na mimba kubwa tu hajui, wala nilipo hajui

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ulifanya la maana sana, nikisha kugundua tu utaona naanza kukupunguzia mazoea hutaamini, katika maisha nachukia sana urafiki wa kinafiki, napata girlfriend namshirikisha rafiki yangu mwisho wa siku tamaa inamjaa anigeuka.

Marafiki kama hao tupa futi 10000.

©Bin Shaib Classic 2020.
 
Habari zenu wakuu!

Asanteni wote mlionipa ushauri from the previous post

Kitu nilichogundua ama kupata somo ni kua kutokumuamini yoyote Yule haswa marafiki zetu wa karibu sana maana anakujua na muda wowote anaweza kubadirika.

Huyu aliyokua rafiki yangu ni wa muda mrefuuu sana Yan sana almost 5+yrs, katika urafiki wetu tumepitia/tumefanya mambo mengi, mazuri na mabaya.

Mwaka jana nilibahatika kupata mwenza na nilimshirikisha from the scratch of our relationship btn me n the bbydady, kwa kua ni rafiki yangu wa karibu na ninamjua wake sikua na hiyana kumtambulisha kwa mtu wangu, kumbe ndio namkaribisha nyoka mwenye sumu kali

Kilichofanya nigundue, kwanza ni Mungu tu pili mwaka jana hiyo aliweza kuwasiliana na mtu wangu bila mm kujua baada ya kujua nikamuweka mbali yangu, n Mr pia nikamwambia sitaki wae na mazoea tena.

Sasa baada ya kuona sipo close nae tena as we used to be, na nikahama kabisa mkoa sikumtafuta wala kumwambia chochote kunihusu, ndio kumtafuta bbydady wangu na kumwambia vitu vya uongo kuhusu mm kuanzia February hadi March, hapo mimi Sijui chochote kinachoendelea, na wote wako mbali na mimi!!

Nikatumia technic kumpigia mwanamke kwanza nikamwambia nimeona mawasiliano yenu hadi picha ulizokua unamtumia (hapo Sijui chochote) kweli bi dada akaanza kujing’atang’ata japo alikataa hawajawasiliana tangu mwaka jana, sikumpa nafasi, muda huo huo nikampigia bbydady nikamwambia nimejua ukweli wote nachotaka nikusikia upande wako maana mwenzako keshakubali mnawasiliana na msgs zako kanitumia, kweli bbydady nae akajaa akanimwagia ukweli wote hadi screenshots zao!!! Dah’ hii pia ni siku mojawapo niliyowahi kuumia zaidi hapa duniani, bi dada kajimaliza yote yaukweli na uongo in short mambo ni mengi, hadi alitaka kumpa tigo bbydady (ukweli wanaujua wao japo mwanaume kakataa hajawahi kumla)

Nyie mliokua mnauliza maybe kanizidi viwango, hakuna chochote alichonizidi ningeweza kuweka picha ila ni kwaajili tu ya privacy

Bbydady nishamsamehe Maana ndio tunatarajia kupata mtoto panapomajaaliwa, ila urafiki na huyo bidada ndio kwishnehi.. nimemblock kote, mengine nimemuachia Mungu mwenyewe atende kama ambavyo alitaka nijue pasipo wao wenyewe kufahamu!!

Cha mwisho, tusiwaamini sana rafiki zetu hata ndugu muda mwingine, haijalishi mna muda mrefu kiasi gani Au mambo mangapi mmefanya pamoja, Mimi huyu alivyonibadilikia hadi sasa naona naota[emoji1][emoji1] Pia kufunguka kila kitu kwa marafiki Sio poa hujui la moyoni mwake, nimejifunza pakubwa, nililazwa kwa muda ila sasa naendelea poa mimi na kijacho wangu

Muwe makini sana aiseee!! People change...

Sent from my iPhone using JamiiForums
yani hasa marafiki zenu nyie wanawake, mimi mpaka kesho namgegeda rafiki damdam wa mke wangu lakini ukiwakuta wenyewe wanacheka huwezi amini,hivi leo nimewaacha nyumbani hapo wanajipikilisha nimetoka zangu kwenda kupiga serengeti light.
 
Ndio nimejifunza nilikua nasikiaga tu kwa watu na kuona kwenye movies sasa imenitokea

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu mwanaume inaonekana sio mmeo au mm sijaelewa? Basi kama sio mmeo wa ndoa dia kuwa mpole.

na ndio hivyo una mimba yake, mungu akupe wepesi, nimevaa viatu vyako havijanitosha maana shida sio rafiki yako shida ni Huyo bwana yako.
 
Hapo mama kijacho lazima uwe mpole..umeshakatwa mabawa.huna namna tu...umesamehe lakini moyoni unaumia .i feel u.utafanyaje sasa na ndio ushapigwa kitumbo.pole sana.hao wamekulana.jasiri haachi asili.watasubiri upepo upoe..halafu watakiwasha tena.omba roho mtakatifu amuingie baba kijacho.maana naona ndiye mwenye uwezo wa kuacha huo upumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulifanya la maana sana, nikisha kugundua tu utaona naanza kukupunguzia mazoea hutaamini, katika maisha nachukia sana urafiki wa kinafiki, napata girlfriend namshirikisha rafiki yangu mwisho wa siku tamaa inamjaa anigeuka.

Marafiki kama hao tupa futi 10000.

[emoji767]Bin Shaib Classic 2020.

Ndio yaliyonikuta mie

Nilikua namshirikisha vitu vyote, hadi Hiyo siku nimepewa hela na bbydady hapo kabla ya mimba, nikanunue kiwanja xxx nikamwambia rafiki yangu twende na kwa upande wangu yeye alikua shahidi yangu wa manunuzi[emoji28] sijui tukifanya hivi namwambia labda tumepanga hivi namwambia, biashara yangu iliyumba huyo mwanaume akanipa mtaji mwingine (ndio nafanya biashara huku nilipo) nikamwambia[emoji28] mm nikijua ni rafiki yangu mwema[emoji22]mwisho wa siku anamwambia kuna mtu natoka nae huyo mtu ni ex wangu wa muda mrefu sana na alishaoa wala sio mimi Au huyo rafiki yangu tunapojua alipo mara ya mwisho alinambia tu anaoa 2017[emoji28]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
yani hasa marafiki zenu nyie wanawake, mimi mpaka kesho namgegeda rafiki damdam wa mke wangu lakini ukiwakuta wenyewe wanacheka huwezi amini,hivi leo nimewaacha nyumbani hapo wanajipikilisha nimetoka zangu kwenda kupiga serengeti light.

Duh[emoji22][emoji1430]

Nimekosa cha kusema

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu mwanaume inaonekana sio mmeo au mm sijaelewa? Basi kama sio mmeo wa ndoa dia kuwa mpole.

na ndio hivyo una mimba yake, mungu akupe wepesi, nimevaa viatu vyako havijanitosha maana shida sio rafiki yako shida ni Huyo bwana yako.

Tumetambulishana tu

Ila yeye ndio aliyeanza kumtafuta na kumpa data zangu, m nachoona tatizo kwa bbydady ni kumentertain kwa kumsikiliza das y akaweka mazoea hadi ya kutaka kuliwa tigo na bbydady[emoji28] Maana kma shida ni bbydady tu, mara ya pili nilivyomtafuta rfk yangu alichonijibu ni kua natakaje yes alimtafuta, msgs n voice note zake, enhee (ndicho alichonijibu)

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari zenu wakuu!

Asanteni wote mlionipa ushauri from the previous post

Kitu nilichogundua ama kupata somo ni kua kutokumuamini yoyote Yule haswa marafiki zetu wa karibu sana maana anakujua na muda wowote anaweza kubadirika.

Huyu aliyokua rafiki yangu ni wa muda mrefuuu sana Yan sana almost 5+yrs, katika urafiki wetu tumepitia/tumefanya mambo mengi, mazuri na mabaya.

Mwaka jana nilibahatika kupata mwenza na nilimshirikisha from the scratch of our relationship btn me n the bbydady, kwa kua ni rafiki yangu wa karibu na ninamjua wake sikua na hiyana kumtambulisha kwa mtu wangu, kumbe ndio namkaribisha nyoka mwenye sumu kali

Kilichofanya nigundue, kwanza ni Mungu tu pili mwaka jana hiyo aliweza kuwasiliana na mtu wangu bila mm kujua baada ya kujua nikamuweka mbali yangu, n Mr pia nikamwambia sitaki wae na mazoea tena.

Sasa baada ya kuona sipo close nae tena as we used to be, na nikahama kabisa mkoa sikumtafuta wala kumwambia chochote kunihusu, ndio kumtafuta bbydady wangu na kumwambia vitu vya uongo kuhusu mm kuanzia February hadi March, hapo mimi Sijui chochote kinachoendelea, na wote wako mbali na mimi!!

Nikatumia technic kumpigia mwanamke kwanza nikamwambia nimeona mawasiliano yenu hadi picha ulizokua unamtumia (hapo Sijui chochote) kweli bi dada akaanza kujing’atang’ata japo alikataa hawajawasiliana tangu mwaka jana, sikumpa nafasi, muda huo huo nikampigia bbydady nikamwambia nimejua ukweli wote nachotaka nikusikia upande wako maana mwenzako keshakubali mnawasiliana na msgs zako kanitumia, kweli bbydady nae akajaa akanimwagia ukweli wote hadi screenshots zao!!! Dah’ hii pia ni siku mojawapo niliyowahi kuumia zaidi hapa duniani, bi dada kajimaliza yote yaukweli na uongo in short mambo ni mengi, hadi alitaka kumpa tigo bbydady (ukweli wanaujua wao japo mwanaume kakataa hajawahi kumla)

Nyie mliokua mnauliza maybe kanizidi viwango, hakuna chochote alichonizidi ningeweza kuweka picha ila ni kwaajili tu ya privacy

Bbydady nishamsamehe Maana ndio tunatarajia kupata mtoto panapomajaaliwa, ila urafiki na huyo bidada ndio kwishnehi.. nimemblock kote, mengine nimemuachia Mungu mwenyewe atende kama ambavyo alitaka nijue pasipo wao wenyewe kufahamu!!

Cha mwisho, tusiwaamini sana rafiki zetu hata ndugu muda mwingine, haijalishi mna muda mrefu kiasi gani Au mambo mangapi mmefanya pamoja, Mimi huyu alivyonibadilikia hadi sasa naona naota[emoji1][emoji1] Pia kufunguka kila kitu kwa marafiki Sio poa hujui la moyoni mwake, nimejifunza pakubwa, nililazwa kwa muda ila sasa naendelea poa mimi na kijacho wangu

Muwe makini sana aiseee!! People change...

Sent from my iPhone using JamiiForums
Halafu hii michezo ya kuibiana wapenzi iko sana kwa wanawake sijui kwa nini?? Inaonekana wanawake wanapenda kuonja onja sana.
Huku field( mtaani) matukio kama haya wanawake kulalamika kuvamiwa kwenye mahusaiano hadi ndoa zao na marafiki ni nyingi mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom