Am not comfortable with friends!!!!

Am not comfortable with friends!!!!

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,456
Reaction score
19,639
Ki ukweli natamani sana marafiki wa kike but siko comfortable kabisa .... tangu ukuaji wangu nipo comfortable sana na jinsia ya kiume

Ki ukweli i have some life times friends ambao ninaweza fanya chochote kusaidiana ila wakiume
it hapens nimeolewa na wao wameoa na maisha yamebadilika ....nimewacutoff for the past 10yrs
the thing is hata mizunguko yangu ya sasa hivi uzeeni ni rahisi mimi kumuamini rafiki wa kiume hata kwa pesa ila sio wa kike jambo hilo linanitesa sana

I had two friends wa kike zamani sana sio kwamba walinipa trauma ila sikuona ule upendo wa kweli kama kwa wanaume.. ...sizungumzii mapenzi kabisa
urafiki wa kawaida kabisa

Jamani nahitaji marafiki wa kike kwa kweli
i dont know if its too late for that ila dm yangu iko wazi
30yrs and above..
sitaki mapovu kwenye replies...
i only reply dm
 
IMG-20260111-WA0154.jpg
 
Marafiki wana faida gani sasa
Tena wanawake wanoko roho mbaya chuki wivu 🚮

Ukiacha wa ku engage mitandaoni sina rafiki wa kike njee ya JF na sihitaji pia

Kila la kheri kwako dear
Ndio maana nimeamua niolewe kabisa, marafiki tupa kule.

Kila siku mme wangu ananiuliza hivi wewe huna rafiki? Nikamwambia akuhh sitaki shida bibi!

Niko zangu kivyangu tyuuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom