Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,003
- 31,804
[emoji120][emoji120][emoji120]Asante
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120]Asante
Sent from my iPhone using JamiiForums
Punguza stress mama kijacho kitulize lea mimba si unajua stress sio nzuri kwa hali uliyonayo eehNimesomea nae kwanzia o level hadi chuo
Ukitombi siwezi bisha maana ni mwanaume na muda wote sipo nae Kwahiyo sijui ayatendayo!!
Sina maringo wala kudeka, kuhusu kumtaka ni mwanamke ndio aliyemtaka if I could be able to post those screenshots ungesema we mwenyewe, txts ni nyingi moja wapo kama hizi
“Shem Upo? Za siku? Kuna vitu nataka nikuambie”
“Shem nakupigia Uko busy kama Uko Free naomba tutoke niko bored”
“Shem tunaweza kwenda kunnywa wine pamoja”
“Shem unabody nzuri shoga angu anafaidi”
Msgs ni nyingi, na nilipomrudia alivyokua ananijibu ni kama alijiandaa hivi Incase nikijua ukweli, maana hadi voice note zake alinitumia nikamforwadia ye mwenyewe bidada ajikane[emoji28][emoji28] alichonijibu tu kwahiyo natakaje[emoji23][emoji23]jamani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli kabisa, nimejifunza mengi
Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu huenda aliona unafaidi mno??
Punguza stress mama kijacho kitulize lea mimba si unajua stress sio nzuri kwa hali uliyonayo eeh
Kwa kukuhakikishia tu ni kwamba bebi dadi atamla rafiki yako nae atamuita bebi dadi km wewe yani
Mimi nina jamaa yangu ambae ni rafiki yangu wa karibu, nimeishi nae nikagundua ni snitch, kwa sasa naishi nae kwa akili ishu zangu ambazo naona niza mhimu huwa simuelezi nafanya kivyangu vyangu,
So be carefully mamy
kila nikifikiria muda niliopoteza kwenye mapenzi bora kwenda shamba kulima...
Ni wakati wako bi Dada pambana.
Hapo kupambana sababu ya mtoto ndo maumivu yalipolala.Pole dear
Sasa tayari tunatarajia kua na familia pamoja, wote tunapambana sababu ya mtoto
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole dear, kwenye mahusiano yako usithubutu kumshirikisha rafiki kwa lolote, lazima uambulie kulizwa tu!. Binafsi sihitaji mazoea kabisa na mtu anayeitwa shemeji iwe kwa ndugu au rafiki.
Bibie ongeza ufundi, mbwembe na madoido. Kama ulikuwa unatembea sasa anza kukimbia.
Usipoziba huo ufa utapata hasara kujenga ukuta.
Ukweli mchungu sana huu kwa mwanamke aliye full inloveTATIZO SIO RAFIKI YAKO....TATIZO NI HUYO JAMAA YAKO...!![emoji5]
Najua utamtetea ila jiandae kugombana mpaka na ndugu zako wa damu ukiwa na mwanaume kama wako.
Imeishaaaaa hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app